Kufanya Tendo La Ndoa wakati Uko Period kunaweza Sababisha Ujauzito?

cc12

JF-Expert Member
Jan 26, 2013
1,018
395
Wakuu Habari Kuna Swali Natak Kuuliza Mwanaume kufanya Mapenzi na Mwanamke Aliyeko Period kbs kunaweza kusababisha mwanamke kushika Ujauzito???

cc12
 
Je ni madhara gani yanaweza kumpata me or she...wakifanya mapenzi kipindi cha period??
 
Kufanya mapenzi na mwanamke aliyeko Period atapata mimba endapo mtaamua kutumia Condom

Ila mkiamua kufanya kavukavu mimba itatoka wapi sasa nawewe?

Jitahidini sana mfanye wakati bleed imekoleaa hasa saa 7 mchana.
Faiza foxy....njoo hukuu
 
Kufanya mapenzi wakati wa period hakuwezi kukufanya utunge mimba Kwa sababu yai lililo takiwa kurutubishwa Hua tayari limeharibika na hiyo ndio damu yake. Lakini pia madhara mwanaume unayo weza kupata ni kwamba huo ni uchafu ikiingia kwenye mrija wako huweza kusababisha kupungua Kwa ufanisi wa kufanya tendo Kwa sababu mirija huwa imeziba.
 
Kwa Mungu yote yanawezekana!
Mtumainie yeye hakika utapata ujauzito, Mkuu..!

[HASHTAG]#amEn[/HASHTAG]
 
Wakuu Habari Kuna Swali Natak Kuuliza Mwanaume kufanya Mapenzi na Mwanamke Aliyeko Period kbs kunaweza kusababisha mwanamke kushika Ujauzito???

cc12
Mpeni jibu wazuvi wa mambo kijana kasha fanya anataka ajue nini kinafata. Ila mkuu unaujasiri wa pekee simba na toto mmepasha kiwanja kimoja
 
Kinachofanya mtu apate ujauzito sio menses, ila ni lini ovulation inatokea. Tuchukulie mfano mwanamama ana cycle fupi chini ya siku 28, na ikatokea ovulation kati ya siku ya 7-10, tukikumbuka menses huweza kuchukua siku 5-7 ....ni wazi anaweza kupata ujauzito. Ingawa kwa mwanamke mwenye siku zisizobadilika badilika (regular menstruation cycle) ya siku 28 kwa mfano na mp ikiwa 5 days ni ngumu au haiwezekani kupata mimba wakati wa mp
 
madhara mengine ni KUZIBA KWA NJIA YA HAJA NDOGO HAPO NDO HUPONI HADI UPASULIWE DUSH
 
Dhaaaaa!! Yan hakuna
Kero.au ktu nnachokichukia
Kama hiki

Kusex na mtu ako period
Aiseeee hata kwa macho.
Stakag kuona

Me dem akinambia ako
Period namheshim kama
Ukoma hata kama kiniingiza
Kingi

Namwambia tu ukimaliza
Utanambia
 
Kufanya mapenzi wakati wa period hakuwezi kukufanya utunge mimba Kwa sababu yai lililo takiwa kurutubishwa Hua tayari limeharibika na hiyo ndio damu yake. Lakini pia madhara mwanaume unayo weza kupata ni kwamba huo ni uchafu ikiingia kwenye mrija wako huweza kusababisha kupungua Kwa ufanisi wa kufanya tendo Kwa sababu mirija huwa imeziba.
Je inaziba jumla au kwa muda?
 
Mie ninavyojua na nilivyosoma kuhusu hii kitu huo ni muda ambao tumbo la uzazi la mwanamke Lina fanya self hygen hivyo damu ile inakuwa na chem compound aina ya hydrogen peroxide watu wanaitambua kama yuso kazi yake ni kusafisha tu no side effects there unaweka tu hata kavu kama unaweza.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom