Mahmetkid
JF-Expert Member
- Apr 20, 2012
- 732
- 445
Habari za jioni wana board members, natumaini tumefunga wiki kwa mafanikio tele.
Napenda kukuleteeni mkasa mmoja uliomfika Mzee mmoja hivi tulikuwa tumempa jina la Mzee wa Chabo.
Huyu mzee alikuwa ana uwezo wa kifedha kiasi chake. Alikuwa na duka kubwa la vyakula pamoja na guest house mbili kwenye center moja hivi ya kijijini iliyochangamka. Mzee wa Chabo kama jina lake linavyoashiria alikuwa na vitabia vya kuwapiga chabo wateja wanaolala kwenye guest house zake kupitia milangoni na guest house za jirani kupitia madirishani.
Hii tabia ilimkomaa kiasi cha kushindwa kuacha na kijiji kizima walikuwa najua kuhusu hii tabia yake.
Kwa sababu alikuwa na uwezo hapo kijijini, watoto wake alikuwa anawapeleka shule za mchepuo wa Kiingereza nje ya Wilaya anayoishi.
Siku Mabaharia wakamfungia kazi binti yake wakati wa kufunga shule, mtoto akaingia kwenye 18 za watu. Siku moja kabla ya kufunga shule mtoto akakubali kuja kula uroda na baharia aliyeandaliwa na Mabaharia wa kijijini. Siku hiyo mtoto wa kike alifika kijijini bila ya watu wala wazazi kufahamu na kufika lodge maalum iliyoandaliwa kwa tukio hilo. Huku wazazi wake akiwemo na Mzee wa Chabo wakiwa na matumaini mtoto wao kesho yake ndiyo anafunga shule na kurudi nyumbani.
Ilipofika saa nne usiku, Mzee wa Chabo kama kawaida yake baada ya kufunga duka lake, anatembelea guest house zake na kukusanya mapato ya siku, baada ya kumaliza shughuli za kukusanya mapato, watu wakamjulisha guest house fulani kuna bonge la movie, mtoto mbichi toka town amekuja kijijini na fulani atakuwa naye anashughulika naye.
Mzee wa Chabo kihoro kikampanda na kwenda kupiga chabo ili ajionee mwenyewe kinachoendelea kwenye hiyo guest house. Laahula, kuchungulia kwa dirishani anakuta mtoto wake wa kike akiwa kwenye shughuli pevu huku alitoa ushirikiano wa hali ya juu.
Mzee wa watu akazimia na kuzinduka asubuhi akiwa yupo hospital kwa matibabu ya dharura.
Hiyo siku Mabaharia waliamua kumkomesha Mzee wa Chabo na katabia ka chabo akakiacha toka siku hiyo.
Sent using Jamii Forums mobile app