Nimepokea card yangu ya Payoneer

Abdallah404

Member
Feb 17, 2014
61
21
Fursa nyingine,safari kuingizA fedha kupitia internet was a imeanza.Kikwazo kikubwa tulichonacho Tanzania ni Payment gateway,kwa kuwa Paypal hawaruhusu kupokea fedha hapa Tanzania,Payoneer ndio Suluhisho.Niliagiza card yangu ya Payoneer from America,Now its in my hand,free wanakutumia.
 
Hongera sana manake $30 zinazotumika kufanya telegraphic transfer ni pasua kichwa! Hao Payoneer binafsi nishanawa mikono! Tangu 2014 wanadai card wameshatuma na haijafika and still sifahamu tatizo ni nini hasa! Mbaya zaidi, siwezi ku-apply tena!!
 
Mbona wiki tatu tu inafika mkuu
 
Fursa nyingine,safari kuingizA fedha kupitia internet was a imeanza.Kikwazo kikubwa tulichonacho Tanzania ni Payment gateway,kwa kuwa Paypal hawaruhusu kupokea fedha hapa Tanzania,Payoneer ndio Suluhisho.Niliagiza card yangu ya Payoneer from America,Now its in my hand,free wanakutumia.
unajazaje kwenye adress iliniweze kutumiwa? kila nikijaza adress inabounce
 
Fursa nyingine,safari kuingizA fedha kupitia internet was a imeanza.Kikwazo kikubwa tulichonacho Tanzania ni Payment gateway,kwa kuwa Paypal hawaruhusu kupokea fedha hapa Tanzania,Payoneer ndio Suluhisho.Niliagiza card yangu ya Payoneer from America,Now its in my hand,free wanakutumia.
tuelimishe mzee hiyo kadi inasaidia nn?
 
Back
Top Bottom