Kikao cha dharura cha wanaume halisi; Kuanzia 2023 hakuna kuoa mwanamke mwenye mtoto

projectman

JF-Expert Member
Sep 8, 2015
349
484
Kikao cha dhalula, najua povu upande wa akina hawa au Eva, watafurusha kombola la Maangamizi, missile 05442, lada zina soma,ili kuangamiza upande wa juu, hapo ukraine, ni kwa wanaume harisi tu, yaani madume ya mbegu.

Mwanaume halisi, nakuita tena, mwanaume harisi, mwenye mipango, pia, unaona mbali, mwanaume harisi, nimekuita maratatu, don’t ever, usijaribu kuoa mwanamke aliye anzisha familia hapo kabla, kidogo basi ulione kaburi la baba wa mtoto..

Single mama, ni wapole sana pia ni wakalimu, kukuvuta karibu, ili uingie kingi kisha utangaze ndoa, baba utapigika sana, hata kama mwanaume una watoto, ukitaka kuoa basi oa kabinti kasiko zaa utaishi maisha marefu sana hapa duniani , kwani kutongoza si kazi, bali kutongozwa ndio kazi.

Utakapo oa mwanamke mwenye mtoto A.K.A mke wa mtu, tegemea mambo yafuatayo

1. Iyo ni familia ya mtu, wewe nikama mvamizi, mtoto akiumwa, wazazi wa mtoto, watashirikiana kimaamuzi, kama kadi ya clinic inavyo jitambulisha

2. Baba wa mtoto anao uhuru wa kumpigia simu, unaye mwita mke wako, ana uchungu na mwanae, hata kama unalipa ada za shule, ukae ukijua, mtoto si wako, hata ubadilishe ubini wake, bado huwezi badilisha maana.

3. Endapo wewe ni kapuku, baba wa mtoto anapesa, basi mume mwezio atakuwa anapiga simu, mkeo, aletewe mtoto akamsalimie baba yake magetoni, kama unavyo jua, akikamatwa sehemu sahihi, game over always

4. Ukae ukijua, hawa ni wazazi, waliwai kuwa pamoja, kuna style zao, wanazimis

5. Baba wa mtoto akiwa baunsa na mnyenyua vyuma, anaweza hata kukutia makofi, kama unakwamisha juhudi

6. Utakuwa mtumwa, waulize wakazi wa mbeya huko, kalibu kila mwanaume, ameoa demu aliye zaa kwanza, kama ni uongo waje hapa kupinga manake, imekuwa fashion, wanawake, wanabeba mimba ovyo, wanategemea ndoa zipo always, mbeya mmetisha mwaisa ndugu zangu wa damu

7. Conflict of Interest, baadaye lazima utapendelea watoto wako au watoto wako watanyanyaswa na upande mwingine, inategemea wapi pananguvu hasa kiuchumi na kielimu

8. Biological effects, mwanamke aliye zaa, tayari anakuwa kashachoka, si saa sita tena, tumbo kule, hips hazipo tena, k vant imebomoka, so ni bora unge anza naye kuliko kuanzishiwa

9. Kama hupigi gemu vizuri, mkigombana wanaanza kutupa lawama, bora baba fulani, alikuwa hivi alikuwa vile

10. Wanaume wenzangu, hizi shida zote za nini, waacheni watu na familia zao, ndio maana wanaume tunawai kufa, hebu fikiria, ukiwa mwanaume, unajitongozeaga tu, bila limit, sio kama mwanamke ambaye atasubiri afatwe, huku anakufa na tai shingoni, tongoza, fresh ladies, choose matured one, kisha OA, upo utam, wa kulima shamba jipya

Kuna wimbi la maisha sasa hivi, watu hawaogopi, kuzaa hovyo, wengine wanakuja na nyuzi , humu wanataka kuzalishwa, bila ndoa, mambo yakiwabana baadaye wanataka ndoa,, lazima tutie ngumu,

Hakuna kuoa, kuzaa, mahala palipo limwa na mtu mwingine,

Povu ruksa, wanaume victims na single mama,

Nawasilisha

Aseeh
 
Kikao cha dhalula, najua povu upande wa akina hawa au Eva, watafurusha kombola la Maangamizi, missile 05442, lada zina soma,ili kuangamiza upande wa juu, hapo ukraine, ni kwa wanaume harisi tu, yaani madume ya mbegu.

