Siri kuhusu wajumbe wateule wa tume ya katiba

JAMANI mimi napenda kuuliza hivi katiba hii tunayotaka kuitengeneza ni wana Dar es Salaam tu, au ni Watanzania wote. Kama ni hivyo kwanini basi karibu >90% ya WAJUMBE wa Tanganyika/Tanzania Bara.

Mimi nihamasisha pia sisi watu wa MIKOANI (SIC) tugomee hii tume ya katiba kwasababu is not REPRESENTATIVE OF THE COUNTRY.
 
JAMANI mimi napenda kuuliza hivi katiba hii tunayotaka kuitengeneza ni wana Dar es Salaam tu, au ni Watanzania wote. Kama ni hivyo kwanini basi karibu >90% ya WAJUMBE wa Tanganyika/Tanzania Bara wanatoka Dar ss Salaam? Kwani Tanzania Bara ni Dar es Salaam peke yake?

Mimi nihamasisha pia sisi watu wa MIKOANI (SIC) tugomee hii tume ya katiba kwasababu is not REPRESENTATIVE OF THE COUNTRY.

Edit Reply Report Post
 
Tusiwe wavivu kufikiri na kuja na hoja kuukuu namna hii, hakuna mtu hata mmoja anayetoka kwenye taasisi ambaye hayumo kwenye orodha ya waliopendekezwa na taasisi husika, hili lipo wazi, pili licha majina hayo kupendekezwa Rais anachagua miongoni mwa majina hayo pamoja na mambo mengine huzingatia maeneo wanayotoka na jinsia ili tume iwe na uwakilishi mpana wa makundi yote katika jamii, hili suala liko wazi kwanini watu wanaongozwa na itakadi ya "pinga kila kitu kinachofanywa na serikali"? Kwa hili la tume Rais amejitahidi sana!

Utawajua tu watu wasio na HOJA, hata ONTO ANALYSIS hawawezi kufanya.

FACT KATIBA Mpya haijawahi kuwa SERA ya CCM.
RAIS ameomba mapendekezo kutoka asasi mbalimbali. Asasi zimepeleka majina according to their preference. Badala ya Rais kuchukua namba 1 au 2 Yeye anachukua namba 4 au 5, bado huja smell rat?
Kwahiyo wewe unaona ni RIGHT RAIS kuchagua wajumbe wanaosema NDIYO BWANA kwa kila kitu kinacholetwa SERIKALI?
Go back the drawing board dude!
 
wamewekwa kulinda Muungano,kumbuka wote ni enzi za Mwalimu.

Ndiyo maana tunaona kama hii TUME ni Kangaroo tume!
Huyu Mwenyekiti tunamjua msimao wake
1. Ni shabiki mkubwa wa MADARAKA MAKUBWA ya Rais, Je atatutendea haki vipi sisi tunaotaka kumpugizi Rais madaraka?
2. Huyu M/Kiti ni Muumini mkubwa SERIKALI MBILI, Je atatutendea haki vipi sisi tunaotaka serikali moja au tatu?

Makamu M/kiti ni Mpinzani wa mgombea binafsi kwenye nafasi za uongozi. Je atatutendea vipi haki sisi tunaotaka mgombea binafsi? Walitakiwa watu ambao wako NEUTRAL ndiyo waongoze tume ya katiba.
 
Waliopendekezwa wanapaswa kutambua jambo moja la msingi. Wametependekezwa na kuteuliwa kulitumikia taifa lao kwa faida ya watanzania walio wengi na sio kikundi cha watu wachache wenye uwezo wa kuwashawishi kufanya au kutofanya ili kutimiza matakwa yao. Watanzania tunaona na ipo siku tutachukua hatua kali kwa kila ufedhuli tuliofanyiwa na tuliowapa dhamana ya kutuongoza. Hakika tutawaadhibu wao na walio karibu nao.
Time will tell lets wait n' see.
 
mimi namfahamu Maria Kashonda. Huyu mama yupo straight foward, mchapa kazi na hana longolongo, pia ni mtetezi mkubwa wa haki za wanawake. Kwahiyo nafikiri haki za wanawake zitazingatiwa kwa uwepo wake
 
Ndiyo maana tunaona kama hii TUME ni Kangaroo tume!
Huyu Mwenyekiti tunamjua msimao wake
1. Ni shabiki mkubwa wa MADARAKA MAKUBWA ya Rais, Je atatutendea haki vipi sisi tunaotaka kumpugizi Rais madaraka?
2. Huyu M/Kiti ni Muumini mkubwa SERIKALI MBILI, Je atatutendea haki vipi sisi tunaotaka serikali moja au tatu?

Makamu M/kiti ni Mpinzani wa mgombea binafsi kwenye nafasi za uongozi. Je atatutendea vipi haki sisi tunaotaka mgombea binafsi? Walitakiwa watu ambao wako NEUTRAL ndiyo waongoze tume ya katiba.
Ebu tufanye hivi, tupeni list yenu mnayopendekeza ktk nafasi hizo..
 
