Zuniga awasilisha barua ya msamaha kwa Neymar

Zuniga awasilisha barua ya msamaha kwa Neymar

tamimusalim

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2014
Posts
1,822
Reaction score
501
ImageUploadedByJamiiForums1404733238.532809.jpg

Beki wa Colombia Zuniga amewasilisha barua ya kuomba msamaha kwa wazazi wa Neymar na chama cha soka cha Brasil na wapenzi wa soka duniani kwa niaba ya Neymar.

Beki huyo wa kushoto alimfanyia rafu mshambuliaji huyo kipenzi na tegemeo la timu ya Brazil, katika mechi inayosemekana ndio mechi iliokuwa na mvuto na upinnzani mkali kuliko mechi zote ambazo zimechezwa mpaka sasa ambapo Brazil iliibuka kwa kuifunga colombia 2 - 1.

Neymar aligogwa kwa bahati mbaya na beki huyo katika uti wa mgongo na kuanguka baadae kupoteza mawasiliano miguuni nakukimbizwa hospital nje kidogo ya mji huo,na habari za hivi punde zimethibitisha madaktari wamefanikiwa kurudisha mawasiliano miguuni, ila waliongeza na kuonya kuwa Neymar hatoweza kuichezea timu yake katika michezo iliosalia ambapo Brazil inapambana vikali na Ujerumani katika hatua ya nusu fainali kesho, saa tano usiku kwa saa za Tanzania
.
 
Huyo neema angepooza kabisa.
Akome....
Sifa mbaya sana.
 
Huyo neema angepooza kabisa.
Akome....
Sifa mbaya sana.

''A foolish man tells a woman to stop talking, but a wise man tells her that her mouth is extremely beautiful when her lips are closed''

''Better to keep silent an let people think you are a fool, than to open your mouth and remove all doubt." -Abraham Lincoln

''Every One Has The Right To Do Stupid Things But You are Abusing that Privilege''
 
Above comment is my view.
Do you want me to think as how you think..?
I hate Neymer,and i can't stop hating him.
So,stop coming here and talk blah blaf as if you are Neymer that we a talking about.
Stupid.
 
Duuh! Umemchukiaje kiasi hichi? Kwani amezuia ulaji wa TS chini ya Machimo? Jamani tuache roho mbaya za kupindukia. Neimar anaburudisha dunia nzima

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Kuumbe! Hata kwenye michezo kuna wahuni wa kupindukia? Haya endelea kumchukia lkn ujue hujamuumba

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Above comment is my view.
Do you want me to think as how you think..?
I hate Neymer,and i can't stop hating him.
So,stop coming here and talk blah blaf as if you are Neymer that we a talking about.
Stupid.

The comment above is my view too!
 
Above comment is my view.
Do you want me to think as how you think..?
I hate Neymer,and i can't stop hating him.
So,stop coming here and talk blah blaf as if you are Neymer that we a talking about.
Stupid.

Why hate someone to that extent? what do you get in return?
 
View attachment 169427 beki wa colombia c . Zuniga amewasilisha barua ya kuomba msamaha kwa wazazi wa neymar chama cha soka cha brasir na wapenzi wa soka duniani kwa niaba ya neymar,beki uyo wa kushoto alimfanyia rafu mshambuliaji uyo kipenzi na tegemeo la timu ya brazil, katika mechi inayosemekana ndio mechi iliokuwa na mvuto na upinnzani mkali kuliko mechi zote ambazo zimechezwa mpaka sasa ambapo brazil iliibuka kwa kuifunga colombia 2:1 . Neymar aligogwa kwa bahati mbaya na beki uyo katika uti wa mgongo na kuanguka bahadae kupoteza mawasiliano miguuni nakukimbizwa hospital nje kidogo ya mji uwo , na habari za hivi punde zimethibitisha madaktar wamefanikiwa kuludisha mawasiliano miguuni, ila waliongeza na kuonya kuwa neymar hatoweza kuichezea timu yake katika michezo iliosalia ambapo brazil inapambana vikali na ujerumani katika hatua ya nusu fainali kesho, saa tano usiku kwa saa za tanzania

kwani mzazi wakike akijifungua ikatokea wakati wa kupush akakubana akaachia then ukatoka na maumivu tu

utamshtaki kwa manesi ama fifa

basi tuwena roho za kusamehe hasa wakati wa bahatimbaya
 
Kila mtu akianza kuandika barua kwa rafu za uwanjani sijui watajaza files ngapi za misamaha huko ofisini
 
Above comment is my view.
Do you want me to think as how you think..?
I hate Neymer,and i can't stop hating him.
So,stop coming here and talk blah blaf as if you are Neymer that we a talking about.
Stupid.
Hate the game dnt hate the player..
 
Kila mtu akianza kuandika barua kwa rafu za uwanjani sijui watajaza files ngapi za misamaha huko ofisini
wewe ile sio lafu nzuri ingawa refa akuiyona ni haki na ustahalabu jamaa kumuomba msamaha neymar inaonekana wewe sio mstaharabu
 
Dogo anpenda sifa sana yaani badala ya kutoa pasi wewe unasubiria beki aje umpige chenga
 
wewe ile sio lafu nzuri ingawa refa akuiyona ni haki na ustahalabu jamaa kumuomba msamaha neymar inaonekana wewe sio mstaharabu

Sio kila sehemu ni unakuwa mstaarabu

Kunabaadhi ya watu wanaharibu sokanawatu wanaendelea kukumbatia ujinga

Mwangalie mechi ngapi kaaribu kwa kutumia JINA Lake kwa kujiangusha makusudi na kuaribu ladha ya mechi na kinachowawasha

FIFA NIKUELEKEZE TU NI KUONA BRASIL AITOKUWEPO FINAL

NA.MATARAJIO YAO KUPATA PESA NYINGI SANA WAKATI WA FINAL

NA WABRASIL WAMEAPA KUANGALIA FINAL CHUMBAN KAMA AWATAINGIA FINAL
.
UNAWEZAJUA PRESSURE WALIONAYO FIFA ..NDIOMAANANWAMEANZA NA KAUCHUNGUZI CHAKINAFIKI

Go neeema gooo.....
 
Above comment is my view.
Do you want me to think as how you think..?
I hate Neymer,and i can't stop hating him.
So,stop coming here and talk blah blaf as if you are Neymer that we a talking about.
Stupid.

Kamgambile STUPID your wife!!
 
Back
Top Bottom