Taxify ni kampuni hatari ya utapeli. Serikali inabidi ifuatilie upya

Nshafanyiwa hivi na dereva uber.

Tuligombana usiku mzima. Na nilimpa hela iloonekana mwanzo.

Nikamwambia kama nimekuonea kalalamike Uber ili wao wanitafute.

Haiwezekani mwanzoni projection isome 9000 halafu mwisho wa safari ije 24,000.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ulimkomesha vizuri sana
 
mambo vipi wana jamvi mimi nimekua nikitumia hii app ya taxify kwa ajiri ya safari zangu mara kwanza walianza vizuri lakini kipindi hiki wamekua matapeli sana

kwanza kampuni gani aina address phone no mnawasiliana kwenye email tu yaani ukitokea umepigwa kuwapata issue jua hela yako umeliwa na hata mzigo wako

pili sasa hivi wanaiba kama unataka uanze safari mfano unatoka manzese unaenda kimara pesa itakuja 4000 mpaka 5000 ila mwisho wa safari ngoma unapigwa 12000 au 20000 ni safari ya kwenye moro au dodoma na dreva wao wakali kweli ukitaka kuwasiliana nao hawana no ni wa email tu

tatu madreva wa wanatumia huu usafiri wengi wao wanalalamika kua bonasi zao hawapewi ikitokea wakifatilia wanaaambia bonasi imefuta bado na kila siku deni haliishi

mamlaka husika fatilieni hii issue watanzania wanatapeliwa bora kufuta kabisa hii imenikuata kama mara mbili hivi

nime attached na baadhi ya watu wakitoa malalamiko kwenye page yao alau kwa jeuri hawajibu wakati makampuni mengine kwenye malalamiko wako active kukujibuView attachment 1014611View attachment 1014612View attachment 1014613

Sent using Jamii Forums mobile app
Hamia kampuni nyingine mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Taxify ni ya wakenya ,na kuna mtu huku ndani hawajui wakenya walivyo wezi????? Vivaaa Uber
 
mambo vipi wana jamvi mimi nimekua nikitumia hii app ya taxify kwa ajiri ya safari zangu mara kwanza walianza vizuri lakini kipindi hiki wamekua matapeli sana

kwanza kampuni gani aina address phone no mnawasiliana kwenye email tu yaani ukitokea umepigwa kuwapata issue jua hela yako umeliwa na hata mzigo wako

pili sasa hivi wanaiba kama unataka uanze safari mfano unatoka manzese unaenda kimara pesa itakuja 4000 mpaka 5000 ila mwisho wa safari ngoma unapigwa 12000 au 20000 ni safari ya kwenye moro au dodoma na dreva wao wakali kweli ukitaka kuwasiliana nao hawana no ni wa email tu

tatu madreva wa wanatumia huu usafiri wengi wao wanalalamika kua bonasi zao hawapewi ikitokea wakifatilia wanaaambia bonasi imefuta bado na kila siku deni haliishi

mamlaka husika fatilieni hii issue watanzania wanatapeliwa bora kufuta kabisa hii imenikuata kama mara mbili hivi

nime attached na baadhi ya watu wakitoa malalamiko kwenye page yao alau kwa jeuri hawajibu wakati makampuni mengine kwenye malalamiko wako active kukujibuView attachment 1014611View attachment 1014612View attachment 1014613

Sent using Jamii Forums mobile app
Taxify ndiyo usafiri gani mkuu....!!

Maelezo kidogo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijaelewa mkuu unasema mafuta ya 20 kwenye kagari kutoka kkoo kwenda kimara hayafiki ubungo?

Sent using Jamii Forums mobile app
Bora mmenitoa wasiwasi wa kununua gar yan mafuta ya 20 usifike ubungo nadhan hata semi hazinywi hvvyo
Huyo Mkuu inaonekana Hajawahi , na hamiliki gari kagari means passo,ist,vits, spacio vyote hvyo mafuta ya elfu 20 unaenda Bagamoyo na kurudi

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom