Ushuhuda: Baada ya kufuatilia kilimo cha miti kupitia humu JF niliamua kujilipua na Mikaratusi, nilipanda 2016 kwa sasa ina miaka 3, mikaratusi inakimbia jamani huwezi amini, hapa nafikiria kuvuna nguzo niwauzie watu wa Cable Tv's.
Mishahara wanayolipana wazungu ni kufuru mkuu, Huku kanda ya magharibi haya makampuni ya Tobbaco mi nilihisi wazungu salary yao ni around 1-4million, Jamaa mmoja akaniambia wale wanalipwa kuanzia 20-40 million kwa mwezi,na bado kuna maposho kibao!
Salaam Mabaharia!
Nimesikitishwa na response yenu ya mimi kula tunda ktk send-off,eti ni chai.! Jamani haya mambo yapo.
Soon nadondosha nyingine nilivyokula tunda Disko!
Salaam Mabaharia.!
Nimevutiwa kuleta kisa changu baada ya kusoma visa vya mabaharia wenzangu,ilikuaje.!? Twende sasa...........
October mwaka huu nilipata fursa ya kuhudhuria moja ya send-off hapa mjini,kufika ukumbini hivi achaaaa mademu kibao full masmartphone na drone za kutosha.Bila...
Kilimo cha tikiti kina gharama sana,
Mbegu ni laki 2 kwa 500gm,then uzaaji wake ni kila shina tikiti moja ni bahati sana kukuta matunda mawili katika shina,and then ujitahidi sana tena sana,narudia tena ujitahidi sana kila shina upate tikiti kubwa(wakulima wanaita Ndonga),ina maana ukitoa chenga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.