Mchepuko amekomalia hataki ndoa ifanyike

Mchepuko amekomalia hataki ndoa ifanyike

wewe kila anayekufanya anakuowa?!!
kuna wakati mwingine se ni kwa ajili ya starehe tu, watu mmetongozana kustareheshana, hamjaambiana mambo ya kuowana lakini jitu linajirengesha mimba ili mwanaume asiwe na pakutokea, hapo unakuwa unamlaghai na kumchezea mwanaume!
Alaaaa Hivi wanaume nao wanachezewaga kumbeeeee!!!?
 
Hapa hakuna cha dilema wala nini,kwa sababu huyo mwenye ujauzito hata akilazimisha kuolewa ni wazi kuna mwingine anayependwa zaidi yake,we hii unaichukuliaje kama kweli ni mdada unaejielewa? Hivi baadae ikiwa ni visa na mikasa mpaka kuachana kuna kusema ningejua tena? Mimi hii nisingewaza sana bali kusimamia uamzi wangu. Harafu kuanza upya muda mwingine si ujinga.

dailema ipo. kama wewe mwanaume bado umebakiwa na ubinadamu lazima hisia za kusaliti wanawake wawili, na hatma ya mtoto wako zitakuandama, na uamuzi wowote utakaochukua utawaathiri wanawake wote wawili na mtoto wako na wewe mwenyewe. ni jambo zito, linahitaji muda kufanya maamuzi sahihi kwenye jambo bovu.

kama dada ninayejielewa ni lazima nikuonyeshe kuwa mambo si rahisi, mimi pia ni mwanamke na nafaa kuolewa na wewe ndo maana uliweza kuwa na mimi kwa miaka 3 ukiniambia huna mwingine zaidi yangu. kama uliweza kunivumilia miaka 3 hutashindwa kunivumilia milele. tukae tulee watoto, huyo wa ulaya atatafuta mwingine. halafu kwa kuwa ulitaka unisapraiz na pete ya ndoa kidoleni basi nami ndo hivi nakusapraiz. halafu huyo anayependwa nae akijua kasalitiwa na kuna mtoto njiani sidhani kama atabaki yule yule. ndoa inaweza kufilia mbali, wa kukosa mwana na maji ya moto akose.
 
Tatizo huyo me hakuwa mkweli toka mwanzo,Inaelekea alikuwa anauambia mchepuko 'ur the only one" Mara ooh "we ndo Ke wa maisha yng" sasa mdada kwa nini asilengeshe maana anajua huyu ndo hubby to be.

Mwenzangu huyo kalikoroga alinywe tu.
 
jamaa ana mpenzi wake wa long time kitambo. msichana alikuwa nje ya nchi kimasomo mawasiliano na maelewano kama kawaida(kiufupi wanapenda sana). walipanga mchumba akimaliza wafunge ndoa. mchumba amerudi ndoa tarehe 28/9.

wakati mchumba yupo masomoni jamaa akaona si mbaya kutafuta wa kuzugia(mchepuko). mpaka sasa mchepuko anadai ana mimba ya jamaa na anasisitiza kuwa ndoa haitafungwa na hata ikifungwa hawataishi pamoja atamuua jamaa.

jamaa analia kama dame hajui afanye nini anaona kama mchepuko anaingilia mapenzi yake hivi.

me kama rafiki nimeshindwa kumshauri ila nikaona si mbaya kuwashirikisha wana MMU tumsaidie ushauri kijana wenzetu afanye nini?

Kwangu kwa maelezo yako hadi hapo sioni nani ni mchepuko na nani ni njia kuu. Wote walikua marafiki/wachumba hakuna aliyeolewa na si ajabu huyo unayemwita mchepuko hata hakujua habari ya huyo mdada mwingine aliyekua masomoni.

Kila jambo huwa lina jibu lake, huwei kufanya jambo usipate matokeo yake, haiwezekani na hiyo ni universal law!
Rafiki yako lazima afanye maamuzi anamuoa nani kati ya hao, anawafaham wote na anajua anampenda nani, japo kama kweli huyo mnayemwita mchepuko anaujauzito wake na kulikua na mpango wa kuoana leo unamwacha kwa sababu zisizo na msingi, haitapendeza.

Mwambie aangalie movie moja inaitwaThe Match Point
 
kwani walikubaliana nini wakati wanaanza kuchezeana ....

swali zuri sana..
kama aliweka bayana kwamba yy ana gal wake af mchepuko akakubali basi anaweza endelea na taratibu zake.. otherwise na yy jamaa ni mpuuzi sana na akome kwa yanayomkuta.. haya ndiyo hufanyaga watu kuuwana kisa mapenzi... kuweni bayana wanaume.. sema openly kwa dem unataka nn na yy... kwani huyo dem ana roho ya chuma hasikii wivu umdanganye ol tht time af unakuja unajisemesha et naoa mpenzi wang nampenda..nyooo! tena uku unakula bila ndom...
 
