eden kimario
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 10,235
- 16,205
Mbunge wa viti maalum catherine magige juzi aliumbuliwa vibaya wakati akichangia mjadala wa ofisi ya rais tamisemi akiuambia uma wa watanzania kua eti zile ahadi za sh/ milion 50 katika kila kijiji zimeanza kusambazwa katika maeneo mbalimbali nchini
Watu hawakumuacha aendelee kudanganya ndipo mbunge wa tarime ester matiko aliomba mwongozo akitaka mbunge huyo wa viti vya kupewa aeleze ni wapi alikoona fedha hizo zinasambazwa na aeleze zilipitishwa na bunge lipi?!!
Mbunge huyo wa viti maalum kupitia ccm alishindwa kuthibitisha jambo hilo na kuishia kuwaponda wapinzani kua kasi ya magufuli inawachanganya!!