Msaada kwa wajuzi wa Sheria

Msaada kwa wajuzi wa Sheria

Salaam tutasalimiana siku nyingine Leo tuingie kwa topic chap chap, hakuna kupoteza muda harufu ya damu imenipanda.

Nianze kwa yaliyonitokea miaka 6 iliyopata. Mwaka 2019 nikiwa mkoa Y nilipata tukio lililonoachia kovu kubwa sana. Nilikua na biashara mbili Moja ya pharmacy na dukani kuuza vifaa vya pikipiki.

Biashara hizi nilizikuza kwa juhidi kubwa na nidhamu ya hali ya juu nikiwa nimepitai changamoto nyingi lakini kupitia changamoto hizi nilizisimanisha biashara zangu na mafanikio yalianza kuja baada ya kitambo cha kutaabika sana (waliokuza biashara wananielewa vizuri)

Wakati huo biashara ya duka la vifaa vya pikipiki ndio ilikua imechanganya sana nikaamua kuongeza wigo na kuanza kuuza spare za magari madogo. Kumbe bwana wakulugwa muda WOTE wana nichora tu.

Ilifika siku ya siku duka langu likavamiwa nakumbuka ilikua Jumamosi 24/03/2019 usiku wa kuamkia siku hiyo. Mimi ni Msabato hivyo nafunga duka saa 9 siku ya ijumaa na mauzo yanabaki dukani mpaka siku ya jumapili alfajiri.

Jamaa walikua wamejipanga haswa walijua ratiba zangu zote na wali counter calculate mpango wao kwa umaridadi. Kwanza walinzi walikamatwa(kulikua na walinzi wawili wanalinda fram 4 zilizotazamana) wakafungwa jamaa wakafungua makufuli yote hakuna kufuli lililovunjwa.

Wakaingia ndani kulikua na fedha za mauzo ya siku mbili pia kulikua na fedha za order za wateja kwenye strong box au kasiki jamaa waliifingua kasiki wakabeba 12 M.

Hawakuridhika wakachua spare za pikipiki walizoweza kuzichukua wakachukua vifaa vya kazi kama machine ya kuhesabua fedha, laptop na wakang'oa CCTV camera zote.

Walichoaacha ni vitu vizito kama mablock ya engines, frame za pikipiki na vitu vya plastic visivyo na thamini kubwa kama mud guards, seat nk Kwa ujumla nilipata hasara ya zaidi ya 30 M

Niliripoti polisi kwa haraka sana kusaidia kubaini wahalifu lakini nasikitika kusema ningejua hata nisingejisumbua. Polisi wakijifanya kushughulikia huku wakunitoa upepo wa kutosha.

Kila nilipokua nafuatilia walikua wananipiga Dana Dana huku wakitengezeza mazingira ya kunitoa upepo zaidi. (Nalisikitikia sana jeshi letu yani ukiwa na matatizo kwao ni fursa ya kupiga hela wakijifanya wanakusaidia)

Kiufupi sikupata MSAADA wowote zaidi nilipukutika hata viakiba nilivyokua navyo nikaingia kwenye madeni nakufilisika hatimae na ndio maana Leo nimefika hatua ya kutaka kufanya unyama wa kuua binadamu mwenzangu.(Sikuwahi kuwaza nitakuwa muuaji)

Au pia labda nisiwalaumu sana polisi wetu yumkini walijitahidi lakini hawakufanikiwa kwa maana wavamizi walipanga na kutekeleza wizi ule kwa umakini na hawakuacha hata chembe ya ushahidi.

Tangu hapo maisha yangu yalibadilika sana biashara ya pharmacy iliyumba sana kutokana na kuchota fedha bila kuzirudisha katika kuhangaikia kuwanasa wahalifu.

