Black billionaire
JF-Expert Member
- Oct 16, 2018
- 455
- 530
Ok ni hivi unasoma sua. Na una sup umekuja kufanya na demu mwenywe kibonge yupo min market anaitwa khadija mtu wa Tanga,wew unaishi nyumba ya mzee kondo zamani alikuwa Mkuu wa kituo kastaafu mwaka nadhani sasa, chapati unanunua kwa mama sengo pale...kuwa mpole mkuu...mko wawil bonge na wew size ya kati...bye n pole yule cha wote.
Punguza sifa tunajua unapendwa maana zile mbwembwe na gari la home c mchezo.
Punguza sifa tunajua unapendwa maana zile mbwembwe na gari la home c mchezo.