....Tafuteni sababu yoyote ya kutoka.
Sababu za ukawa toka wameanza kutoka nje hakuna hata moja yenye kichwa wala miguuHa ha ha! Kumbe ni kutafuta "sababu yoyote" na sio genuine sababu! Kama sababu ya msingi ya kufanya hivyo ipo it's Ok na inakubalika tena ni desturi ya kawaida kabisa kwa mabunge ya kidemokrasia otherwise unaleta kituko.
Mimi nitawaunga mkono endapo watafanya hivyo, watoke hata wasipo sema sababu maana hao ukawa wamezoea kulialia kama watoto, kulialia tuuuu
Kwani ile hotuba husomwa kusaidia wabunge au jamii yote ya watz. Wakitoka najua bunge litakuwa live so tutasikiliza hotuba kwa makini na muvie itaendleaUKAWA walitoka siku Waziri mkuu akisoma hotuba yake bungeni.Mvizieni na kiongozi wa upinzani siku hotuba yake ikisomwa Wabunge wote wa CCM tokeni nje awasomee UKAWA wenzie.Tafuteni sababu yoyote ya kutoka.
Wapo bwana, hujawaona wale viti maalum?CCM hakuna watoto.