Ilifika hatua nikawa naendesha biashara ya phamacy kwa hasara mamlaka za serikali nao wakaanza kunidandia kwa kukosa kulipia vibali kama mnavyojua biashara ya pharmacy inahitaji vibali vingi. Ilifika hatua nikaifunga biashara nilikata tamaa ya maisha mke akanikimbia akisema Nina mikosi marafiki WOTE walinikwepa.

Nilikonda sana na sikujali Tena kua nadhifu ilifika hatua watu wakawa wananiona kama kichaa lakini Mimi sikujali nilijua kabisa sijawa kichaa. (Nikisikia maneno kua jamaa tangu aibiwe amikua kichaa) Nilipitia msongo mkali sana na hatimae nilifikia uamuzi wa kuhama mkoa Niliamia mkoa Z alipo mdogo wangu.

Mdogo wangu alinipa back up kubwa sana kuanza upya na hata wakati wa mapito alikua na Mimi. Miaka sita sasa imepita haraka sana angalau nimeenza kuchechemea.

Lakini nimebaki na kovu kubwa sana mioyoni, zaidi ya kuibiwa na kupoteza fedha pia nimepoteza mengi yaumkini yenye thamani hata zaidi ya fedha nilizopoteza.

Nimeenza na biashara ya miamala maana kuna fursa niliiona na nikairukia haraka sana. Kuna sehemu nilipata mwaka wa Jana na eneo limechanganya sana kwa biashara ya miamala na huduma za uwakala wa bank.

Tatizo biashara hii sasa ndio nimewafuata wakulungwa kwenye anga zao kabisaaa. WOTE mnajua jinsi biashara hii inawindwa na majambazi na hapa bado hata sijapona maumivu ya miaka sita iliyopita.

Baada ya biashara kuanza kuchanganya kidogo ndio nimeamua kuja na mpango wangu wa mauaji, wanasheria na wadau kwa ujumla naombeni maoni yenu iki hivi:

Nimetengeneza kasiki iliyojificha ukutani na juu nimeweka frame ya picha kubwa. Kasiki hii niliitengeneza Mimi mwenyewe baada ya kuona hatari ya kuondoka na fedha baada ya kufunga biashara.

Pai pesa kubaki ndani kizembe tu hapana. Kwa jinsi nilivyo iweka kasiki mtu yeyote hawezi kujua kama ukutani pale kuna kasiki, lakini labda tuseme wakulugwa wakajua kasiki ya kuhifadhi pesa Iko ukutani.

Ndio nikaja na wazo za mauaji ya kukusudia kupanga na kutega mauaji. Nikaitengenezea kasiki insulation kwa silicon plastic kuondoa contact na ukuta ila ikiwa ndani ya ukuta na kuiunga kasiki na umeme kwa nyaya nilizopitisha ndani kwa ndani ya ukuta kwenye bomba na kuifanya kasiki kua hot conductor. (Kama kuna namba ya kuboresha eajuzi naombeni maboresho)

Kasiki nimefanukiwa kuitega kwa umeme na zaidi nimepata handly transformer ndogo nilioiunga na kuificha juu ya Dari lengo likiwa kuongeza volts za TANESCO hizi 220v kufukia 1000v

Lengo likiwa labda tuseme japo kasiki nimeificha ndani ya ukuta labda wakulugwa wafafanikiwa kudundua na kuondoa picha ya ukutani na kuifikia, wakiigusa tu hawatakutana na volts 220 za TANESCO za kuwatetemesha bali watakutana na volts 1000v zinazoweza kuwapotezea maisha kwa kugusa tu. (Sina huruma kabisa kwa habari ya jambo hili)111111

Na hakuna switch ya kuzima mtego wangu nimeificha ninapopajua Mimi. Utaniuliza umeme ukikatika je wakulugwa si watajuchukulia fedha. Jibu ni hapana nimeunga standby back up inayoweza kustand masaa 48 bila umeme wa TANESCO.

Kuongeza unyeti wa jambo langu sikumshirikisha mtu yeyote, hakuna fundi alikuja kuniungia nimeunga Mimi mwenyewe (Mimi sio fundi ila ni mtundu wa maarifa).

