Recent content by kijanaMmoja

  1. K

    JamiiForums Tanzania Benki ipi nzuri kufungua account?

    Vipi kuhusu fixed account bank gani wana riba nzuri kwa range ya 1 - 10 million
  2. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimeolewa ila nimefall kwa jamaa

    Sikatai kwamba binadamu tuna utashi usio fanana ila nina uhakika ushauri wako ni wa kutaabisha
  3. K

    JamiiForums Tanzania Gharama za kupiga plasta nyumba

    Aisee huyu Fundi anapatikana wapi naona bei zake zipo vizuri kama kazi yake ni ya ubora
  4. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Weekend Story! The Grass is always greener on the other side

    Mbona tupo wengi tu tunaomkubali kiaina
  5. K

    JamiiForums Tanzania Nokia is back, Nokia 6 yazinduliwa China

    Mkuu umezaliwa na uwalimu ndani yako bonge la mfano umetoa
  6. K

    JamiiForums Tanzania Dunia simama nishuke

    Shukeni tu ili tunaobaki tusogee siti za mbele
  7. K

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua changamoto za kufunga Turbocharger kwenye gari

    Dereva Suka, Kumbe ni wengi mnaopanda ASANTE RABI sababu ya mlio tu
  8. K

    JamiiForums Tanzania STRESS FREE: Vichekesho on fleak! Weka na cha kwako hapa tufurahi

    Mzinga wake sio kawaida
  9. K

    JamiiForums Tanzania Nilibadilika mwonekano na kung'aa nlipofika sehemu nlipopatia ajali

    Tatizo shuleni tulienda kusomea ujinga. Nimekumbuka sana comment zako
  10. K

    JamiiForums Tanzania NIPO PORINI WEWE JE???

    Bilashaka litakuwa pori dogo maana sio kwa network strong hivi hadi unaweza kupost me nishazoea porini hakunaga network
  11. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni kipimo gani unakitumia kumpima mpenzi wako kama anakupenda au anakuzingua ?

    Aisee [emoji23] muelezee vinatumikaje mkuu
  12. K

    JamiiForums Tanzania Dereva wangu, Hii ni Scania 113H- 310, tuliza akili

    Aisee uneongea lugha ambayo hakuna dereva duniani ataacha kuelewa. Ubunifu wa hali ya juu. Mpoto rudi shule
  13. K

    JamiiForums Tanzania Kufanya Tendo La Ndoa wakati Uko Period kunaweza Sababisha Ujauzito?

    Mpeni jibu wazuvi wa mambo kijana kasha fanya anataka ajue nini kinafata. Ila mkuu unaujasiri wa pekee simba na toto mmepasha kiwanja kimoja [emoji23] [emoji12]
  14. K

    JamiiForums Tanzania Toyota Dyna tani 3 inauzwa

    Mkuu uzoefu wote ulionau humu una post tangazo kama hili
Back
Top Bottom