- Thread starter
- #21
Mkuu majibu sahihi bado hatujayapata..je..? Madereva pia hawajui maana yake..humuHizo huwa nahisi zina husiana na geographical positioning.
Mkuu majibu sahihi bado hatujayapata..je..? Madereva pia hawajui maana yake..humuHizo huwa nahisi zina husiana na geographical positioning.
T18 ni hiyo ya urambo.T8ni hiuo ya nzega.karibu dunia nzima barabara kubwa zinatambulika kwa alfabet na namba mbele kama hiyo t18.au Ñ1 au r3oo.....mara nyingi nnapokuwa safarini. Vile vibao vya kuonyesha direction au kwenye google map..uwa naona alama hizi....
...View attachment 364294
Malabi-Ipuli.....mara nyingi nnapokuwa safarini. Vile vibao vya kuonyesha direction au kwenye google map..uwa naona alama hizi....
...View attachment 364294
Mkuu samahani ikiwa mfano..B6 au R8.....umaanisha nini mkuuT= Trunk road/ barabara kubwa,
T18 = Trunk road 18, Trunk road 8, ni codes za barabara.
Na hio 300m ni Mita 300, sasa hicho kibao kinaonyesha Mita 300 mbele kuna round about - ambayo ina barabara kuu #18 na # 8 katika mwelekeo huo.
Ikiwa hujuwi ķukaa ķimýa nì jambo jema ķuliko kuzungumza ili mladi iwe umezungumza hata hivyo jongera maana umejalibu kuonyesha nawe unachokijuaAlama za freemason izo.Ndio maana ajali haziishi
Hizo alphabet na namba zisikuchangaye. Huwa ni majina ya kubuni ili kuipa barabara jina hasa kwenye maeneo ya njia panda,Mkuu samahani ikiwa mfano..B6 au R8.....umaanisha nini mkuu
Hizo ni route tu za barabara, kila nchi huwa ina hizo routeMkuu samahani ikiwa mfano..B6 au R8.....umaanisha nini mkuu
Mkuu samahani ikiwa mfano..B6 au R8.....umaanisha nini mkuu
Mladi=mradiIkiwa hujuwi ķukaa ķimýa nì jambo jema ķuliko kuzungumza ili mladi iwe umezungumza hata hivyo jongera maana umejalibu kuonyesha nawe unachokijua
Safi mkuu, wengine wanacomment pumba hawaelewi wanaleta utani tu.T= Trunk road/ barabara kubwa,
T18 = Trunk road 18, Trunk road 8, ni codes za barabara.
Na hio 300m ni Mita 300, sasa hicho kibao kinaonyesha Mita 300 mbele kuna round about - ambayo ina barabara kuu #18 na # 8 katika mwelekeo huo.
Hujaeleweka mkuu, jibu kisomi basi watu waelewe unachotakiwa kukisema.T18 ni hiyo ya urambo.T8ni hiuo ya nzega.karibu dunia nzima barabara kubwa zinatambulika kwa alfabet na namba mbele kama hiyo t18.au Ñ1 au r3oo
Aksante sana kwa ufafanuziT= Trunk road/ barabara kubwa,
T18 = Trunk road 18, Trunk road 8, ni codes za barabara.
Na hio 300m ni Mita 300, sasa hicho kibao kinaonyesha Mita 300 mbele kuna round about - ambayo ina barabara kuu #18 na # 8 katika mwelekeo huo.
Asante mkuu kwa nyongeza na ufafanuzi wako.bdo upo sahihi bandiko 19
Kuna barabara kuu (Trunk Road T)
Kuna barabara za mikoa(Regional Roads B)
Kuna barabara za vijijini.
Hizo barabara za Mikoa na Vijijini baadaye huwa zinapandishwa madaraja,yaani za Mikoa zinakuwa kuu ,na za Vijijini zinakuwa za Mikoa,kutokana na ongezeko la matumizi/uhitaji wake.
Google si wakweli kwa taarifa sahihi. Barabara ya tabora mwanza kwa sasa ni PAVEDNimejaribu ku google t8 imeelrzwa kuwa ni unpaved trunk road from Tabora to Kigoma na t18 Tabora to Mwanza, nafikiri sijazichanganya. Nafikiri wataalamu wa usafiri barabarani hasa wanaotumia ramani kutoka sehemu moja mpaka nyingine wanatumia hizo alama (au ndio zinavyooneshwa katika ramani zao). Kuna t3 imeoneshwa inaanzia Morogoro.
T= Trunk road/ barabara kubwa,
T18 = Trunk road 18, Trunk road 8, ni codes za barabara.
Na hio 300m ni Mita 300, sasa hicho kibao kinaonyesha Mita 300 mbele kuna round about - ambayo ina barabara kuu #18 na # 8 katika mwelekeo huo.
Tangia = TanguMladi=mradi
Jongera=hongere
By the way wewe tangia lini umekua kiranja apa JF?? Piga kimya
Niligoogle ila hizo habari nimezipata wikipedia. Nafikiri hawako sambamba na hali halisi.Google si wakweli kwa taarifa sahihi. Barabara ya tabora mwanza kwa sasa ni PAVED