Habari Wadau,
niende moja kwa moja kwenye ishu yangu, niliajiriwa kwenye taasisi moja ya serikali miaka ya nyuma then nikapata kazi taasisi nyingine nayo ni ya serikali.
Nafasi niliyopata ilikuwa ni nzuri kidogo nikilinganisha na ile ya awali hivyo ikanilazimu kuacha kazi taasisi ile ya awali...
Habari za jioni wadau,
naomba mnisaidie, mimi ni mfanyakazi mwaka jana niliomba kwa mwajiri wangu transfer kutoka kituo nachofanyia kazi sasa kwenda kituo chetu kingine na sababu kubwa kwa kweli ni kuwa karibu na familia yangu, kwani huku nilipo nipo mbali na familia kwa hiyo napata changamoto...
Habari wadau,
Kwa sasa niko Mbeya mjini hivyo nimeona kuna fursa naweza ifanya nataka ninunue mchele Mbeya mjini then niutume Dar kwa ajili ya kwenda kuuzwa.
Hivyo wadau wenye uzoezi na biashara hii wanisaidie kunijuza yafuatayo:
1. Ni wapi naweza pata mchele kwa bei nafuu kwa hapa Mbeya...
Kiongozi huyo ni kunguru atakuumiza sana fanya hivi,block no yake then kama huna issue sana na smartphone unaweza ukaachana nayo kwa muda kaam wiki hivi ili utuluze kichwa halafu na vi2 vyake mpelekee ili asikufeate tena then usifwatilie story zake.Pole ndo mahusiano
in
inategemea na mazingira yalikuwaje mpaka akakuambia hivyo inawezekana mlikuwa kwenye ugomvi ndo akasema hivyo,mara nyingi inaweza kuwa hasira tu ila hamaanishi hivyo ila endelea kumchunguza na kukaa chini kumuelewesha.
ila na nyie mmezidi toka march mpaka leo mnaendelea na mchakato,RAIS ashakataza haya mambo ya mchakato......muda mrefu mnaochukua toka kutangaza kazi na kuwaida ndo yanaleta mazingira haya ya utapeli na rushwa ndani yake.Kama hamjajipanga msitangaze mpaka mjipange wenyewe ndani ndo...
Ni kweli mkuu,hili jukwaa limetufungua wengi ni jukwaa ambalo waliofanikiwa sana kwenye ujasiriamali wanakutana na wanaotaka kufanikiwa....ila naomba nielezw unanunulia wapi bidhaa zako.?
Hebu toa ufafanuzi jinsi unavyotransfer hiyo e money kutoka amazon account kwenda bank account yako au kwenye cm.....maana huo ndio mtihani mkubwa unayoikumba d9 kwa sasa,yaani ugumu wa kutoa zile fedha unazolipwa electronically kuja kuingia bank.
Changamoto tulionayo hasa hapa kwetu ni jinsi ya kutoa E money kutoka kwenye "bitcoin wallet" kupeleka bank au kwenye cm, mfumo wa bitpesa nao ni changamoto kubwa.
Kama financial institutions zetu zikiweza ku integrate na mfumo huu basi ishu nyingi naona za kimataifa na hata biashara za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.