Tusker project fame

Jumamosi saa kuanzia 1.30 tbc1 wanaonyesha ambao wanatoka na jumapili wanaonyesha wale wanaoingia kwenye Probation baada ya kuimba. Jumapili mda ni huo huo au ufuatilie kwani sometimes kama kuna jambo linatakiwa kuwepo wanapeleka mbele zaidi. Thx
 
mimi siwalaumu Tusker ila natupia lawama tanzania na viongozi wote wanaohusika. tusker project ipo ki-international zaidi ndo mana hata ukiangalia mikataba ambayo wameahidi kumpa mshindi ni babkubwa. kwakweli watanzania tuna njia ndefu ya kwenda. hawa wasaniii wetu ni wachanga then hakuna taasisi zakuwaendeleza ndo mana tumeona KELVIN na wenzake wanashindwa kuimba kabisa yani hakuna upendeleo kabisa watanzania wameenda kutembea. bongo star search yetu inaendeshwa kiufisadi zaidi watu wanaenda piga makelele tu pale halafu bosi madam RITHA ndiye jaji mkuu, whats the HECK? madam kasomea wapi muziki? yeye ni kusifiatu mara leo umevaa vizuri hakuna kingine. tusker wale majaji wote ni proffessional hakuna vihiyo ndo mana wasanii wetu walioenda kule wanavurunda kwasababu TANZANIA KILA KITU NI SIASA, JUMA NATURE ALISHAWAHI IMBA :NCHI IMESHAUZWA HII"
 
tusker wale majaji wote ni proffessional hakuna vihiyo ndo mana wasanii wetu walioenda kule wanavurunda kwasababu TANZANIA KILA KITU NI SIASA, JUMA NATURE ALISHAWAHI IMBA :NCHI IMESHAUZWA HII"

Una maanisha nini kuwa wale majaji wote wa Tusker Project Fame ni professionals vs wale wa bongo star search?......wale kina Juliana, Nazizi wanatofautiana nini na kina Master J, au Mzee Kitine au P Funk?

Na kama ni suala la Politics embu soma posts za Smatta...then you can see better whether or not Tusker Project ina endeshwa kisiasa au la!

Smatta, I do not agree with you kwamba this year mtz lazima atapewa ushindi......! to be honest simwoni hata mmoja ambaye anaonyesha dalili ya kushinda, but the Ugandans do.....so kama mashindano yanaendeswa kwa uhalali...really again the ugandan should win again this year!
 
bila kupendelea, watanzania walioenda kutuwakilisha wanachemsha!!!
hata wangekuja BSs wangetolewa mapema tu!!
hawana sauti, hawako interesting, ili mradi tu si wasanii wa muziki kweli, tanzania tuna vipaji vingi tu, usanii sio lugha, mbona makeba aliimba malaika na ikauza?
 
Thanks Haika......kwa kweli bila mapendeleo sioni hao warembo wa TZ wakienda mbali. kazi yao ku-tweng...mbona wana kizungu fresh sana tena chenye accent!!!! they are not star material. period! the ugandans deserve to win again!!! wote watatu!
 
Lakini kuna karembo hapo Ka Kenya, kanajiita Shrek or something, i think she has a great voice.
 
Lakini kuna karembo hapo Ka Kenya, kanajiita Shrek or something, i think she has a great voice.

Oh! poor smatta, you talk of warembo mbele ya watz, hujawaona wale wasichana wawili wakibongo, yaani carlo na mwenzie wanavyong'ara? hakika wale wasichana Mungu kawaumba aisee, hata wasiposhinda lakini wamewakilisha dada zetu wa kibongo. ni wazuri sana.

nilivyoona hata hivyo, mwaka huu Uganda watachukua tena, yule dada mwenye sura ya kiume anayeimba na sauti kama ya kisauz africa, hakika anaimba sana. atachukua hiii.

kelvin wa tz, nilikuwa napenda atoke siku ya kwanza tu alivyoenda, kwasababu alikuwa hajui anachofanya, alikuwa haonekani kama yuko kwenye mashindano, alikuwa hajui kimombo anajifanya kuongea cha kwenye miziki ya african americans...hahaha, alikuwa anatuaibisha. nilifurahi nilivyoona muda wa kuondoka umefika.

atakayefuata kuondoka, ni yule mtu wa majani wa Rwanda, hahaha, anaimba akinyata kama anavuta bangi.nilicheka hadi nilikaa chini.

atakayefuata kwa hapo, kama hatajirekebisha, ni Carlo, ni mzuri sana wa sura, anajua kimombo, lakini hatoi sauti na anaonekana kama ana hofu kidogo. labda kama atajitahidi, ndo ata watatangulia wale waimba rege wa Rwanda,pamoja na ka Nina.

that girl other than Carlo, anaweza akatuwakilisha kufika mbali. anaweza sana.

kuna kaschana kamoja hivi ka kikenya, ni kazuri lakini hakawazidi wabongo. kana imba vizuri lakini wiki iliyopita kalichemsha.

nikija kwa ng'ang'alito, atatoka, hajui anachofanya, anafanya utani tuuu, anafikiri anaigiza pale. anachekacheka kama kashoga fulani hivi.(nilisikia kenya mashoga wanataka haki kama south na wamejitokeza wanajulikana). I hope that young boy is innocent na kurembua kule hakutakuwa na matatizo kwake.watu wasije wakamuelewa vibaya. anatakiwa achague moja, kama ni comedy, comedy, kama kuimba aimbe, si kila mtu anapenda mwanaume anayerembuarembua.
 