Tatizo huyo me hakuwa mkweli toka mwanzo,Inaelekea alikuwa anauambia mchepuko 'ur the only one" Mara ooh "we ndo Ke wa maisha yng" sasa mdada kwa nini asilengeshe maana anajua huyu ndo hubby to be.

Mwenzangu huyo kalikoroga alinywe tu.

umeona eeeh... tena alinywe hvyo hvyo lamoto limchome koo vizuri.... km alikua waz kwa mchepuko.. aoe tuu msomi wake..
 
dailema ipo. kama wewe mwanaume bado umebakiwa na ubinadamu lazima hisia za kusaliti wanawake wawili, na hatma ya mtoto wako zitakuandama, na uamuzi wowote utakaochukua utawaathiri wanawake wote wawili na mtoto wako na wewe mwenyewe. ni jambo zito, linahitaji muda kufanya maamuzi sahihi kwenye jambo bovu.

kama dada ninayejielewa ni lazima nikuonyeshe kuwa mambo si rahisi, mimi pia ni mwanamke na nafaa kuolewa na wewe ndo maana uliweza kuwa na mimi kwa miaka 3 ukiniambia huna mwingine zaidi yangu. kama uliweza kunivumilia miaka 3 hutashindwa kunivumilia milele. tukae tulee watoto, huyo wa ulaya atatafuta mwingine. halafu kwa kuwa ulitaka unisapraiz na pete ya ndoa kidoleni basi nami ndo hivi nakusapraiz. halafu huyo anayependwa nae akijua kasalitiwa na kuna mtoto njiani sidhani kama atabaki yule yule. ndoa inaweza kufilia mbali, wa kukosa mwana na maji ya moto akose.

hahah I like youuuu... u nailed it yani. wanaume wa kibongo hawapo waz na hzo ndy dawa zao...
 
Hao wote sio wake zako so hapo hakuna mchepuko.

Halafu wewe wa wapi?? Mbona siku hizi watu wanasema live nina mke, mume, mchumba etc kama uko radhi mnalisongesha huku ukijua tena wengine wanapokuwa wote labda wife, husband etc akipiga anasema mume wangu huyo usiongee ngoja nipokee simu??

Wewe ndo umeyataka mwenyewe kwanini ulumficha toka mwanzo

Kuna wengine wananogewa....anakataa katakata kukuacha..as long as hujaolewa anasema kitaeleweka tu...lol...
 
dailema ipo. kama wewe mwanaume bado umebakiwa na ubinadamu lazima hisia za kusaliti wanawake wawili, na hatma ya mtoto wako zitakuandama, na uamuzi wowote utakaochukua utawaathiri wanawake wote wawili na mtoto wako na wewe mwenyewe. ni jambo zito, linahitaji muda kufanya maamuzi sahihi kwenye jambo bovu. kama dada ninayejielewa ni lazima nikuonyeshe kuwa mambo si rahisi, mimi pia ni mwanamke na nafaa kuolewa na wewe ndo maana uliweza kuwa na mimi kwa miaka 3 ukiniambia huna mwingine zaidi yangu. kama uliweza kunivumilia miaka 3 hutashindwa kunivumilia milele. tukae tulee watoto, huyo wa ulaya atatafuta mwingine. halafu kwa kuwa ulitaka unisapraiz na pete ya ndoa kidoleni basi nami ndo hivi nakusapraiz. halafu huyo anayependwa nae akijua kasalitiwa na kuna mtoto njiani sidhani kama atabaki yule yule. ndoa inaweza kufilia mbali, wa kukosa mwana na maji ya moto akose.
Dilema nawakati ameshafanya uamzi wa upande wa pili? Anyway mi kwangu suala la roho ya ubinadamu au sijui nini hiyo ni too probable,hata kulea mtoto ni ubinadamu pia kuliko kukosa furaha. Afu hapa mi sioni ugumu kwa maana anae amua ni mkaka ndo maana nikasema ni suala la kusimamia maamuzi baasi,kama angekuwa haja amua ningekuunga mkono.
 
dailema ipo. kama wewe mwanaume bado umebakiwa na ubinadamu lazima hisia za kusaliti wanawake wawili, na hatma ya mtoto wako zitakuandama, na uamuzi wowote utakaochukua utawaathiri wanawake wote wawili na mtoto wako na wewe mwenyewe. ni jambo zito, linahitaji muda kufanya maamuzi sahihi kwenye jambo bovu.