Mwanaume harisi, nakuita tena, mwanaume harisi, mwenye mipango, pia, unaona mbali, mwanaume harisi, nimekuita maratatu, don’t ever, usijaribu kuoa mwanamke aliye anzisha familia hapo kabla, kidogo basi ulione kaburi la baba wa mtoto..

Single mama, ni wapole sana pia ni wakalimu, kukuvuta karibu, ili uingie kingi kisha utangaze ndoa, baba utapigika sana, hata kama mwanaume una watoto, ukitaka kuoa basi oa kabinti kasiko zaa utaishi maisha marefu sana hapa duniani , kwani kutongoza si kazi, bali kutongozwa ndio kazi.

Utakapo oa mwanamke mwenye mtoto A.K.A mke wa mtu, tegemea mambo yafuatayo

1. Iyo ni familia ya mtu, wewe nikama mvamizi, mtoto akiumwa, wazazi wa mtoto, watashirikiana kimaamuzi, kama kadi ya clinic inavyo jitambulisha

2. Baba wa mtoto anao uhuru wa kumpigia simu, unaye mwita mke wako, ana uchungu na mwanae, hata kama unalipa ada za shule, ukae ukijua, mtoto si wako, hata ubadilishe ubini wake, bado huwezi badilisha maana.

3. Endapo wewe ni kapuku, baba wa mtoto anapesa, basi mume mwezio atakuwa anapiga simu, mkeo, aletewe mtoto akamsalimie baba yake magetoni, kama unavyo jua, akikamatwa sehemu sahihi, game over always

4. Ukae ukijua, hawa ni wazazi, waliwai kuwa pamoja, kuna style zao, wanazimis

5. Baba wa mtoto akiwa baunsa na mnyenyua vyuma, anaweza hata kukutia makofi, kama unakwamisha juhudi

6. Utakuwa mtumwa, waulize wakazi wa mbeya huko, kalibu kila mwanaume, ameoa demu aliye zaa kwanza, kama ni uongo waje hapa kupinga manake, imekuwa fashion, wanawake, wanabeba mimba ovyo, wanategemea ndoa zipo always, mbeya mmetisha mwaisa ndugu zangu wa damu

7. Conflict of Interest, baadaye lazima utapendelea watoto wako au watoto wako watanyanyaswa na upande mwingine, inategemea wapi pananguvu hasa kiuchumi na kielimu

8. Biological effects, mwanamke aliye zaa, tayari anakuwa kashachoka, si saa sita tena, tumbo kule, hips hazipo tena, k vant imebomoka, so ni bora unge anza naye kuliko kuanzishiwa

9. Kama hupigi gemu vizuri, mkigombana wanaanza kutupa lawama, bora baba fulani, alikuwa hivi alikuwa vile

10. Wanaume wenzangu, hizi shida zote za nini, waacheni watu na familia zao, ndio maana wanaume tunawai kufa, hebu fikiria, ukiwa mwanaume, unajitongozeaga tu, bila limit, sio kama mwanamke ambaye atasubiri afatwe, huku anakufa na tai shingoni, tongoza, fresh ladies, choose matured one, kisha OA, upo utam, wa kulima shamba jipya

Kuna wimbi la maisha sasa hivi, watu hawaogopi, kuzaa hovyo, wengine wanakuja na nyuzi , humu wanataka kuzalishwa, bila ndoa, mambo yakiwabana baadaye wanataka ndoa,, lazima tutie ngumu,

Hakuna kuoa, kuzaa, mahala palipo limwa na mtu mwingine,

Povu ruksa, wanaume victims na single mama,

Nawasilisha

Aseeh
Kwa ujumla wote tuseme

Kataa ndoa
Kataa mapenzi
Mapenzi ni usaliti
Ndoa ni usaliti

Linda moyo wako kuliko kitu chochote
Linda afya yako ya akili kuliko kitu chochote
 
Mkuu, na mimi nimejikuta nacheka kilofa kweli .

Ila nikajiuliza swali kwamba, kuna uhusiano gani kati ya uandishi mzuri wa lugha sanifu ya Kiswahili na uwezo wa kutimiza majukumu kama baba wa familia? Nikaona kama havihusiani vile ...

Anyway, this if JF , if you take everything seriously, you will never get out of it alive.
 
Back
Top Bottom