Habari wakuu,
Naomba msaada kwa yeyote mwenye uzoefu au uelewa wa usaili wa nafasi ya Planning Officer kupitia PSRS.
ningependa kujua format ya maswali huwa ikoje, na kama kuna anayewahi kufanyiwa usaili huu anisaidie kwa yeyote anachokumbuka.
Je, maswali huwa ya kitaaluma zaidi, au yanahusisha pia maswali ya jumla (IQ, Current affairs, n.k)?
Tafadhali wakuu, msaada wowote utathaminiwa sana 🙏🏽