Wako watoa huduma 2 pamoja na mimi nimewaambia kuna mfumo wa ulinzi hatari hapa ofisini lakini sijawaambia ukoje Wala hawajui kasiki iki wapi na kamwe hawaruhusiwi kufungua ofisi kama sipo na hawawezi kufungua naama funguo ZOTE NINAZO MIMI.

Ofisini wanaondoka saa 2 usiku baada ya kufungua hesabu nabaki Mimi mpaka 2:30 nawekapesa kwenye kasiki nawasha mitambo nafunga na kuondoka. Alfajiri naifungua ofisi saa 11:00 alfajiri na watoa huduma wenzangu wanatakiwa kuripoti saa 1 wanakuta nishazima mitambo fedha ziko kwenye droo zetu za huduma

Nikiwa na dharula yoyote ofisi haifunguliwi. ANAYEFUNGUA OFISI NI MIMI TU.

MSAADA: Endapo wakulugwa matajichanganya na kuvamia kuiba hawataona pesa, labda tuseme wakagundua kasiki iki ukutani, wakijichanganya zaidi wakaigusa hakika watabatizwa kwa gharama ya uhai wao

Je nikawageuza maiti ndani ya sekunde kwa mfumo wangu. JE KISHERIA NITAKUA NIMETENDA KOSA KWA KUWAUA ?!

Kama ukiwa na kisu au panga jambazi akakuvamia ukimuua ndani kwako akiwa amevunja kuja kukuibia na kukudhuru hauna hatia, je nikiua kwa kuwakausha kwa umeme nitakua na hatua ?!

Lipia Tangazo fundi umeme
 
Kwa maelezo haya, maumivu yako yamenigusa!

Issue inayonisikitisha ni kuwa hao wahalifu waliokusambaratisha kiuchumi, ulijikatia tamaa mapema na kuridhia kutendwa maskini!

Nadhani hii ni kutokana na ufisadi wa Polisi, walikuvunja moyo kupata haki yako Pole sana.

Hili la kutega mitego yako kwenye chumba cha biashara navyojua mimi, akiuawa jambazi humo halina kesi.

Mjadala wangu ninauelekeza kwa hao mumiani wa kwanza waliokufirisi.

Hapo ungelikodi hata Polisi private akupelelezee bila kufungua jalada la mashitaka ili upate wahusika halisi wa tukio na mnyororo mzima.

Wangelipatikana wezi hao, ningelikufundisha namna ya kuwaangamiza wote kwa mikono yako bila kuhusisha mtu wa pili na bila kuacha alama ya kutiwa hatiani.

Binadamu ni mnyama rahisi sana kumuua bila usumbufu mkubwa kama ilivyo kwa wanyama pori ama wanyama wa kufuga!

Ungeliwaua wote kirahisi sana, mmoja baada ya mwingine, na kwa miaka yote hii ungelikuwa ushawamaliza wote.

Mimi binafsi mtu hawezi kunifanyia unyama huo kisha nikaridhika na kusamehe, siwezi.

Nitapoteza rasilimali kwa ajili ya upelelezi wa uhakika na sipendi kesi za mahakamani kulikojaa rushwa.
Mkuu asante kwa japo kuelewa nilichokupitia. Na ulichosema ni kweli nilikosea sana kuwategemea polisi nilikua nimepatwa na bumbuwazi mkuu nadhani na Wao waligungua hilo ndio maana wakatumia nafasi hiyo kunitoa upepo
 
Mkuu nikiwa na dharula yoyote ofisi haifunguliwai. ANAYEFUNGUA OFISI NI MIMI TU
Mkuu dharura ni nyingi! Hebu fikria umedondoka ghafla na kurudisha jezi ofisi si lazima itafunguliwa? Kumbuka mkuu sisi binadamu ni miti mibichi hatuna Guarantee na maisha yetu!
 
Kwa maelezo haya, maumivu yako yamenigusa!

