Asante sana ngoja nimtafuteKuna jamaa hpa jukwaani ni kazi yke hiyo,aliweka uzi ambao mpaka leo unaendelea na kashafanya kazi na bbadhi ya watu alokutana nao hapa jukwaani,jina analotumia hapa jf ni pmoses95 search hilo jina alafu mtumie messege atakusaidia na yeye yupo mitaa ya kigamboni kama sikosei.
Yuko sawa if na kufanya skimmingFundi wangu anataka Milioni 1.7 kufanya plasta ndani na nje pamoja na kupiga skimming.
Kutengeneza floor ametaka laki na kuweka timanzi laki sita.
Je hizi ni bei halisia kwa nyuma ya vyumba vitatu na sebele na jiko na choo cha public?
Kati ya vile vyumba vitatu viwili ni self contained.
Kwa fundi anayeijua kazi na anayejitambua lknasante sana
Aisee huyu Fundi anapatikana wapi naona bei zake zipo vizuri kama kazi yake ni ya uboraMafundi wanawaibia sana watu,kupiga floor ni laki 6? Kupiga plasta hadi milioni vyumba vi3? Poleni mnaoibiwa,kuna mafundi wapo mitaani wazuri na wanapiga kwa bei nzuri,ukienda kichwa kichwa gari kubwa lazima upigwe...mie kuna Fundi alinipigia floor chumba na sebule/chumba mita nne kwa mita nne kwa elfu 40.
Huyo anatakiwa kupiga plasta ndani na nje tu alafu skimming unatakiwa ukiwa tayari kwenye stage ya kupiga rangi unampa kazi mpiga rangi afanye kazi yote pamoja na kupiga rangiFundi wangu anataka Milioni 1.7 kufanya plasta ndani na nje pamoja na kupiga skimming.
Kutengeneza floor ametaka laki na kuweka timanzi laki sita.
Je hizi ni bei halisia kwa nyuma ya vyumba vitatu na sebele na jiko na choo cha public?
Kati ya vile vyumba vitatu viwili ni self contained.
Ila mafundi kama hao wako wapo wachache na inabidi upate reference toka kwa watuMafundi wanawaibia sana watu,kupiga floor ni laki 6? Kupiga plasta hadi milioni vyumba vi3? Poleni mnaoibiwa,kuna mafundi wapo mitaani wazuri na wanapiga kwa bei nzuri,ukienda kichwa kichwa gari kubwa lazima upigwe...mie kuna Fundi alinipigia floor chumba na sebule/chumba mita nne kwa mita nne kwa elfu 40.
... Hivi wastani wa gharama kwa chumba ufundi ni how much?Ufundi 200k ni sawa.
Mkimbilie huyo fundi, kwasababu yupo cheap sanaFundi wangu anataka Milioni 1.7 kufanya plasta ndani na nje pamoja na kupiga skimming.
Kutengeneza floor ametaka laki na kuweka timanzi laki sita.
Je hizi ni bei halisia kwa nyuma ya vyumba vitatu na sebele na jiko na choo cha public?
Kati ya vile vyumba vitatu viwili ni self contained.
Acha kuharibu nyumba za watu. Cement mifuko saba????? Huo ukuta utakuwa unapukutika hata ukipulizwa na upepoJe kama Nahitaji kumwaga jamvi ni mifuko mingapi ya cement kwa ajili ya jamvi tu kwa nyumba hiyo ya vyumba vitatu?

Hata mm nimeduwaa huyu fundi anavyosema kuwa mifuko saba, ungemquote yeye sio mimiAcha kuharibu nyumba za watu. Cement mifuko saba????? Huo ukuta utakuwa unapukutika hata ukipulizwa na upepo