kihambe mohamed
Member
- Mar 9, 2014
- 17
- 5
Ushauri mzuri kwa vijana wenzako lkn unaonekana huna uzoefu wa maisha ya ss. Kama unakubali una dhambi nyingine, hiyo inaweza kuwa mbaya zaidi ya uzinifu. Tubu kwa Mungu ili akuondolee na hizo dhmb nyingine
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums