Ishu ya Kitilya(TRA) kuibua wengi sana, wengine tusiowategemea!

Ishu ya Kitilya(TRA) kuibua wengi sana, wengine tusiowategemea!

Inawezekana Kitilya katolewa kafara tu then watanzania tukaja pigwa changa la macho kimtindo kesi ikaisha kimya kimya unless otherwise DPP apewe nguvu zaidi and moreover PCCB iwe a very independent organ
 
Hapo kilichobaki ni mahakama kutenda haki,wataamua kutoka na ushahidi na utetezi uliotolewa
 
Dili hupigwa na wengi, anayesafa ni moja au wawili tu kaka!!!! Acha tu awakilishe wenzake katika tuhuma hizi, maana bado ni tuhuma tu anlesi pruvdi adhawaiz na mahakama
Anlesi Pruvdi adhawaiz duh Bonge bonge hii kali kweli.
 
Na kama magu angekuwa na dhamira ya kweli angeshughulika na kubadili sheria ya ufsad kwanza
Kama alivyosema mzee Warioba kwamba ili Magufuli afanikiwe katika vita ya mafisadi lazima ipatikane katiba imara ili hata yeye atakapomaliza muda wake vita ya mafisadi itaendelea lakini kama mahakama ya mafisadi itaanzishwa kwa amri ya Rais mwisho wa siku itakosa nguvu na kuyeyuka..Tumeona tume ya watumishi wa umma ilivyopigwa chini wakati wa sakata la ESCROW wapo watu mpaka leo tume imeshindwa kuwaadhibu.Ombi Rais Magufuli aombe ushauri kwa mzee Warioba ili aweze kuweka imara vita yake na viongozi waka rushwa na mafisadi.
 
Faiza Foxy......bila Bashir Awale hakuna kesi hapo.Hii ni moja ya sentesi fupi kutolewa na Faiza lakini mmmmhhhhh.Bashir Awale kazaliwa Dom lakini ni raia wa kenya.tuliambiwa ni mshirika wa Lowassa.hebu tuanzie hapo.
 
Ila kitu kimoja ninachojua ni kwamba mahakamani haupelekwi bila ushahidi na mara nyingi wakubwa huwa wanakaa pembeni kabisa ila wanakuhakikishia kukulinda kwa staili ya ccm ni ile ile. Sasa inapotokea bahati mbaya kama hii magulification inakuwa haina namna labda kujaribu kuhonga honga mahakimu.
Watahukumiwa kufagia stendi ya Miomboni Iringa au Misuna Singida. Au wanaweza kwenda Msoga Hospital kuokota mabomba ya sindano
 
Namhurumia sana Sioyi,alipokuwa akisoma A level seminari moja,walikuwa wakienda kuwatembelea wafungwa gereza moja jirani na hapo seminari,saizi mwenyewe ana nyea debe.
Kweli Dunia tambara bovu
 
Namhurumia sana Sioyi,alipokuwa akisoma A level seminari moja,walikuwa wakienda kuwatembelea wafungwa gereza moja jirani na hapo seminari,saizi mwenyewe ana nyea debe.
Kweli Dunia tambara bovu
Unamuonea huruma kwamba hakupiga ishu ama? Poor reasoning....kutembelea wafungwa sio msamaha wa mfanya kosa....execution is intact father/mother. Watch out!
 
mkwe wa lowassa fisadi.... baba mkwe nae aliwai kung'oka uwaziri kwa ufisadi...

chain ya ufisadi
 
Unamuonea huruma kwamba hakupiga ishu ama? Poor reasoning....kutembelea wafungwa sio msamaha wa mfanya kosa....execution is intact father/mother. Watch out!
We dada usoniletee mazoea ya kizee,umesoma ukaelewa nilichokiandika?
 
Utajiri na umaskini wa watanzania umepangwa na Bunge la CCM na Serikali yake kwa kuweka tofauti kubwa sana ya mishahara kati ya kada ya juu na ya chini. Kada ya juu ni rahisi sana kutajirika wakati ile ya chini inatumikia chakula.

Mfano tu kwa sasa kuna Wabunge kwa siku kulipwa posho zaidi ya laki mbili na nusu na mishahara juu na kiinua mgongo kila baada ya miaka 5. Kwa mtu mwerevu hawezi kuwa maskini hasa kwa wabunge vijana.
Wateule wote wa mkuu wana mishahara minono ndio maana mpaka maprofesa wanakimbilia kutafuta uteuzi. Wakitumia mishahara yao na marupurupu yao vizuri wananafasi ya kuinuka kiuchumi hasa vijana.
Kwa aina hiyo ya utofauti kubwa wa mishahara kati ya wale wa ngazi za juu na wa chini suala la
Kundi kubwa kuwa na umaskini wa kipato halitaepukika vinginevyo ni suala la rushwa kuhamia kwa wale wa watumishi wa chini ,yaani pet corruption.
 
Back
Top Bottom