Mugabe mahututi Singapore?

Mugabe mahututi Singapore?

TB Joshua in action please wait
huu ni upuuzi huyu jamaa anajua kutabiri vifo tu?kwa nini asitabiri uchumi wa afrika utakuwa kwa kasi kama wa china mwakani anatabiri vifo,mafuriko na ajali sasa wa kazi gani?maana hata mvua za dar wanasema alitabiri
 
Acheni uongo basi .. Fanyeni research za kutosha kabla hamkuleta habari .. Mugabe mzima wa afya kabisa .. Yuko Singapore kwenye vacation na familia Yake .... taarifa zaidi nenda yahoo news .... Wamesema kabisa hizi taarifa za Mugabe kuwa hospital SIO za kweli .... Long Live Mugabe ...
Loh! Asante mdada mzuri....., nilikuwa nimekabwa kooni na kitu kizito kabisa! Mugabe mie naona ndiye kiongozi pekee aliebaki mwenye uchungu wa kweli na Afrika........siyo hizi takataka zetu!
 
Kwani Raisi kuhudhulia mahafali ya bintiye kihitimu CHUO ni KOSA? Kwa nini mahasimu wa Mzee Mugabe specifically wazungu wanakesha wakisali eti AFE!

Wanapoteza muda mwingi wakihadaa dunia imuone Mugabe mbaya, wanafikili hilo linaweza kumfanya a-REVERSE uhamuzi wake wa kutaifisha na kuwagawia raia maskini aridhi ya masetera wa KIZUNGU.

hivi wewe unaelewa vitu au unakurupuka tu ?hujaambiwa ameenda kwenye mahafali ya binti yake ..kaenda kushugulikia admission ya binti yake kufanya postgraduate...shule zenu za kusomea chini ya miti hizi mna tabu sana halafu mnalaumu NECTA wanawaonea mkibata mabuyu kwenye mitihani
 
It is important for the people of Zimbabwe to make sort of arrangements for the new generation to take part on leading the state to the new approachies of the country's development.Mugambe can no longer fight new challeges,he is old enogh to retire if he don' force him do!!
 
Kwani Raisi kuhudhulia mahafali ya bintiye kihitimu CHUO ni KOSA? Kwa nini mahasimu wa Mzee Mugabe specifically wazungu wanakesha wakisali eti AFE!

Wanapoteza muda mwingi wakihadaa dunia imuone Mugabe mbaya, wanafikili hilo linaweza kumfanya a-REVERSE uhamuzi wake wa kutaifisha na kuwagawia raia maskini aridhi ya masetera wa KIZUNGU.

soma vizuri mkuu. mtoto wake ndo anatafuta registration sio ana graduate
 
Zimbabwean dictator Robert Mugabe was said to be close to death tonight.The 88-year-old, who is believed to be suffering from prostate cancer, flew to Singapore by private jet on Saturday for treatment.His wife, Grace, and close family members are reported to be at his bedside.

dailymail.co.uk
 
What does it mean by close to death ? Who is far from death then, mind you may die anytime from now and leave Mugabe still leaving !!!


Spoken my words. Whats the distance from death?
 
Yupo katika koma state nasikia. Labda unabii wa TB Joshua unataka kutimia.
 
Naona wazee wa ndo za jinsia moja wanakenua mano aka mabeberu aka mabepari wa mzee Dolald Cameroun
 
Na bii Joshua alisema rais mmoja sasa na huyu?
 
afadhali afe wakati yupo kwenye urais, kuliko kufa baada ya kunyangánywa urais, kwasababu atateswa sana, na inawezekana akapelekwa the hague, wazungu wana bifu naye na huwa wanasubiria tu aachie ngazi ndo wamtie kitanzi.
 
Loh! Asante mdada mzuri....., nilikuwa nimekabwa kooni na kitu kizito kabisa! Mugabe mie naona ndiye kiongozi pekee aliebaki mwenye uchungu wa kweli na Afrika........siyo hizi takataka zetu!
umewahi fika Zimbabwe ukajionea hali halisi? utashangaa siku taarifa za kifo chake zikitangazwa utasikia maelfu kwa maelfu ya Wazimbabwe wakishangilia mitaani!
 
Wakuu kukaribia kifo kuna maana gani??? Yaani ndio kanumba anazikwa leo hatujajufunza??? Hakuna aliye mbali na kifo hata mmoja
 
Afadhali ameenda Singapore, angeenda Uingereza angekuwa tayari !!
 
Back
Top Bottom