kama dada ninayejielewa ni lazima nikuonyeshe kuwa mambo si rahisi, mimi pia ni mwanamke na nafaa kuolewa na wewe ndo maana uliweza kuwa na mimi kwa miaka 3 ukiniambia huna mwingine zaidi yangu. kama uliweza kunivumilia miaka 3 hutashindwa kunivumilia milele. tukae tulee watoto, huyo wa ulaya atatafuta mwingine. halafu kwa kuwa ulitaka unisapraiz na pete ya ndoa kidoleni basi nami ndo hivi nakusapraiz. halafu huyo anayependwa nae akijua kasalitiwa na kuna mtoto njiani sidhani kama atabaki yule yule. ndoa inaweza kufilia mbali, wa kukosa mwana na maji ya moto akose.

teh teh! mwenyewe unaona unakomoa?! kwanini usikubaliane na hali iliyoqpo? kuwa jamaa alikuwa hana mpango wa kuzaa na wewe wala kuoa? we songa mbele uanze maisha mapya, uwaache wanaopendana wale maisha yao na si kung'ang'ania ndoa kwa mtu anayekwambia hana mpango na wewe. mjifuze kusoma alama za nyajati dada zangu. sio kila anayekutamkia "i love you" anamaanisha na wewe unajilegeza unapanua miguu. mjielewe
 
Yeye aendelee na mipango yake ya ndoa, hivyo vitisho tu, kuna watu walitisha mwaka wa 11 sasa. Btw kila mtu atakufa, mambo ya kutishana vifo ya kitambo sana
 
Kwangu kwa maelezo yako hadi hapo sioni nani ni mchepuko na nani ni njia kuu. Wote walikua marafiki/wachumba hakuna aliyeolewa na si ajabu huyo unayemwita mchepuko hata hakujua habari ya huyo mdada mwingine aliyekua masomoni.

Kila jambo huwa lina jibu lake, huwei kufanya jambo usipate matokeo yake, haiwezekani na hiyo ni universal law!
Rafiki yako lazima afanye maamuzi anamuoa nani kati ya hao, anawafaham wote na anajua anampenda nani, japo kama kweli huyo mnayemwita mchepuko anaujauzito wake na kulikua na mpango wa kuoana leo unamwacha kwa sababu zisizo na msingi, haitapendeza.

Mwambie aangalie movie moja inaitwaThe Match Point

asante kwa ushauri mkuu
 
swali zuri sana..
kama aliweka bayana kwamba yy ana gal wake af mchepuko akakubali basi anaweza endelea na taratibu zake.. otherwise na yy jamaa ni mpuuzi sana na akome kwa yanayomkuta.. haya ndiyo hufanyaga watu kuuwana kisa mapenzi... kuweni bayana wanaume.. sema openly kwa dem unataka nn na yy... kwani huyo dem ana roho ya chuma hasikii wivu umdanganye ol tht time af unakuja unajisemesha et naoa mpenzi wang nampenda..nyooo! tena uku unakula bila ndom...

tatizo lenu hata mkiambiwa ukweli unaweza kuja kuwa mkorofi hapo baadae ukishanogewa. wangapi wanaambiwa ukweli, baadae wanajifanya si waelewa? mjielewe
 
Haaah hayo ndo madhara ya kuweka kila kitu wazi kwa michepuko kwan.vile wakiambiwa michepuko sio dili baki njia kuu hawaelew hayo kayataka cha kufanya hapo akate mawasiliano na.mchepuko wake na pia kama anatishiwa kuuawa aende polis akashtak kutishiwa maisha hapo sidhan kama ataendelea na.swagg za kuua halafu mwambie asilie bana analia nin wakat maji kayavulia nguo ayaoge sasa!
 
Alaaaa Hivi wanaume nao wanachezewaga kumbeeeee!!!?

ah ah ah ah!..wewe hujuwi hilo?!! ngoja nikupe mfano hai, alifika kijana mmoja mtaani kwetu, mwajiriwa a wizara ya mambo ya ndani nafasi yake ya juu tu hivyo yuko vizuri, tukamkaribisha mtaani akawa akawa rafiki yangu wa karibu sana, siku moja ananipigia simu bana njoo sehem flani tuanzishe mojamoja leo weekend..mimi hayaa, tena niko hapa jirani tu, nilivoingia mtu niliyemkuta amekaa naye aliponiona tu alishtuka sana, ni kadada kamoja kanafahamika vyema kwa biashara ya kukodisha mwili, nikachuna tu nikatambulishwa pale tukaendeleza kikao, kesho yake jamaa nikamuuliza unamjua huyo dada, jamaa akasema "yeah, ni ticha mwajiriwa mpya hapo shule ya ***, ni kabinti decent sana naona nitatulia niowe sasa, mimi..."what"?!! huko ndiyo kuchezewa! Mwingine unakuta mke wa mtu anakulaghai tu, anakuchuna!
 
Back
Top Bottom