Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

FrP7WOhWAAIeRlh.jpg

Hamsumbui nyinyi, tunajua malengo yenu ni kubaki UCL
 
Waliokuwa wanasema mbona flow ya ushambuliaji haipo

Shida ilikuwa

Ødegaard alikuwa anacheza na injuries

MARTINELL Jesus Saka walikuwa wanakutana na injuries hawaanzi kwa pamoja
Kuna mtu hmu ndani leo hiihii nimemwambia ujinga wa Zinchenko ulivyotucost na west Ham...leo kafanya pumba zilezile...hyu bwana mdogo Timber akirudi atatafutiwa namba nyingine ya kucheza....ana vipindi vya homa ya msimu kama Ramsdale hivi
 
Ni moja ya sub nlizokua nasubr kipindi cha pili
 
Kanacheza sasahvi kwa sababu ya role yake ya ku invert ndani ila akirudi Timber ataanza juu ya mbao hyu...mm huwa akiwa na winger machachari roho yangu inakuwa juu sana halafu goli nyingi Zina leak kupitia upande wake ule....
 
Kuna mtu hmu ndani leo hiihii nimemwambia ujinga wa Zinchenko ulivyotucost na west Ham...leo kafanya pumba zilezile...hyu bwana mdogo Timber akirudi atatafutiwa namba nyingine ya kucheza....ana vipindi vya homa ya msimu kama Ramsdale hivi
Zinchenko anapotezaga concentration nae kama ramsdale tu, Timber akirudi labda acheze LCM/8
 
Kanacheza sasahvi kwa sababu ya role yake ya ku invert ndani ila akirudi Timber ataanza juu ya mbao hyu...mm huwa akiwa na winger machachari roho yangu inakuwa juu sana halafu goli nyingi Zina leak kupitia upande wake ule....
Uhakika hio..kikubwa point tatu leo
 
Back
Top Bottom