Rais Magufuli atembelewa na Odinga nyumbani kwake Chato

4.jpg
 
Raila Odinga asafiri kijijini Chato kwa Rais Magufuli . Waziri Mkuu huyo wa zamani wa Kenya ameenda kama rafiki yake wa muda mrefu nia ni kutembeleana kama marafiki.

Tutajulishana zaidi.
Huo ni urafik wao binafsi....hakuna wa kuwazuia.....
 
SAFI SANA
Unaweza kuwa urafiki wa mashaka maana wawili hawa wana ideologia tofauti. Odinga ametoka katika familia ya matajiri na ni watu wanaoamini katika ubepari wakati magufuli anaamini maisha ya kuishi pamoja na kugawana kidogo tulichonacho kugawana wote
 
Kimsingi Odinga family ilikuwa/ni wanaamini katika soshalisti. Baba yao Jaramogi alikuwa muuumini hasa wa Ujamaa fuatilia historia yake. Usisahau pia Raila mwenyewe alipelekwa kusoma east Germany ya kisoshalisti, na mwanae wa kwanza akiitwa Fidel (refer Fidel Castro).

Sina hakika sana kama baada ya kupata ukwasi walionao bado ni waumini wa ujamaa/usoshalizim
 
Unaweza kuwa urafiki wa mashaka maana wawili hawa wana ideologia tofauti. Odinga ametoka katika familia ya matajiri na ni watu wanaoamini katika ubepari wakati magufuli anaamini maisha ya kuishi pamoja na kugawana kidogo tulichonacho kugawana wote
Wewe ndio huifahamu historia ya Odinga family.

Jielimishe kwanza kabla hujatoa angalizo ambalo ni hisia zako badala ya ukweli!

Sehemu ya elimu ya Raila Odinga ameipata katika nchi ya German ya Mashariki ambayo kwa wakati huo ilikuwa na uchumi wa kikomunisiti.
 
Alitusaidia wataalam wa IT kwenye uchaguzi wetu, wazee wa kubadili matokeo
 
Magufuli kamuita Odinga ili amsaidie kumbeembeleza Obama abadilishe msimamo kuhusu MCC
 
Yule bint muongo wa Odinga yuko wapi?
 
Wewe ndio huifahamu historia ya Odinga family.

Jielimishe kwanza kabla hujatoa angalizo ambalo ni hisia zako badala ya ukweli!

Sehemu ya elimu ya Raila Odinga ameipata katika nchi ya German ya Mashariki ambayo kwa wakati huo ilikuwa na uchumi wa kikomunisiti.
...Marxism is no longer around, and is practically eliminated from management system, on other hand, capitalism is bogged down by self-made quagmire... Ahmednejed.
 
Back
Top Bottom