Recent content by Kipara kikubwa

  1. K

    ATCL kupeleka ndege Afrika Kusini pamoja na Airhostess walikuwa sahihi, tusichukulie kila jambo ni "ufisadi"

    Barafu hongera Kwa observations na kimsingi huo ndo ukweli. Lazima tusupport jitihada hizi za mheshimiwa kufungua shiriki letu lkn air transport ni delicate sana na kuna siku tukipenda rahisi tutauwa watu na kama ulivyoshauri maafisa waliopo kwenye hizi idara sensitive wapeleke shule wajue suala...
  2. K

    Alfajiri ya furaha kubwa! RIP DR. FUPI

    Hatufurahi yaliyotokea, lkn aliyepost hii IPO mantiki kubwa, tujiulize ndani ya ubilioni wetu tumefanya dhuruma ngapi. Tumepoteza maisha mangapi ya wasoo na hatia. Ni vema tutafakari upya na kuomba radhi ama Kwa Mungu au Kwa tuliowakosea na hata Kupoteza uhai na Maisha Yao. Mi nakumbuka ngano...
  3. K

    Story behind your date of birth

    Kama kweli vile du
  4. K

    Rais Magufuli awashangaa CCM na wananchi wa Iringa mjini kwa kutompa ubunge Dr. Mahiga

    Jimbo la Iringa liliingiwa na kirusi cha usaliti wa wenyewe kwa wenyewe na kihistoria si mara ya kwanza kwa mpinzani kuchukua jimbo hilo. Mwaka 1995 wakati kura za u Raisi wa Ben CCM ilipata kura nyingi lkn ndo kipindi Mfwalamagoha Mwakibasa alipata ubunge kupitia NCCR-Mageuzi. Ukiingalia...
  5. K

    Third terminal at Dar es Salaam airport

    I think it could be difficult for me to go through all the contributions. But the information given by our friend RITZ has some force facts. The one responsible for building terminal three (third terminal as he mentioned) is Tanzania Airports Authority not Tanzania Civil Aviation Authority. The...
  6. K

    Umoja mpya wa Vijana CCM (UMVCCM) ulioasi UVCCM sasa kutikisa nchi, Kuja na 'CCM Halisi'

    Hizi ni siasa za ki- DARUSO nakumbuka wakati tupo UDSM kundi la Ridhiwani liliendesha maasi kwenye DARUSO na kuwapindua viongozi waliokuwepo. Kundi hili pia walikuwepo kina Zito Kabwe, Rugemalila na wengine. Tabia za kina Makonda ni za namna hii mbona mtu kama Antony Mavunde wamemtoa kifitina na...
  7. K

    Membe - Chadema walikuja kwangu wakiwa na njaa

    Ukweli na mi nilibahatika kusikiliza hadi nilichelewa kufika ofisini maana nilidhani ana jipya. Nitaomba mniiwie radhi kwa hii kauli nitakayosema hv hapa Pwani chakula kina thamani kubwa hivo hadi mtu uthubutu kusema publically kusimanga uliwakaribisha chakula? Kauli yake imeonyesha kuwa ameumia...
  8. K

    Rais Kikwete apangua Baraza la Mawaziri

    Sasa anaana naona anaahema.
  9. K

    Kama kweli wabunge wa CCM ni wazelendo kwa hili muungeni mkono Zitto

    Zile kelele za wabunge wa CCM kwenye uchangiaji wa taarifa za kamati kumbe ulikuwa unafiki mkubwa baada ya mkakati mzito kusukwa juu ya namna ya kumwokoa mh Pinda kutompigia kura ya kutokuwa na imani naye. Taarifa za kiintelijensia ambazo zimepatikana kutoka Dodoma zinaeleza kuwa wabunge wa...
  10. K

    Jamani hii ya Kamanda Kova imekaaje?

    Hata wewe hujajibu. Kwa ufupi Kova alikuwa sahihi kupiga salute ile ni msingi wake si mwili wa marehemu bali hoja ya kwanza ni kuwa alivaa uniform na pale alikuwepo Makamu wa Raisi na baadhi ya Mawaziri amabao wanapigiwa salute kwa hiyo anapopita pale pamoja na mwili salute inaonyesha utii wa...
  11. K

    Nina mashaka na uwezo wa CHADEMA kuongoza SERIKALI 2015

    Hivi kila mtu inabd aanzishe thread hapa ndo aonekane yupo jf? Yaani unashabikia uongozi wa kupeana UDC na URC? Unajua garama yake na unajua kuwa wananchi hawataki. Kama cdm nacho kitafuata mfumo CCM huu ni heri tubaki na shetani tumjuae. Kwa taarifa yako taasisi za mfumo wa Serikali kwa maana...
  12. K

    TBC Habari aibu duh

    wewe mnafiki sana unataka watu wasiongee ukweli. Tutolee ushamba wako na uzezeta. Nyi ndo mnatakiwa kuanza kunyongwa na mkae sawa maana hata Mbunge wenu Godrey madhambi amesema 2015 mtawekwa pembeni. Masikini sijui mtakimbia nchi na nduguzo kina Rajao na wote wapenda mahaba ya mafisadi?
  13. K

    Siri kuhusu wajumbe wateule wa tume ya katiba

    Mi sina mashaka sana na tume lakini kuna tetesi narudia tena tetesi kuwa ule mpango wa OIC na mahakama ya kadhi lazima uingizwe katika katiba lkn kwa kujua kuwa masuala haya yataleta ubishani, lazima uamuzi wa kiungwana uchukuliwe kama hapana ama la na hivyo itabd kupiga kura na idadi ya wataka...
  14. K

    Mugabe mahututi Singapore?

    Naona wazee wa ndo za jinsia moja wanakenua mano aka mabeberu aka mabepari wa mzee Dolald Cameroun
  15. K

    Membe katika tamasha la Pasaka uwanja wa taifa

    mnafiki na mwongo wewe unayeonekana una tumiwa kama kopo la chooni mtu akishikwa haja analitafuta akimaliza hataki hata kuliangalia
Back
Top Bottom