Recent content by Kingubwe

  1. Kingubwe

    Dada zetu punguzeni utapeli kupitia mapenzi, kama mtu humtaki kwanini ule pesa yake?

    Kabisaa, ndio maana nimejiwekea utaratibu wangu pesa yangu inazunguka kwenye hiyo cycle tuu yani mwanamke mwingine mpuuzi sina huruma nae hata kidogo
  2. Kingubwe

    Checkers ni mchezo wenye uelevu na maono ya sirini

    Kidogo nimeokota kitu baada ya giza nene
  3. Kingubwe

    Be forward special thread karibu uagize magari Toka nje ya nchi

    Mitsubishi canter ya miaka ya 1995 kubwa ya CC 4500 kuendelea shingapi
  4. Kingubwe

    Tuwe makini na sakata la Gwajima, huenda ni Move ya CCM ili atoke aende ACT akagombee Uraisi, kumbuka ya Membe

    Bado kuna walakini kwenye hili jambo lakini muda ndie hakimu wa kweli. Ngoja tuone ila wanasiasa sio wa kuwaamini kabisa
  5. Kingubwe

    Aina za single mother

    Kwani wanawake wameisha hadi mtu uoe single mother
  6. Kingubwe

    Usaili kwanjia ya online

    NAOMBA KUULIZA Hivi kuna cheti cha form 4 au 6 chenye majina matatu yan katikati sio initial mfano JUMA FADLU DAUDI badala ya JUMA F DAUDI??
  7. Kingubwe

    Wanaume tulioko kwenye Ndoa, Backup ni muhimu sana.

    Hakikisha kama umeoa basi huuzi mechi njee yani hakikisha shoo yeyote unayopiga nje unajikinga yani hii itasaidia sana karaha zisizo za lazima mfano ma UTI, gono, umeme, mimba zisizotarajiwa n.k Backup ni muhimu sanaa kuna wanawake wana visiranii balaa bila mpango wa kando utapasua komwe sana
  8. Kingubwe

    Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

    Vipi kimya wakuu tupeane updates basi
  9. Kingubwe

    Hints za kufaulu Oral Interview za Sekretariet ya Utumishi wa Umma

    Mambo ni mengii asee. Uzi mzuri huu
  10. Kingubwe

    FT: RS Berkane 2-0 Simba SC | Fainali CAF Confederation Cup | 17 Mei, 2025

    Bado badoo nasemaje badoo😆😅
  11. Kingubwe

    Mambo ya kuzingatia kijana wa kiume unapojihusisha na mahusiano ya kimapenzi

    Bandiko zuli sana mkuu tena sana umeongea kila kitu ambacho nilipaswa kukisoma au kuambiwa miaka mitano nyuma. Laiti ungeweka hili bandiko humu miaka ya 2019 au hata 20 kabla yule mshenzi sijakutana nae leo hii ningekuwa mbali sana. Ila powaa nishaamua kupiga moyo konde and now on naishi kwenye...
  12. Kingubwe

    Msaada kwa wajuzi wa Sheria

    Kukodi polisi private ghalama inaweza kuwaje au ni makubaliano yenu tuu
Back
Top Bottom