Nokia is back, Nokia 6 yazinduliwa China

Nokia is back, Nokia 6 yazinduliwa China

vodafone vf685 ni simu ya kawaida kwanza display sio HD au full HD pia low-end phone hivyo kuhusu battery ni lazima itakaa na chaji na hata app ambazo utatumia kwenye hyo vodafone yako hazizidi 500mb
Umenipa elimu nashukuru, ila nliwah kua na Xperia J nliichukia sana nkagundua kadri simu inavyozid kua kubwa kwa features/specifications zake ndvyo betri inatumika zaid
 
hawana jipya zama zao zilisha isha, Samsung , iPhone ndo habari ya mjini
 
live stream kwa wanaotaka live leo nokia wanazindua simu zao

Mkuu tafadhali naomba msaada,smart tv yangu inashindwa kucheza muziki niliyoidownload kutoka youtube ambayo ipo kwenye flash disc nichomekapo kwenye usb port ya hiyo tv!!.....naomba nieleze code sahihi za videos,sauti pamoja na format inayoweza kukubali kucheza kwenye tv.Pia naomba niambie software nzuri ya window ambayo inaweza kuconvert hizo video ili ziende kwenye format inayoweza kukubali kucheza kwenye hiyo tv yangu!!

Shukrani
 
Warudi tu....hawa Samsung na IPhone wameanza kujisahau!🙂

Power/battery ni issue kubwa kwa smart phones. Atakayeweza kupata suluhu mapema kuliko wengine, atafanikiwa pakubwa!
Kampuni ya simu inayotoa battery imara zinazokaa na charge muda mrefu ni Xiomi na simu zake za MI series. Hawa jamaa battery zao wanajitahidi sana
 
Mkubwa samahani naomba somo,kuna utofauti gani kati ya HD display na FULL HD display kimuonekano wa picha na video.
 
vodafone vf685 ni simu ya kawaida kwanza display sio HD au full HD pia low-end phone hivyo kuhusu battery ni lazima itakaa na chaji na hata app ambazo utatumia kwenye hyo vodafone yako hazizidi 500mb
Mkubwa nilikuwa naomba kujua tofauti za kimuonekana kati ya kioo cha HD na FULL HD hasa upande wa video na picha
 
Mkubwa samahani naomba somo,kuna utofauti gani kati ya HD display na FULL HD display kimuonekano wa picha na video.
kila kioo kinakuwa na kitu kinaitwa pixel ambacho ni kama kidoti kianachoonesha picha, hizo pixel kila moja ikiwaka rangi yake ndio unaona picha kwenye tv au simu yako.

mfano angalia hii picha
dpi-examples.jpg

HAPO inaonyesha pixel zikiwa kidogo na quality nayo inakuwa ndogo na zikiwa nyingi na quality nayo inakuwa kubwa. hivyo ili kuelewa hapa tu assume kioo chenye pixel nyingi ndio kinakuwa na quality kubwa.

tuje kwenye hd na full hd

HD ni sawa na pixel 1280x720, kwa simu hapo urefu unakuwa na pixel 1280 na upana pixel 720 kwa jumla kioo kizima inakuwa ni pixel milioni 1

Full HD ni sawa na 1920x1080, kwa simu hapo urefu unakuwa na pixel 1920 na upana ni pixel 1080 kwa ujumla ni pixel milioni 2.

na juu tumeona kioo kikiwa na pixel nyingi ndio kinakuwa kizuri hivyo hapa unaona kioo cha full HD ni kizuri kuliko cha HD.

ila macho ya binadamu yana limit ya kuona hizi pixel kwa ukaribu wa simu kioo cha HD kinatosha kwa simu zenye inch 4.7 kushuka na kwa simu kubwa kama hii Nokia 6 kioo cha full HD kinatosha.
 
Asnter, sana chief kwa maelezeo mazuri, jee kioo cha cha nchi 5.5 Hakifai kwa technology ya HD kama ilivyo galaxy j7 2016 hii ina technology hiyo na nchi 5.5
 
chukulia mfano wa magari, gari likiwa na tank kubwa la mafuta ndio linaenda umbali mrefu kabla mafuta hayajaisha?

kuna magari vitank vyake vidogo tu kama vile vitz lakini hayali sana mafuta ila kuna magari kama land cruiser yana matank makubwa lakini mafuta yanaenda upesi upesi.
Mkuu umezaliwa na uwalimu ndani yako bonge la mfano umetoa
 
Asnter, sana chief kwa maelezeo mazuri, jee kioo cha cha nchi 5.5 Hakifai kwa technology ya HD kama ilivyo galaxy j7 2016 hii ina technology hiyo na nchi 5.5
inategemea mkuu unataka nini tuzungumzie hapo kwenye j7 na tueke j7 prime hapo hapo.

-j7 ya 2016 kioo chake ni HD lakini technology ya kioo ni amoled
-j7 prime kioo chake ni full HD lakini technology ya kioo ni TFT LCD

amoled ni technology nzuri ya kioo kuliko TFT lcd lakini hicho cha tft ni full HD, hivyo hapo unaona kila moja ina uzuri wake.

pia kila kioo kinavyokuwa kizuri na pixel nyingi ndio jinsi battery inavyokwenda nyingi, ndio maana unaona j7 2016 inakaa sana na charge sababu kioo chake kina pixel chache.

sasa hapo inategemea na matumizi yako kama unapenda zaidi display nzuri au simu inayokaa sana na charge.
 
Chief samahani mkuu, sumsung yangu s4 inazingua kusoma mtandao baadhi ya sehemu inaandika emergence only haisomi line
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom