Recent content by kihambe mohamed

  1. K

    Rai: Lowassa atishiwa kifo

    Ivi kwa nn huyu jamaa anaukomalia sana U-Rais? Hana shughuli nyingine zenye utukufu anazoweza kufanya akatambulika duniani kote? Reginald Mengi yuko pale, kwa nn hamfuati na kuiga mifano yake. Na hawa ndugu zetu wa magazeti kila kukicha ni habari ya Lowasa, Lowasa, Lowasa. Na huyu Daktari(cjui...
  2. K

    Nina dhambi nyingine sio uzinifu

    Ushauri mzuri kwa vijana wenzako lkn unaonekana huna uzoefu wa maisha ya ss. Kama unakubali una dhambi nyingine, hiyo inaweza kuwa mbaya zaidi ya uzinifu. Tubu kwa Mungu ili akuondolee na hizo dhmb nyingine Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
  3. K

    Ushauri wangu kwa wanaume

    Mm! Idadi kubwa ya wapenzi? Hpn, na ukimwi je? kwanza utawahudumiaje? Unajua kuwa na mw'mke (sio mke) ni gharama? Tafuta wa kukupenda kwa dhati na wewe umpende kwa dhati mtaishi tu Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
  4. K

    Anaomba ushauri, mume wake hajamgusa mwaka mzima kisa amefunga

    Je na dada naye ameweza kuvumilia muda wote huo bila nanihii? Maana hili jambo ni zito sana. Nashauri ufanyike uchunguzi wa ki-Intelligencia huenda jamaa anakula mzigo mahali pengine kwa siri sana. Kufunga? Hpn, hii haiko sawa Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
  5. K

    Mchepuko amekomalia hataki ndoa ifanyike

    Jamaa yako hakuwa makini(serious) na ndoa yake tarajiwa Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
  6. K

    CRDB kupiga marufuku smartphone kwa wafanyakazi wake.

    Hii imekaa vizuri, sio bank tu hata maeneo mengine ya huduma nyeti kama hospitalini hasa hizi zetu za mtoto wa Mkulima, balaaa Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
  7. K

    SUMAYE: Wizi wa kura utatuponza

    Nafikiri Mh Sumaye angekaa kimya afanye shughuli zake ili ajiletee maendeleo zaidi kwani matamshi yake yanatia kichefuchefu. Mtu aliyekaa madarakani kwa miaka kumi na ktk kipindi hicho chaguzi nyingi ndogondogo na kubwa zimepita na chama chake kikishinda chaguzi nyingi, ivi hakujua ushindi ule...
  8. K

    Jinsia ipi inaongoza kwa kuchepuka ndani ya ndoa,yakike au yakiume ?

    Michepuko ni tabia ya kukosa uaminifu ktk ndoa na ulafi. Aidha ni tabia ya kudharauliana kati ya M/ke na M/me hasa baada ya kuishi kipindi fulani ksama muongo mmoja hv. Hali ya uchumi nayo inashawishi michepuko( Mume akiwa nazo nyingi anashawishika na kama hana inamshawishi mke achepuke) Sent...
  9. K

    Kwanini Ikulu ilijengwa Magogoni na sio sehemu nyingine?

    Mmmm maswali mengine jamani yanatisha! Ulishawahi kujiuliza kwa nini Chuo Kikuu cha Dsm(UD) kimejengwa Ubungo? Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
  10. K

    Wasichana wazuri!

    Hebu tutajie vigezo vya wasichana wazuri Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
  11. K

    Zuniga awasilisha barua ya msamaha kwa Neymar

    Kuumbe! Hata kwenye michezo kuna wahuni wa kupindukia? Haya endelea kumchukia lkn ujue hujamuumba Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
  12. K

    Zuniga awasilisha barua ya msamaha kwa Neymar

    Duuh! Umemchukiaje kiasi hichi? Kwani amezuia ulaji wa TS chini ya Machimo? Jamani tuache roho mbaya za kupindukia. Neimar anaburudisha dunia nzima Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
  13. K

    Mapenzi ya daktari na mgonjwa

    Hii tabia imekithiri ktk maeneo mengi. Hebu fikiria dereva wa bodaboda na abiria(m/ke), watengeneza na kuremba kucha za akina dada, sio aibu tun bali ni kinyaa Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
  14. K

    Maonyesho ya uwezo JWTZ jana kwa mara ya kwanza,tishio kwa Ukawa au Kagame?

    Hapa hatishwi mtu, hili jibu kuwa Muungano wetu ni Imara na wenye Amani kwa kipindi chote hadi kufikia hapa(50) na waliosimamia uimara huo na amani ni Jashi. Si mnakumbka tulichokozwa na Nduli Iddi Amin, kaenda, Kamuzu Banda alikuja na yake, kaingia mitini, mama huyu naye(sijui ni dada wa hyt...
  15. K

    Kuna faida gani tukiirudisha tanganyika?

    Hao wanaotaka Tanganyika wamekosa kitu gani kilichowafikisha hapo walipo na wanadhani watapata nn kitakachowafikisha huko waendako? Vijana wa Ki-Tanzania wana elimu nzuri sana na maslahi makubwa na mazuri kuliko wakati wa vijana wa Ki-Tanganyika. Fikiria shule za ubaguzi(wazungu/wahindi tu) na...
Back
Top Bottom