Recent content by Kidudu Mtu

  1. Kidudu Mtu

    Huu upuuzi unachangamkiwa na nani?

    Matokeo ya kuishi kwenye nyumba ya kambale .....kila mtu ana sharubu!
  2. Kidudu Mtu

    Uzuri wa mwanamke...

    Utasikia mtu anasema "mwanamke yule mzuri" lakini unaweza usiuone huo uzuri anaousifia. Hivi uzuri wa mwanamke ni nini? Vigezo vipi mwanamke awe navyo ili wengi wamuone mzuri?
  3. Kidudu Mtu

    Kwa wanaume tu!

    Ndo maana mababu zetu walikuwa wanafanya usiku tena gizani kuepuka kadhia za namna hii.
  4. Kidudu Mtu

    Rais wa Niger na Wabunge washikiliwa na Jeshi

    Mnajidanganya eti bongo kuna amani! Wateule wachache wanatafuna rasilimali za nchi huku walio wengi wanakufa kwa kukosa dawa, maji safi, lishe bora- huku mkipewa kofia, khanga na t-shirt na mkidanganywa kuwa ni "kisiwa cha amani na utulivu". Kwa mawazo ya watu kama wewe hawa watawala wa bongo...
  5. Kidudu Mtu

    Msemakweli kasema ukweli kuhusu mafisadi wa elimu?

    Inawezekana wewe ni ndugu/jamaa ya hao watuhumiwa. Haijalishi Msemakweli katumia approach gani kufikisha ujumbe uliokusudiwa. Cha msingi ni ule ujasiri wa Msemakweli kuweka hadharani udhalimu na unafiki wa baadhi ya viongozi wetu. Kama wachangiaji wengi walivyosema, ni jukumu la wachafuliwa...
  6. Kidudu Mtu

    Ni Nani Jerry Muro?

    Usinichekeshe, Tiddo haogopi mtu?
  7. Kidudu Mtu

    JK aainisha nguzo kuu sita za kuleta maendeleo Afrika

    Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ametaja nguzo kuu sita ambazo amesema kuwa zikitekelezwa ipasavyo zitaharakisha kasi ya maendeleo ya Bara la Afrika. Miongoni mwa nguzo hizo ni Bara la Afrika kuhakikisha kuwa linabuni njia bora zaidi, endelevu zaidi na...
  8. Kidudu Mtu

    Huyu akija Tanzania watu watasema ni...

    Anajiita Yesu....:o
  9. Kidudu Mtu

    Papa ateua maaskofu wasaidizi wawili Dar

    Naomba ufafanuzi hapo....
  10. Kidudu Mtu

    Tukarabati haraka miundombinu bila kuogopa gharama

    Ni gazeti la serikali Mhariri ni mwajiriwa wa serikali ...anatetea kitumbua chake kwa kuandika chochote kitachompendeza 'bosi' wake. ...amefilisika kimawazo...hana uwezo wa kutafakari na kupambanua mambo vinginevyo anajifanya hamnazo!
  11. Kidudu Mtu

    Kanisa lamshitaki Mwakipesile kwa JK

    MKUU wa Mkoa wa Mbeya, John Mwakipesile, Kamanda wa Polisi wa Mkoa (RPC), Advocate Nyombi na Mkuu wa Wilaya ya Mbeya (DC) Leonidas Gama, wameshitakiwa kwa Rais Jakaya Kikwete na Kanisa la Pentecostal Evangelistic. Kanisa hilo limechukua hatua hiyo kwa madai kuwa viongozi hao hawakuhudhuria...
  12. Kidudu Mtu

    Kama hii ni ya kweli tumekwisha

    Lisemwalo lipo, kama halipo laja: http://www.globalresearch.ca/articles/CHO409F.html http://www.reformation.org/pentagon-tesla-technology.html http://www.haarp.alaska.edu/haarp/index.html http://www.boingboing.net/2010/01/18/haiti-haarp-and-cons.html
  13. Kidudu Mtu

    Nukuu ya leo - marekani na nyumba za ibada

    "Marekani inaheshimu sana nyumba za ibada, na inapiga marufuku misaada yake kutumika katika mradi ambao utaathiri msikiti." - Omar Chambo, Katibu Mkuu wa Wizara ya Miundombinu. ............................................. ...akizungumzia kitendo cha Marekani kutishia ufadhili wa mradi wa...
  14. Kidudu Mtu

    Pinda atimua watumishi Bagamoyo

    Umeongea pointi ...kuwatimua tu bila kuwawajibisha mahakamani haitoshi!
  15. Kidudu Mtu

    Msekwa aamuliwa kulipa deni la mil.7

    “Baada ya kuwasiliana na wizara na kukubaliana kuhusu fedha hizi, hawakuwasiliana nami hadi nilipostaafu mpaka nikadhani nimesamehewa, lakini niliwaomba msamaha na kuanza kulipa, sikuwa na nia ya kuirusha Serikali hata kidogo, kwani hata katika taarifa ya mali zangu kama kiongozi nimelitaja...
Back
Top Bottom