Recent content by kilaza wa mwisho

  1. kilaza wa mwisho

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Uhakika hio..kikubwa point tatu leo
  2. kilaza wa mwisho

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Ni moja ya sub nlizokua nasubr kipindi cha pili
  3. kilaza wa mwisho

    JamiiForums Tanzania Mshahara umetoka wadau?

    Mzigo tayar
  4. kilaza wa mwisho

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Kama umetambua kitu kwenye hii picha. Jesus kapiga picha kama lile sanamu la pale Brazil
  5. kilaza wa mwisho

    JamiiForums Tanzania Demu wangu amepata kazi Casino. Je, nimruhusu afanye kazi hiyo?

    Kama unamhudumia ipasavyo ma unampenda kweli. Shikilia hapohapo
  6. kilaza wa mwisho

    JamiiForums Tanzania Wanaume tuliowahi kutongozwa tujuane

    Sjui ndo nina nyota ya ukimwi.. Mwaka huu unaisha nmetongozwa na mashemeji wawili. Barmaid. Pisi za mtaan mbili.
  7. kilaza wa mwisho

    JamiiForums Tanzania Niulize chochote kuhusu HESLB, NACTE na TCU

    Kwangu Kuna changamoto ya kugoma kuingia index no ya second seat. Shida ni nini
  8. kilaza wa mwisho

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara wa mikoani mnaochukua vitu Kariakoo, njooni tujuzane machimbo ya bidhaa

    Mwenye kujua machimbo ya boxer kwa bei ya jumla zile za yarrison na jeans kwa 12k tusaidiane.. Hela ya maji ipo.
  9. kilaza wa mwisho

    JamiiForums Tanzania Nimeumizwa sana na mapenzi

    Tatizo kubwa linaanza kupenda hao maply boy ukiwa na iman atabadilika..ila nakuombea utapata akupendae
  10. kilaza wa mwisho

    JamiiForums Tanzania Mila zetu watu wa Kaskazini

    We wanakuchapia mke km haitoshi wakuchape na fimbo
  11. kilaza wa mwisho

    JamiiForums Tanzania Mila zetu watu wa Kaskazini

    [emoji23][emoji23]Ukisikia kukosana na ukoo ndo hapo.. Amna wa kunichapa na mke nawaachia
  12. kilaza wa mwisho

    JamiiForums Tanzania Wanawake kwa nini mnakuwa ving'ang'anizi?

    Umefeli sana mzee baba km uko kikazi kwa miez mitatu. We ungepunguza tu mazoea mdogo mdogo kama unaona anajaa sana af ukisepa ndo unakua kauzu kabisa.
  13. kilaza wa mwisho

    JamiiForums Tanzania Mbali na kushobokewa na wasichana wengi, ma-HB tunapitia wakati mgumu kuwapata tunaowapenda

    Mwenye muonekano kama wangu[emoji23][emoji23][emoji23]
  14. kilaza wa mwisho

    JamiiForums Tanzania Mbali na kushobokewa na wasichana wengi, ma-HB tunapitia wakati mgumu kuwapata tunaowapenda

    Ndio hali ilivo mzee. kama kuna pisi moja mtaani naizungukia ila haitaki kukaa kwny mstari. Tena kama tukiwaambia tuko single ndo hawatuelewi kabisa
Back
Top Bottom