Issue inayonisikitisha ni kuwa hao wahalifu waliokusambaratisha kiuchumi, ulijikatia tamaa mapema na kuridhia kutendwa maskini!

Nadhani hii ni kutokana na ufisadi wa Polisi, walikuvunja moyo kupata haki yako Pole sana.

Hili la kutega mitego yako kwenye chumba cha biashara navyojua mimi, akiuawa jambazi humo halina kesi.

Mjadala wangu ninauelekeza kwa hao mumiani wa kwanza waliokufirisi.

Hapo ungelikodi hata Polisi private akupelelezee bila kufungua jalada la mashitaka ili upate wahusika halisi wa tukio na mnyororo mzima.

Wangelipatikana wezi hao, ningelikufundisha namna ya kuwaangamiza wote kwa mikono yako bila kuhusisha mtu wa pili na bila kuacha alama ya kutiwa hatiani.

Binadamu ni mnyama rahisi sana kumuua bila usumbufu mkubwa kama ilivyo kwa wanyama pori ama wanyama wa kufuga!

Ungeliwaua wote kirahisi sana, mmoja baada ya mwingine, na kwa miaka yote hii ungelikuwa ushawamaliza wote.

Mimi binafsi mtu hawezi kunifanyia unyama huo kisha nikaridhika na kusamehe, siwezi.

Nitapoteza rasilimali kwa ajili ya upelelezi wa uhakika na sipendi kesi za mahakamani kulikojaa rushwa.
Kukodi polisi private ghalama inaweza kuwaje au ni makubaliano yenu tuu
 
Mwizi akifa ndani ya nyumba ya biashara maana yake huyo kakutana na stahiki yake...
 
Salaam tutasalimiana siku nyingine Leo tuingie kwa topic chap chap, hakuna kupoteza muda harufu ya damu imenipanda.

Nianze kwa yaliyonitokea miaka 6 iliyopata. Mwaka 2019 nikiwa mkoa Y nilipata tukio lililonoachia kovu kubwa sana. Nilikua na biashara mbili Moja ya pharmacy na dukani kuuza vifaa vya pikipiki.

Biashara hizi nilizikuza kwa juhidi kubwa na nidhamu ya hali ya juu nikiwa nimepitai changamoto nyingi lakini kupitia changamoto hizi nilizisimanisha biashara zangu na mafanikio yalianza kuja baada ya kitambo cha kutaabika sana (waliokuza biashara wananielewa vizuri)

Wakati huo biashara ya duka la vifaa vya pikipiki ndio ilikua imechanganya sana nikaamua kuongeza wigo na kuanza kuuza spare za magari madogo. Kumbe bwana wakulugwa muda WOTE wana nichora tu.

Ilifika siku ya siku duka langu likavamiwa nakumbuka ilikua Jumamosi 24/03/2019 usiku wa kuamkia siku hiyo. Mimi ni Msabato hivyo nafunga duka saa 9 siku ya ijumaa na mauzo yanabaki dukani mpaka siku ya jumapili alfajiri.

Jamaa walikua wamejipanga haswa walijua ratiba zangu zote na wali counter calculate mpango wao kwa umaridadi. Kwanza walinzi walikamatwa(kulikua na walinzi wawili wanalinda fram 4 zilizotazamana) wakafungwa jamaa wakafungua makufuli yote hakuna kufuli lililovunjwa.

Wakaingia ndani kulikua na fedha za mauzo ya siku mbili pia kulikua na fedha za order za wateja kwenye strong box au kasiki jamaa waliifingua kasiki wakabeba 12 M.

Hawakuridhika wakachua spare za pikipiki walizoweza kuzichukua wakachukua vifaa vya kazi kama machine ya kuhesabua fedha, laptop na wakang'oa CCTV camera zote.