Kuwepo kwa jaji Ramadhani kunanitia hofu juu ya nafasi ya mgombea huru katika katiba mpya. Hataweza kula matapishi yake!
 
Mi sina mashaka sana na tume lakini kuna tetesi narudia tena tetesi kuwa ule mpango wa OIC na mahakama ya kadhi lazima uingizwe katika katiba lkn kwa kujua kuwa masuala haya yataleta ubishani, lazima uamuzi wa kiungwana uchukuliwe kama hapana ama la na hivyo itabd kupiga kura na idadi ya wataka hoja na OIC na kadh court ni wengi hivo watashinda na mwisho wa siku JK atasema si yeye ni tume. Hicho ndo ambacho Mzee Mtei muasisi wa chadema alimaanisha kwenye hoja ambayo zito pandikizi la CCM CDM kaja na shutuma kali dhidi yake. Jamani tuandae katiba ye taifa lisilo na muingiliano wa dini vinginevyo tutajuta.
 
hakuna tume ambayo ingeteuliwa ikakubalika 100% hata ungeteua wewe ingekuwa na kasoro tu. hilo la 3rd choice siliafiki kwa sababu haingii akilini kuwa kwanini kamteua wa tatu ilihali mlimuweka wenyewe. labda utusaidie kuandika sifa za kila mjume na CV zao na kuwa wanatoka kundi gani na walikuwa changua la ngapi kutoka kwenye kundi husika(kitu ambacho hakisaidii la sivyo mngepeleka moja au msipeleke kabisa) naungana na jamaa anayesema makundi mengine yameachwa ila walio kwenye system na wanasiasa ndo wamepewa kipaumbele)
 
Wanafunzi 426,314 walihitimu kidato cha nne mwaka jana.
90% walipata division iv na zero.
Kumbe waislam wengi sana nchi hii!
 
Mzee wetu wa kichaga Mtei yupo sahihi kabisa. Hakukuwa na sababu za msingi kuwa na idadi sawa na wazanzibar. Nimetazama ramani ya nchi ya kusadikika tanzania, nikatazama Tanganyika then nikavaa miwani niweze kuiona zenj, nikatambua kuwa walioko magogoni akili zao hazifanyi kazi.
Sitaki mabishano, jaribu kufanya zoezi hili, chukua picha yenye ramani ya Tanzania, itazame sehemu ya Tanganyika then tafuta iliko zanzibaa utaelewa naongea nini.
Lazima akili zao pale hazifanyia kazi, zinawaza ufisdai muda wote. Mtu mwenye akili kichwani wawikilishi watatu tuu wangetosha kabisa kuiwakilisha zanzibaa, isitoshe huu muungano ni mzigo wa Tanganyika ifike mahali tuutueee.
Mimi naapa leo nitakuwa wa kwanza kuuvunja huu muungano wa kifisadi.
 
Taratibu Sura halisi ya Chadema inaonekana!

Acha majungu wewe!
CCM na zenj ndio wanadhihirisha walivyo wabaguzi wa kidni.
Kitu kipo wazi muslims ni wabaguzi by nature dunia nzima, ni kitu wanachofundishwa, na hiki ndicho jk anachofanya. Iko siku atalia na kusaga meno huyo mkuda wenu.
 
Watanzania kila kitu mna doubt, sasa mnadhani hii katiba ni ya wananchi au ni ya vyama vya siasa. Kwahiyo mlitaka achaguliwe SLAA ndo mfurahi, lazima mjue kwamba si kila mtu aliyekomboka (conscious person) basi awe CHADEMA
:focus:
 
Unamuamini JK? Una uhakika gani kwamba aliowateuwa ni miongoni mwa wale waliopendekezwa na makundi?

Je ilichapishwa orodha ya hayo makundi ikionyesha majina ya watu wao waliopendekezwa?

Kama JK kachomeka wengine watu wake nani atajua iwapo hatujui ni akina nami waliopendekezwa?

kuna ulazima wa wewe kujulishwa waliopendekezwa??? angalia sheria inasemaje.
 
Nyerere alikuwa haendi mpirani, Mkapa hakuenda mpirani pia...

31998_1484460555462_1352323111_31244338_5771495_n.jpg Hata mimi ningekuwa Raisi Jambo la Kutia aibu kama hili Linaweza likakusosesha kuupenda Mpira Mwinyi aliishia kusema Tanzania ni Kichwa cha Mwendawazimu

Limkapa Mie Huwa Sipendi kulisikia ... Most of the Time napatwa na Chafya huyo Jamaa akitamkwa... Nadhani Motoni keshaandaliwa mahali pake pa Moto
 
Back
Top Bottom