LMFAO..You are one funny guy.. yani ushaichambua kipindi cha watu chote and its only three weeks in the hauz,.. hehehe..
Ule msichana Shrek ni mrembo si utani, oozing with class.. mambo hayo kaka, hao wa Tz sijawaangalia sana lakini kesho inshallah, sitatoka ila tu ni wachambue vilivyo..

Huyo Ngangalitto yuaniudhi.. the issue about him being gay had me rolling, (Its true walidemonstarte wakati mmoja wakidai haki zao..lol), anarembua sana, achunge wanaume wasi misinterprate wamgeuze bibi..

huyo kijana mruanda ana maringo tele, hana sauti hata, huyo atatoka mapema sana, alikuja kuembea tu.

naomba TZ ishinde mwaka huu, just to compensate for Nakaya (damn I luv that woman.. shout out to dead Prezz).
 
hata mimi ilinishangaza, kuna bias sana katika hii competition, they failed terribly on the planning, uli notice kwa season 2 it was definate that a UG was to win, I am 101% sure that this time ni mtanzania ndie ataibeba, it doesnt matter if he has a talent or not.

Smatta,

You were totally wrong on this.......! by now all Tanzanians have been thrown out of the competition........bring another theory mzee!
 
nathani iluminata na carol wameondolewa kwa kukosa wapigaji wa kura kutoka kwa watanzania hakuna anaehamasisha kwa kiasi fulani watanzania wapigie ma participant wetu that why wamekuwa wakiingia katika kinyan'ganyiro cha kuondolewa kwa kura za watazamaji na si jugdes ila nime prefer hasa kwa huyu iluminata ni realy good musician kama dada yake Rene lumira hata carol she was doing much great lakini kelvin bado hata Nyimbo nyingi alizoimba alikuwa si tu akikosea bali pia baadhi ya maneno hayakuwa akiyatamka inavyopaswa jifunze hata kwa nyimbo zingine si lazima utumie nyimbo za p-square pekee yake
 
Kiongozi hapo hata mimi naku suport. Na kingine ni kuwa hawa wenzetu wanatumia zaidi lugha ya kiingereza na hiyo ni advantage kwao coz hata nyimbo zinazoimbwa pale ni kiingereza tu. Sisi mpaka ufikrie kwa kiswahili halfu utafsiri kwa kiingereza.
Nimeona hata nyimbo za kiswahili wanaimba isipokuwa lugha inayotumika pale na majaji hata washiriki wenyewe ni Kiingereza. Nafikiri msimu mwingine kama ingewezekana wangehamisha venue isiwe nchi ya Kenya; waweke Uganda, Tz etc kuwaamsha watu wa nchi hizo. Ni maoni na mtazamo wangu
 
nathani iluminata na carol wameondolewa kwa kukosa wapigaji wa kura kutoka kwa watanzania hakuna anaehamasisha kwa kiasi fulani watanzania wapigie ma participant wetu that why wamekuwa wakiingia katika kinyan'ganyiro cha kuondolewa kwa kura za watazamaji na si jugdes ila nime prefer hasa kwa huyu iluminata ni realy good musician kama dada yake Rene lumira hata carol she was doing much great lakini kelvin bado hata Nyimbo nyingi alizoimba alikuwa si tu akikosea bali pia baadhi ya maneno hayakuwa akiyatamka inavyopaswa jifunze hata kwa nyimbo zingine si lazima utumie nyimbo za p-square pekee yake

Naomba kutofautiana na wewe. Washiriki wote wa kutoka Tz walionekana kuwa dhaifu toka mwanzo. Nimefuatilia mashindano na pia nimesoma maoni ya watu kwenye hii mada. Kama kuna mtu wa kulaumu ni yule aliyewapeleka watu ambao hawawezi kushindana. Na kama ndio hao pekee waliojitokeza basi tukubali matokeo.

Iluminata alijitahidi sana (pia ni mzuri sana) lakini hakuweza kufikia viwango vya kuwa nyota wa shindano ukilinganisha na Waganda kama Leah na Maureen au Patricia wa Kenya. Carol and Kelvini walikuwa weupe tu. Ila kitu kimoja ambacho kinaudhi ni kuwa Wakenya wanakuwa na umoja wa kishetani. Kwa mfano, sikuona kwa nini week iliyopita mashabiki wamwokoe Ng'ang'a badala ya Caroline au Alpha! Vinginevyo tuendelee kujipanga tu, siyo kila mahala tutaweza kupenyeza usanii wetu!
 
Hi wajameni, nimekuwa najiuliza hii tusker project fame inakuwaje tuanze kwa kuvurunda wakati bongo flavor yetu inakubalika sana hapo jirani. Please assist me to think outside the box for i'm totally confused as to why we are not doing better on this.
Wadau tafadhali

projekt fame hakuna kubana pua. Ni vipaji tu pale. Si unaona?
 
Back
Top Bottom