Recent content by Kilima mpunga

  1. K

    JamiiForums Tanzania Naomba kuuliza maana ya alama hizi

    Wataalam tumieni taaluma yenu kuelimisha uma
  2. K

    JamiiForums Tanzania Serikali yaivunja Bodi ya TCU, yawasimamisha kazi vigogo

    Tubua mama, ila umechelewa kufanya hivyo tumekuwa tukilalamikia time hiyo kwa muda mrefu sana. Swali language kwa mh. Waziri in hili, Je, wale walio hitimu kwa vigezo vya kugushi wataruhusiwa kupata ajira kwa mujibu washeria? Pili, wahitimu hao shahada zao zitahesabika kuwa ni halali?
  3. K

    JamiiForums Tanzania Serikali yaivunja Bodi ya TCU, yawasimamisha kazi vigogo

    Tubua mama, ila umechelewa kufanya hivyo tumekuwa tukilalamikia time hiyo kwa muda mrefu sana. Swali language kwa mh. Waziri in hili, Je, wale walio hitimu kwa vigezo vya kugushi wataruhusiwa kupata ajira kwa mujibu washeria? Pili, wahitimu hao shahada zao zitahesabika kuwa ni halali?
  4. K

    JamiiForums Tanzania I am in love with my brother

    That is a shame, pepo hilo inabidi uombewe kwa sala ya toba!!
  5. K

    JamiiForums Tanzania Tigo 4G ni hatari sana, Halotel ikae mbali sasa

    Tigo ushawishi wake bado maana imechagua maeneo na mikoa, mikoa mingi badio hawaja link. Hapo ndo wanapochukulia Ttcl na Halotel point, hats mi bado cjashawishika!
  6. K

    JamiiForums Tanzania Mwendo wa kuumbuana tu bungeni

    Mwaga mboga, mwaga ugali!
  7. K

    JamiiForums Tanzania Ndege yaachia njia Uwanja wa Ndege Bukoba

    Mungu pamoja nao!
  8. K

    JamiiForums Tanzania Siku KUB akisoma hotuba yake bungeni Wabunge wote wa CCM tokeni nje

    Mimi nitawaunga mkono endapo watafanya hivyo, watoke hata wasipo sema sababu maana hao ukawa wamezoea kulialia kama watoto, kulialia tuuuu
  9. K

    JamiiForums Tanzania Mch. Peter Msigwa, kwa Mahojiano ya ITV jana umechemka sana

    Wanako upeleka upinzani binafsu sifurahishiwi nako hats kidogo. Wanadhani kuwa mpinzani no lazima kupinga kila kinacho fanywa na serikali hata kama kikiwa kizuri. Kumbe kwa uelewa wangu upinzani ni kutoa mawazo mbadala ambayo ni chanya kwa serikali iliyopo madarakani.
  10. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Rais Magufuli mfutie kesi kijana huyu

    Kilicho mfanya atumie mtandao vibaya ni nani? Akajiachie na huko kwenye wa babe wa kisheria.
  11. K

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli atembelewa na Odinga nyumbani kwake Chato

    Achote na busara na uzalendo wa mzee JPM
  12. K

    JamiiForums Tanzania Namuunga mkono Ray C kwa anachofanya Shigongo kwake

    Ye kumiliki wa teja wa udaku siyo awtumielie kupandikiza chuki kwa wengine
  13. K

    JamiiForums Tanzania Ishu ya Kitilya(TRA) kuibua wengi sana, wengine tusiowategemea!

    Yamejificha mengi, na wako wengi nyuma yake.
  14. K

    JamiiForums Tanzania EWURA yashusha bei za umeme kwa watumiaji wa viwango tofauti

    Kumbe inawezekana Tz bila kunyonyana, na hapo kila mtu atafurahia taifa lake na kulipa kodi kwa. hiyari bila hata kulazimishwa. Mi nazidi kuomba washushe zaidi ya hapo, gesi mbona tunayooo!!
  15. K

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuwanasa wafanyakazi hewa wa Serikali

    Wazo langu hapo kila mwl apeleke vyeti halisi kwa tume ya ukaguzi, vile vya elimu ya secondary na vya utaalam wake, hapo watu lazima wapoteane wengi sanaaaaa.
Back
Top Bottom