Basi nyie wenzangu mna bahati sana.......
Kwenye pilika zangu za haya masherehe (kumbuka mimi ni Mc) huwa kuna ile demu umemuona mle umemuelewa nae akakuelewa lakini mnashindwa namna hata ya kubadilishana namba kutokana na kampani aliyonayo, unafika muda wa chakula unajifanya kuanza kuwatangaza watoa huduma wenzio.....mpambaji wetu ni fulani, aliyeandaa chakula ni fulani, mtu wa vinywaji nk......ukifika hapo unaweka utulivu halafu.....mimi naitwa Mc....unaweza kunipata Instagram....facebook nakadhalika, lakini pia namba zangu ni.....hapo unamkazia macho ili ajue kuwa ujumbe ule wa namba ni wa kwake....halafu unaanza kuzitaja moja moja unarudia hata mara tatu.
Kumbe kuna siku li shoga moja nalo likainasa namba yangu, baada ya siku mbili napokea sms;
Lenyewe; Mamb
Mimi; Poa
Lenyewe; Mc....
Mimi; hujakosea
Lenyewe; una nafasi nikupigie au tuzungumze kwa sms
Mimi; nina nafasi utakavyopenda tuzungumze iwe kwa sms au kwa kunipigia ni sawa tu (hapo akilini nikajua hii sio biashara, lazima ni pisi tu imenielewa)
Lenyewe; lakini mwenzio mi naona aibu kukupigia bwana tuongee kwa sms tu
Mimi; karibu tuongee vyovyote upendavyo.........
He.......mbwa yule si akaanza kufunguka aisee......mi naitwa Jamal (sio jina lake) naishi Nyegezi (na hapo nimedanganya


).....mimi ni mpenzi wa mapenzi ya jinsia moja, ni shoga, lakini nimetokea kukupenda sana naomba unikubalie tuwe wapenzi.
Muda huo nikahisi matumbo yamevuruga ghafla, nikaanza kuhisi dalili za vichomi na kipandauso, macho yakawa mekundu halafu kama vile yanapoteza nguvu ya kuona, nikipumua nahisi pumzi imekuwa ya moto sana, hapo hapo miguu ikaanza kuwaka moto, kifua kinabana huku sihisi harufu ya kitu chochote.
Nikamuuliza.....unasemaje wewe.....akazidi kunivuruga eti naomba unikubalie ombi langu, naahidi nitakupenda sana kama MUME WANGU, mi ninajiweza na nina biashara zangu tutaenjoy maisha........duh......naandika kama vile mizaha jamani na watu watafikiri ni utani, lakini mshenzi yule alijua kuvuruga akili yangu kwa siku hiyo, liliongea mambo meeeeeengi mwisho nikaamua kuliblock tu.
Tangu hapo huwa sitaji hovyo namba zangu za simu. Mimi wa kutongozwa na shoga kweli