Ushauri wangu kwa wanaume

Ushauri wangu kwa wanaume

mweeeeee majanga haya michepuko ya halalishwa mchana kweupeee
 
Mm! Idadi kubwa ya wapenzi? Hpn, na ukimwi je? kwanza utawahudumiaje? Unajua kuwa na mw'mke (sio mke) ni gharama? Tafuta wa kukupenda kwa dhati na wewe umpende kwa dhati mtaishi tu

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Wewe unamiaka mingapi hadi ukatoa ushauli wa kitoto make na fahamu Maneno kama hayo ni ya wtoto ambao wanakalibia ujana do sentence zao
 
yatabaki maneno tu hayo..... usifanye mchezo na emotions wewe.... utakuja kupenda mpaka unaugua shauri yako.... ngoja mie nifate moyo unasemaje....
 
Kabla yakutoa ushauri jaribu kutuliza hasira za kuachwa kwanza ndo utoe ushauri.....kuna ushauri mwingine ni sawa na nguvu za giza. Ngumu kumezaaaa.
 
I object, naona baada ya ebola kuzoom watu wamesahau kabisa kuwa ukimwi bado upo
 
mm mwenyewe nashangaa eti me unatoswa afu unaumia?? wkt ndio kakulahsishia kupata mwngne..afu me uliekamilika huwezi kua na dem mmoja bana....at least 4 ni vzr zaid
 
Back
Top Bottom