Toyota Dyna tani 3 inauzwa

kenstar

JF-Expert Member
Aug 24, 2015
2,276
1,443
Engine mpya,ukitaka ya bomba au box unapata bei maelewano.
a032ab7a66b38278fbfa62189d4f6bb3.jpg
f04ce28eaad02e2b8c0d671f2dafeee7.jpg
 
Gari inatembea ipo ktk hali nzuri,ni ya bomba ukitaka ya box sawa tuwasiliane 0717216475 IPO dar
 
Gari ipo dar ni nzima, ni ya bomba ukitaka ya box IPO 0717216475
 
kuuza kitu bila bei hadharani ni utapeliiiii...

madalali ndio wana tabia hizo
Utapeli kivipi umeulizwa ukanyimwa bei, nn maana ya namba tafsiri ya namba ukihitaji unapewa maelezo yote utakayo
 
Weka namba... Ya usajil Kama ni D ama Vp na Bei pia
Kagua kitu uone ubora wake mambo ya kubase kwenye namba utapigwa,namba zinabadilishwa inaweza kuwa ya zamani lkn haijatumika sana
 
Nane nayo nii hela na ina thamani pia ndugu lkn engine tu nimenunua milioni nane fanya 17 naiuza sababu ya shida tu sikupenda niuze
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom