Utajiri kutoka JamiiForums

Mkuu mm sijadharau hata ukienda tigo au voda pale si tunakutana na wadada wanaochangamkia wateja vizuri? sijamaanisha unavyofikiri wewe.
Sawa. Lakini ujira wake umeuita "matakataka" ndicho kilicho nifanya nikukumbushe.
 
Toka niwe member hapa sijawahi fikiria siku moja nitakuja kukutana na mawazo mbadala ya kubadilisha status ya uchumi wangu hapa.Nilikua shabiki namba moja wa jukwaa la SIASA,kimsingi sio dhambi kushabikia jukwaa hilo lakini dhambi ni pale unaposhabikia halaf huingizi kitu.

Kuna siku moja nikakaa nikatulia kusoma jukwaa hili la Biashara, Uchumi na Ujasiriamali, MAKENIKIA niliyoyaokota hapo yamenifanya nisirudi tena kusoma jukwaa la SIASA.
Nilipitia mabandiko kibao hapa, lakini nilivuitwa sana na mijadala kuhusu biashara ya nafaka, na kwa kupitia IDEA za hapa nilichukua hatua za kuanzisha biashara hiyo kama ifuatavyo, Nilitumia mtaji wa milioni tatu tu.

Nilitafuta fremu niliyolipia laki moja kwa mwezi, nikailipia miezi sita yaani laki saba pamoja na udalali huko Tabata.Nikabakiwa na milioni mbili na laki tatu.Nikatumia hiyo pesa kununua mzigo wa kuanzia biashara, nikanunua Mchele,Maharage,Unga na Mafuta ya Alizeti ya Singida.Siku ya kwanza ya biashara niliuza laki moja na ishirini lakini toka hapo kwa wastani nauza laki tatu na nusu kwa siku na hivyo kwa wiki nauza wastani wa milioni 2.4M na kwa mwezi ni milioni 9.6.Hii biashara nilifanya kama kutest nikaweka mtaji mdogo lakini nmegundua ukitaka kuendelea ondoa uwoga. Kwa hii miezi mitatu niliyofanya hii biashara faida ninayoipta kwa kila mwezi baada yakuondoa takataka zote inakaribia mara mbili na nusu ya mshahara wangu kwa mwezi(Mshahara wa serikali TGSE ).

NB;Ubunifu unahusika kupaki vizuri,usafi na mrembo wakuchangamkia wateja
Tuamke utajiri uko mikononi mwetu.
Hongera kwa kujitambua mapema.
 
Ni kweli mkuu,hili jukwaa limetufungua wengi ni jukwaa ambalo waliofanikiwa sana kwenye ujasiriamali wanakutana na wanaotaka kufanikiwa....ila naomba nielezw unanunulia wapi bidhaa zako.?
 
Toka niwe member hapa sijawahi fikiria siku moja nitakuja kukutana na mawazo mbadala ya kubadilisha status ya uchumi wangu hapa.Nilikua shabiki namba moja wa jukwaa la SIASA,kimsingi sio dhambi kushabikia jukwaa hilo lakini dhambi ni pale unaposhabikia halaf huingizi kitu.

Kuna siku moja nikakaa nikatulia kusoma jukwaa hili la Biashara, Uchumi na Ujasiriamali, MAKENIKIA niliyoyaokota hapo yamenifanya nisirudi tena kusoma jukwaa la SIASA.
Nilipitia mabandiko kibao hapa, lakini nilivuitwa sana na mijadala kuhusu biashara ya nafaka, na kwa kupitia IDEA za hapa nilichukua hatua za kuanzisha biashara hiyo kama ifuatavyo, Nilitumia mtaji wa milioni tatu tu.

Nilitafuta fremu niliyolipia laki moja kwa mwezi, nikailipia miezi sita yaani laki saba pamoja na udalali huko Tabata.Nikabakiwa na milioni mbili na laki tatu.Nikatumia hiyo pesa kununua mzigo wa kuanzia biashara, nikanunua Mchele,Maharage,Unga na Mafuta ya Alizeti ya Singida.Siku ya kwanza ya biashara niliuza laki moja na ishirini lakini toka hapo kwa wastani nauza laki tatu na nusu kwa siku na hivyo kwa wiki nauza wastani wa milioni 2.4M na kwa mwezi ni milioni 9.6.Hii biashara nilifanya kama kutest nikaweka mtaji mdogo lakini nmegundua ukitaka kuendelea ondoa uwoga. Kwa hii miezi mitatu niliyofanya hii biashara faida ninayoipta kwa kila mwezi baada yakuondoa takataka zote inakaribia mara mbili na nusu ya mshahara wangu kwa mwezi(Mshahara wa serikali TGSE ).

NB;Ubunifu unahusika kupaki vizuri,usafi na mrembo wakuchangamkia wateja
Tuamke utajiri uko mikononi mwetu.
Kama umeweza kuthubutu kwenye biashara, thubutu na kwenye siasa
 
Back
Top Bottom