Tigo 4G ni hatari sana, Halotel ikae mbali sasa

Tigo 4G ni hatari sana, Halotel ikae mbali sasa

Tigo mnaanza jishika shika baada ya voda kuzindua 4G, shusheni bei zenu tu wateja tuchague wapi rahisi tukimbilie. Uzuri tushatenganisha line za data na voice call, hizo za data tunahama hata kwa siku mara tatu kutafuta huduma nzuri.
 
Tigo 4G njoo Mpanda. Ukutane na Halotel ndipo uongee. We unaongelea Tanzania. Jaribu Tanganyika pia ndo uzungumze avatar yako
 
Kule lushoto tanga 3G haikamati sasa hiyo 4g nitatumia wapi au wote tupo hapo mlimani cty... Hapa nipo hapa mwenge 3G kimeo yani jamaa unapotosha uma hamia Halotel mkuu
 
Kule lushoto tanga 3G haikamati sasa hiyo 4g nitatumia wapi au wote tupo hapo mlimani cty... Hapa nipo hapa mwenge 3G kimeo yani jamaa unapotosha uma hamia Halotel mkuu
 
4G tigo inafananishwa na 3G Halotenga!!!!!!? Kweli tigo hamna ktu sasa halotenga nao wakileta 4G Itakuaje?
 
acha kupotosha wewe amna mtandao unaokuta Halotel,nimetumia tigo 4G inachagua maeneo ukiwa city center iko fresh ukiwa uku kwingine amna lolote lakn Halotel n sehem yoyote hadi kijijini inakimbiza mbaya
Unasema umetumia Tigo? Basi wewe kiboko yao...!
 
Tigo ushawishi wake bado maana imechagua maeneo na mikoa, mikoa mingi badio hawaja link. Hapo ndo wanapochukulia Ttcl na Halotel point, hats mi bado cjashawishika!
 
Mkuu. Hongera na pole. Hiyo 4G ya tigo inakufaa wewe wa city centre. Sisi wa chamkoroma na ibwaga tuache na halotel yetu.
 
Tigo ndio mtandao pekee ambao network ikiwa E au Edge hata message za watsapp haziingii" Tigo ni jipu
 
View attachment 343717
View attachment 343718
View attachment 343719

Kama bado upo kwenye mtandao wa halotel 3G ondoka huko fasta njoo Tigo 4G speed yake hutajuta kamwe, jaribu leo uone kwa waliojaribu wanajua nini nachoseme, Halotel niliwapenda but 4G naipenda zaidi.

1Gb unadownload kwa 10 min, Sometimes speed inakwenda had 3mb/sec kwa aliotumia niko tayari kukosolewa.
Tatizo la mtandao wa tigo ni muda mwingi kuwa "no service " muda mwingi. Ila kwa speed wako vizuri sana. Mm nilihama kwa kosa hilo. Yaani mwanzoni nilijua ni simu yangu mbovu. Lakini baada ya kuona lipo kwa watu wengi nikajua ni kosa lao
 
View attachment 343717
View attachment 343718
View attachment 343719

Kama bado upo kwenye mtandao wa halotel 3G ondoka huko fasta njoo Tigo 4G speed yake hutajuta kamwe, jaribu leo uone kwa waliojaribu wanajua nini nachoseme, Halotel niliwapenda but 4G naipenda zaidi.

1Gb unadownload kwa 10 min, Sometimes speed inakwenda had 3mb/sec kwa aliotumia niko tayari kukosolewa.
Hiyo 4G naona kama tunadanganyana tu Voda pamoja na na 3G yao ipo juu maradufu kuliko ya 4G ya Tigo
 
Hao halotel bado wana wateja wachache sana ndo maana mtandao wao una speed hakuna congestion kama mitandao mingine, subiri wapate wateja wa kutosha uone...
leta ushahidi kuwa voda tgo na airtel walipo kuja neti yao ilikua fasta kabla hawajazidiwa na wateja kama unavyo dai
 
mbona halotel nshawai tumia ikawa inatembea had 7mb per second,nlihisi nmeona vibaya
 
View attachment 343717
View attachment 343718
View attachment 343719

Kama bado upo kwenye mtandao wa halotel 3G ondoka huko fasta njoo Tigo 4G speed yake hutajuta kamwe, jaribu leo uone kwa waliojaribu wanajua nini nachoseme, Halotel niliwapenda but 4G naipenda zaidi.

1Gb unadownload kwa 10 min, Sometimes speed inakwenda had 3mb/sec kwa aliotumia niko tayari kukosolewa.
hebu nieleweshe jinsi ya kupata 4g nina line ya tigo 4g ila sion tofauti yoyote
 
halotel inakimbiza kuanzia mjini mpk vichakani huko
 
Na inawezekana kabisa kwa maeneo ambayo huo mtandao tajwa haushiki halotel ikawa best lakin kwenye maeneo ambayo huo mtandao upo speed ni supersonic
huku mbeya hiyo 4G ni majanga matupu,, network haipatikani kabisa ikipatikana ni dakika mbili inazima
View attachment 343717
View attachment 343718
View attachment 343719

Kama bado upo kwenye mtandao wa halotel 3G ondoka huko fasta njoo Tigo 4G speed yake hutajuta kamwe, jaribu leo uone kwa waliojaribu wanajua nini nachoseme, Halotel niliwapenda but 4G naipenda zaidi.

1Gb unadownload kwa 10 min, Sometimes speed inakwenda had 3mb/sec kwa aliotumia niko tayari kukosolewa.
Tigo 4g ni mbwembwe nyingi lakini hakuna uwiano wa kile wanacho sifia na uhalisia wake,yaani kasi ya 3g ya hallotel ni kubwa kuliko hiyo 4g,Tigo network haiko stable (imara) muda wote.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom