Nimeumizwa sana na mapenzi

Nimeumizwa sana na mapenzi

Af we shenz umenikimbia toka siku ile sasa this xmas nakuja hapo Njiro😁 huyo mvaa kanzu mwambie ajiandae kisaikolojia
Hebu niachie bwana wangu wa majeshi atulie basta😆😆😆

Fanya chap kwa haraka niko hapa kontena
 
Pongezi Kwa Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania, Baada Ya Kutoa Elimu Bure Sasa Hivi Vijana Wanajitambua
 
Mi binti miaka 26, elimu yangu nimejariwa kufika chuo kikuu. Shida yangu moja nimeshakuwa na mahusiano na watu wawili wakati tofauti. Nina bahati mbaya ya kupata wote maplay boy kiukweli nimekataa tamaa na mahusiano kabisa najiona mpweke Sanaa nahitaji marafiki wa kubadilishana nao mawazo jinsi zote mbili kwa mahusiano saivi kiukweli sihitaji nataka nijipe angalau miaka miwili kwanza
Not every venture ends in climax, a fact well known to many women. Pole
 
Mkuu wewe utakuwa waziri wa viuno na mambo yaliyomo, itabidi na mimi nikakuombe code kuna mbunge flani wa chama cha mapinduzi namwelewa 😅
Naskia kuna connection ya Matiko huko mitandaoni...Hebu waja nifanyieni wepesi namie niione. Naskia MB huyo kamwaga miuno kama pangaboy bovu
 
Mi binti miaka 26, elimu yangu nimejariwa kufika chuo kikuu. Shida yangu moja nimeshakuwa na mahusiano na watu wawili wakati tofauti. Nina bahati mbaya ya kupata wote maplay boy kiukweli nimekataa tamaa na mahusiano kabisa najiona mpweke Sanaa nahitaji marafiki wa kubadilishana nao mawazo jinsi zote mbili kwa mahusiano saivi kiukweli sihitaji nataka nijipe angalau miaka miwili kwanza
Tatizo kubwa linaanza kupenda hao maply boy ukiwa na iman atabadilika..ila nakuombea utapata akupendae
 
Miaka 26,bado unajipa miaka miwili? Wewe ni mwanamke lakini.
 
Back
Top Bottom