20PROFF
JF-Expert Member
- Nov 5, 2013
- 8,147
- 7,128
Habari za wasaa wakuu mbalimbali.
Nimekuwa mtu wa kupenda adventure sana katika maisha yangu.
Kujifunza vitu vipya na ku socialize sana. Lakini kubwa zaidi napenda sana ku take risk na kujipima katika nyanja zote kiuchumi n.k.
Leo katika story na rafiki yangu mmoja tukawa tunazungumza jinsi ya kufanya mwili na roho vyote viweze ku cordinate, na kuwa connected.
Njia tuliyo kubaliana hapa ni kuwa katika hali dharula, basi tukaamua kuchagua tukio risk ili tuweze ku observe hayo.
Hapa tunazama katika pori moja matata sana ukiachilia mbali na hayo ya juu mimi pia napima ujasili wangu.
Plans ni kukaa huku hadi asubuhi jicho, jicho. Tukiwa na tochi na kuzunguka zunguka huku porini.
Kwa taarifa za wenyeji hakuna wanyama wababe kama simba n.k
Ila chatu, kima, ngedere wapo wa kutosha tu.
Ngoja nione kama ntatoboa.
Je, wewe upo wapi na wafanya nin?