amu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2012
- 16,169
- 31,356
Sasa mkuu wangu kufanya sampling SUA tu laki 5.
Yeye hapo anakuambia hana sh kumi, kikubwa kasema ana shamba la hekari, kuna nyumba shambani na ana water pump.
Anahitaji partner yaani kiufupi mtu mwenye hela aongeze nguvu waanze kulima.
Yeye hapo anakuambia hana sh kumi, kikubwa kasema ana shamba la hekari, kuna nyumba shambani na ana water pump.
Anahitaji partner yaani kiufupi mtu mwenye hela aongeze nguvu waanze kulima.
Mkuu naomba nikushauri hivi
Kama utaweza fanya kilimo cha kisiasa
Chukua Sampso za udongo then peleka SUA au Ardhi University pale mtafute Dr mmoja yeye ni field coordinator wa SEST atakushauri vizuri sana kuhusiana na nn kimekosekana na nn kimezidi shambani mwako kulingana na zao unalotakakupanda, andaa kama budget ya laki 5 tu.
Kuwa mvumilivu mkuu, nipo njiani kuingia kwenye kilimo ila nataka niingie kusomi na kitechnology zaidi