YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,902
- 51,995
Serikali ikitaka kuwanasa wafanyakazi hewa wa serikali ifanye yafuatayo
mfano inataka kunasa walimu hewa mkoa labda wa singida.
Inachotakiwa kufanya ni Afisa elimu mkoa kuagiza kila mwalimu mkuu apeleke majina ya walimu walioko katika shule yake na namba zao za mishahara kwa afisa elimu wa kata. Afisa elimu wa kata akishapata ahakiki na kuji-commit kuwa hao ndio waliopo na apeleke majina ya walimu alionao kwenye kata yake kwa afisa elimu tarafa. Afisa elimu tarafa ahakiki mwenyewe na apeleke hayo majina kwa afisa elimu wa wilaya.
Ofisa elimu wa wilaya akipata hayo majina aombe apewe payroll kutoka mkoani alinganishe na majina ya wanaolipwa katika wilaya yake kama ndio yenyewe.Apitie jina moja moja na wataalamu wake kisha apeleke taarifa kwa mkuu wa wilaya azipeleke kwa mkuu wa mkoa.