Recent content by kijana wa mtaa

  1. K

    Picha itakayomsuta JK na wabunge wake mamilionea.....

    Hayo ndio maisha bora kwa kila mtanzania
  2. K

    Tusker project fame

    Jumamosi saa kuanzia 1.30 tbc1 wanaonyesha ambao wanatoka na jumapili wanaonyesha wale wanaoingia kwenye Probation baada ya kuimba. Jumapili mda ni huo huo au ufuatilie kwani sometimes kama kuna jambo linatakiwa kuwepo wanapeleka mbele zaidi. Thx
  3. K

    GE2010 Kuelekea Uchaguzi mkuu CHADEMA Sept. 2009

    All in all uamuzi wa zito ulikua wa busara
  4. K

    Orijino Komedi: Kwa faida ya nani?

    Tatizo la comedy mbunifu na mtundu wa kubuni ni mmoja,joti akichoka wote wanachoka unategemeaa nini,wafanyae kama ulaya au america watafute watalaam wa comedy wawe wana wa train kuhusu kuwa wabunifu na wapate manager au msimamizi mzuri sio seki coz hata mwenyewe katokea kwenye maigizo ataweza...
  5. K

    Asilimia 30? - Kikwete amesalimu amri kwa ufisadi!?

    Bravo mama anna kilango,tunahitaji kuwajua hao waliopeleka conteiner za meno ya tembo vietnam
  6. K

    Asilimia 30? - Kikwete amesalimu amri kwa ufisadi!?

    its crazy,sory for using this word but,inauma sana,for our hope mr jk talking like that infront of the people especialy poor majority of tanzanians ni kama vile anahisi watu hawatajali,na good thing ni kwamba anawaelewa people who are stealing our money,but he is quiet,kwanini tusiseme na yeye...
  7. K

    Naombwa ndoa kwa nguvu

    It is the same story with me,kuna mtu wangu alinilazimisha nikajitambulishe kwao,but nilimweleza kuwa lets prepare our self before that lakini akazidi kulazimisha,mwishowe akasema wazazi wake wamemtafutia mchumba msabato mwenzake,akasema ataolewa muda wowote but its about a year now sioni dalili...
  8. K

    Rostam nusura ajiumbue

    Watanzania tusiendelee kulala,we have to wake up now.
  9. K

    DECI Tanzania: Ilivyoanza, ilipo na hatma yake

    Ndugu zangu,ofisini kuna staff mwenzangu amejiunga na hiyo DECI,sikumuamini wakati alipojaribu kunishawishi na mimi nijiunge na hiyo organization,but after reading this article na kugundua kuna ulokole ndani ya hiyo deci, kidogo napata mashaka sababu hata huyo mtu nae pia ni mlokole,so i still...
  10. K

    Kwa nini Dk. Idris Rashidi bado yuko kazini hadi leo?

    Tetesi ni sehemu ya maisha ya binadamu,so sioni cha ajabu kwani hata mwenyewe jumapili nilisikia kwamba liyumba nae kafa but mpaka leo kimya.so ni tetesi tu
  11. K

    Madagascar president steps down

    Mkereme umechangia vizuri lakini ukitaka watu wakuelewe vizuri tumia lugha yetu adhimu ya kiswahili ili watu wote wakuelewe vizuri.
  12. K

    Madagascar president steps down

    Hiyo ndio maana ya peoples power,kama kiongozi anakiuka katiba lazima protest iwepo kutoka kwa wananchi,tuliona Thailand na sasa madagascar,so watanzania tunaweza kujifunza kitu.
  13. K

    Tujadili PICHA hii

    Hii picha ina maana dunia ni mchanganyiko wa vitu vingi kuanzia siasa,michezo,mazingira na kila kitu kwa sababu picha hii inajumuisha kila kitu kinachofanyika duniani na kuifanya dunia izunguke.
  14. K

    Juu ya OIC na Mahakama ya Kadhi

    Claus barbie Mohamed si mungu bali ni mjumbe/mtume aliyetumwa na mwenyezi mungu kwa ajili ya kueneza dini,mungu ni mmoja ambaye hajazaa wala kuzaliwa na wala hakuna afananaye so have some respects on that.
  15. K

    Juu ya OIC na Mahakama ya Kadhi

    Mike massage yako haiko sahihi coz people like you ndio mnaosababisha hayo matatizo,inaelekea una chuki na uislamu ndio maana umeandika rubbish words,kwa kukusaidia mahakama ya kadhi ni sehemu ya maelezo ya kwenye kitabu kitakatifu cha qur aan,kama ilivyo bible na wakristo wanafuata miongozo...
Back
Top Bottom