Walichoaacha ni vitu vizito kama mablock ya engines, frame za pikipiki na vitu vya plastic visivyo na thamini kubwa kama mud guards, seat nk Kwa ujumla nilipata hasara ya zaidi ya 30 M

Niliripoti polisi kwa haraka sana kusaidia kubaini wahalifu lakini nasikitika kusema ningejua hata nisingejisumbua. Polisi wakijifanya kushughulikia huku wakunitoa upepo wa kutosha.

Kila nilipokua nafuatilia walikua wananipiga Dana Dana huku wakitengezeza mazingira ya kunitoa upepo zaidi. (Nalisikitikia sana jeshi letu yani ukiwa na matatizo kwao ni fursa ya kupiga hela wakijifanya wanakusaidia)

Kiufupi sikupata MSAADA wowote zaidi nilipukutika hata viakiba nilivyokua navyo nikaingia kwenye madeni nakufilisika hatimae na ndio maana Leo nimefika hatua ya kutaka kufanya unyama wa kuua binadamu mwenzangu.(Sikuwahi kuwaza nitakuwa muuaji)

Au pia labda nisiwalaumu sana polisi wetu yumkini walijitahidi lakini hawakufanikiwa kwa maana wavamizi walipanga na kutekeleza wizi ule kwa umakini na hawakuacha hata chembe ya ushahidi.

Tangu hapo maisha yangu yalibadilika sana biashara ya pharmacy iliyumba sana kutokana na kuchota fedha bila kuzirudisha katika kuhangaikia kuwanasa wahalifu.

Ilifika hatua nikawa naendesha biashara ya phamacy kwa hasara mamlaka za serikali nao wakaanza kunidandia kwa kukosa kulipia vibali kama mnavyojua biashara ya pharmacy inahitaji vibali vingi. Ilifika hatua nikaifunga biashara nilikata tamaa ya maisha mke akanikimbia akisema Nina mikosi marafiki WOTE walinikwepa.

Nilikonda sana na sikujali Tena kua nadhifu ilifika hatua watu wakawa wananiona kama kichaa lakini Mimi sikujali nilijua kabisa sijawa kichaa. (Nikisikia maneno kua jamaa tangu aibiwe amikua kichaa) Nilipitia msongo mkali sana na hatimae nilifikia uamuzi wa kuhama mkoa Niliamia mkoa Z alipo mdogo wangu.

Mdogo wangu alinipa back up kubwa sana kuanza upya na hata wakati wa mapito alikua na Mimi. Miaka sita sasa imepita haraka sana angalau nimeenza kuchechemea.

Lakini nimebaki na kovu kubwa sana mioyoni, zaidi ya kuibiwa na kupoteza fedha pia nimepoteza mengi yaumkini yenye thamani hata zaidi ya fedha nilizopoteza.

Nimeenza na biashara ya miamala maana kuna fursa niliiona na nikairukia haraka sana. Kuna sehemu nilipata mwaka wa Jana na eneo limechanganya sana kwa biashara ya miamala na huduma za uwakala wa bank.

Tatizo biashara hii sasa ndio nimewafuata wakulungwa kwenye anga zao kabisaaa. WOTE mnajua jinsi biashara hii inawindwa na majambazi na hapa bado hata sijapona maumivu ya miaka sita iliyopita.

Baada ya biashara kuanza kuchanganya kidogo ndio nimeamua kuja na mpango wangu wa mauaji, wanasheria na wadau kwa ujumla naombeni maoni yenu iki hivi:

Nimetengeneza kasiki iliyojificha ukutani na juu nimeweka frame ya picha kubwa. Kasiki hii niliitengeneza Mimi mwenyewe baada ya kuona hatari ya kuondoka na fedha baada ya kufunga biashara.

Pai pesa kubaki ndani kizembe tu hapana. Kwa jinsi nilivyo iweka kasiki mtu yeyote hawezi kujua kama ukutani pale kuna kasiki, lakini labda tuseme wakulugwa wakajua kasiki ya kuhifadhi pesa Iko ukutani.

Ndio nikaja na wazo za mauaji ya kukusudia kupanga na kutega mauaji. Nikaitengenezea kasiki insulation kwa silicon plastic kuondoa contact na ukuta ila ikiwa ndani ya ukuta na kuiunga kasiki na umeme kwa nyaya nilizopitisha ndani kwa ndani ya ukuta kwenye bomba na kuifanya kasiki kua hot conductor. (Kama kuna namba ya kuboresha eajuzi naombeni maboresho)

Kasiki nimefanukiwa kuitega kwa umeme na zaidi nimepata handly transformer ndogo nilioiunga na kuificha juu ya Dari lengo likiwa kuongeza volts za TANESCO hizi 220v kufukia 1000v

Lengo likiwa labda tuseme japo kasiki nimeificha ndani ya ukuta labda wakulugwa wafafanikiwa kudundua na kuondoa picha ya ukutani na kuifikia, wakiigusa tu hawatakutana na volts 220 za TANESCO za kuwatetemesha bali watakutana na volts 1000v zinazoweza kuwapotezea maisha kwa kugusa tu. (Sina huruma kabisa kwa habari ya jambo hili)111111

Na hakuna switch ya kuzima mtego wangu nimeificha ninapopajua Mimi. Utaniuliza umeme ukikatika je wakulugwa si watajuchukulia fedha. Jibu ni hapana nimeunga standby back up inayoweza kustand masaa 48 bila umeme wa TANESCO.

Kuongeza unyeti wa jambo langu sikumshirikisha mtu yeyote, hakuna fundi alikuja kuniungia nimeunga Mimi mwenyewe (Mimi sio fundi ila ni mtundu wa maarifa).

Wako watoa huduma 2 pamoja na mimi nimewaambia kuna mfumo wa ulinzi hatari hapa ofisini lakini sijawaambia ukoje Wala hawajui kasiki iki wapi na kamwe hawaruhusiwi kufungua ofisi kama sipo na hawawezi kufungua naama funguo ZOTE NINAZO MIMI.

Ofisini wanaondoka saa 2 usiku baada ya kufungua hesabu nabaki Mimi mpaka 2:30 nawekapesa kwenye kasiki nawasha mitambo nafunga na kuondoka. Alfajiri naifungua ofisi saa 11:00 alfajiri na watoa huduma wenzangu wanatakiwa kuripoti saa 1 wanakuta nishazima mitambo fedha ziko kwenye droo zetu za huduma

Nikiwa na dharula yoyote ofisi haifunguliwi. ANAYEFUNGUA OFISI NI MIMI TU.

MSAADA: Endapo wakulugwa matajichanganya na kuvamia kuiba hawataona pesa, labda tuseme wakagundua kasiki iki ukutani, wakijichanganya zaidi wakaigusa hakika watabatizwa kwa gharama ya uhai wao

Je nikawageuza maiti ndani ya sekunde kwa mfumo wangu. JE KISHERIA NITAKUA NIMETENDA KOSA KWA KUWAUA ?!

Kama ukiwa na kisu au panga jambazi akakuvamia ukimuua ndani kwako akiwa amevunja kuja kukuibia na kukudhuru hauna hatia, je nikiua kwa kuwakausha kwa umeme nitakua na hatua ?!
Maisha ni zawadi peke binadamu tulionayo, ila nasikitika kuona vijana wanaacha kufanya kazi ya halali na kuingia kutafuta njia fupi yenye mafanikio ya hatari

Ndugu yangu naomba tena na tena ukae na ufikiri jambo lako ulioamua kulifanya,
 
Safi kabisa...mwizi dawa yake ni kifo tu.....polisi ukiwapelekea taarifa yakuibiwa wala hawakupi sana kipaumbele...bora kuwaua hao mbwa kwa namna yoyote
 
Labda Kiswahili kigumu, kasiki kwa ki inglish inaitwaje?
 
Kanyaga twende kiongozi tumechelewa MNO.
KAZI ni kipimo cha utu
 
Back
Top Bottom