Kwa wanaume tu!

Kwa wanaume tu!

Wanawake ni wepesi sana kuona mabadiliko madogo madogo, hapo hata simu isingepigwa lazima angeshtuka tu. Sisi midume, mamaa anaweza akanyolewa vile vile na usishtuke, hata upigiwe simu.

Hapa demu angekujia juu '' hivi wewe unataka kubreak up kijanja nini, mi mbona nimenyoa mwenyewe tangu jana, mwongo sana huyo aliyekupigia simu. Anataka tuachane anichukue yeye''

Hata kama kweli kanyolewa Dume haliwezi shtuka.

Demu anaweza akabadilisha misuko mitatu siku moja na Dume lisione tofauti. Mameni tunaona Reception, figure, Miguu, chuchuz, lips, lakini changes ni never.
Hii ingetokea kwa mwanamke labda mwanaume awe mkuria au mmasai, vinginevyo ishu ingeishia hapo hapo. ''Sijanyolewa, Nimejinyoa mwenyewe jana bafuni, si unakumbuka''

'' ndiyo mpenzi, samahani unajua tena wafitini'' mh mh.
 
Sio ujinga wetu Ninja ni balance of nature vinginevyo nyumba nyingi sana ungekuwa uwanja wa vita!
 
[
Ninja
user_online.gif

Ninja moksu yame
Member
red_left.png
red.png
red_right.png
green_left.png
green.png
green_right.png
Join Date: Fri Feb 2010
Location: Kakurezato
Posts: 33
Thanks: 0
Thanked 16 Times in 9 Posts
Rep Power: 0
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif
reputation_highpos.gif
reputation_highpos.gif
reputation_highpos.gif

.
naona mabadiliko makubwa sana baada ya kutokomea kwenye project!nikimaliza hanemuni nikaingia rasmi nitakuwa kama memba mpya
 
na hao wanaume wanasubiri wake zao wawanyoe hawana akili kabisa ungesubiri utawazwe pia. wanawake wana vitu vingapi vya kufanya? akipata nafasi its okay lakini sio kila kitu umwachie.
 
Hii ni ya kweli na imetokea hivi:
Njemba imekwenda kwa hawara,katika malavidovi ikanyolewa nywele za chini.Akiwa njiani anaelekea nyumbani hawara kampigia simu Bi Mkubwa "haya sema sasa,hata kumnyoa mmeo mananihii hujui,anarudi huyo,angalia nilivyomrembesha kwenye nonino,eheee halo halo". Mzee mzima kuingia tu sebuleni mama uzalendo ukamshinda akaona hata asisubiri mzee aende bafuni ili amkague vizuri,kamdaka hapo hapo sebuleni, 'vua mme wangu,nakwambia vua hiyo suruali',mwanzoni jamaa alifikiri dhihaka lakini alivyocheki sura ya mamsap ikam click akajua hapa kimewaka! swali,mshikaji ungekuwa wewe hii soo ungeipangua vipi?

hapa unajifanya hujui kinachoendelea kisha unavua kama mama anavyotaka, ukishaivua unasaidiana naye kushangaa, kisha unamgeuzia kibao kwa nini kakunyoa kimazingira, unakuwa mkali hadi anaishiwa la kusema, humpi nafasi ya kuendelea......ukitoka hapo huyo tabia ya nyumba ndogo inakufa moja kwa moja.........
 
Ndo maana mababu zetu walikuwa wanafanya usiku tena gizani kuepuka kadhia za namna hii.
 
na hao wanaume wanasubiri wake zao wawanyoe hawana akili kabisa ungesubiri utawazwe pia. wanawake wana vitu vingapi vya kufanya? akipata nafasi its okay lakini sio kila kitu umwachie.

Lol wewe naona bado hujui maana ya kupenda mbado kabisa.
Wanapo zungumzia usafi mwanamke anapaswa kufanya hilo nalo la kunyoa lazima amweke safi Mr. ake.
 
na hao wanaume wanasubiri wake zao wawanyoe hawana akili kabisa ungesubiri utawazwe pia. wanawake wana vitu vingapi vya kufanya? akipata nafasi its okay lakini sio kila kitu umwachie.

mmmh dada u have a point lakini elewa tu ya kwamba wanaume ni dhaifu na wanawake ni ibilisi (rejea vifungu vya biblia); huitaji walinzi wa kimasai au mbwa kumlinda mumeo ... mpe lugha nzuri na tamu, matunzo mazuri pamoja na huo usafi, msaidie katika chakula, mavazi na vijimambo vidogovidogo (i mean total caring) halafu uone kama kuna kidudu mtu cha uswazi kitakacho mpata mumeo, na atakuheshimu kupindukia!

kiukweli wanaume waliooa wanasumbuliwa sana na vicheche vya nje, yaani kama hana msimamo na kama mambo yenu ya ndani (malavidavi) sio mazuri ... lazima aingie king tu ... na usicheze na vicheche vya kitaa, ni noma ... kazi yao ndio hiyo tu na wako fully equiped!! kwa hiyo ukijifanya ni gender sensitive kwa sana .... walaah utakuwa unalia kila siku kwa hao mahawara aka mabazazi wa nje;

hakuna kusoma au usawa katika mapenzi ... usidanganyike!! ukiwa na formal education ya bachelors, masters au phd basi kwenye dunia ya mapenzi waweza kuwa ni sawa na (elimu ya) darasa la saba; punguzeni viburi vya jinsia dadazangu kuepusha kuwa na single parents wengi ... matokeo yake kila kidume kikija kinakula mzigo halafu kinakula kona mpaka unazeeka .. lol!

no offenses meant please!

MDBD
 
Mtanisamehe tu nimeingia ila nimefumba macho wajameni.

Duh huyo 'mwizi' mgomvi!! Mie ningekuwa mke ningemjibu
' Umetuharibia wenyewe twapenda viwanja vyenye majani, vipara vitatuumiza'

Halafu mume ntakusubiria kitandani usiku theni nakunyoa upya huku nikwambia kwa upole na mahaba mazito....
' Huyu amekunyoa vizuri ila hajamaliza vizizi, kwa hali hii zitaota kesho asubuhi ngoja nikusawazishe!!'

Eh kumbe waliulizwa wanaume!!

hahahaaaaa ... M1 huyo kungwi aliyekufunda ni noma .... nahisi atakuwa ni bibi tu coz hivyo vijimambo hutovipata kwa wamama wa sasa! anyway nakupa respect ... its a very brave approach ... na hapo huyo mwanaume atatoa siri zote za hawara na hatorudi tena kule!!

btw, unamaanisha utakuwa na kifua cha kufanya hivyo au unafurahisha jamvi tu??

MDBD
 
Sio ujinga wetu Ninja ni balance of nature vinginevyo nyumba nyingi sana ungekuwa uwanja wa vita!

1Petro 3:7 “Kadhalika ninyi waume, kaeni na wake zenu kwa akili, na kumpa mke heshima, kama chombo kisicho na nguvu, na kama warithi pamoja wa neema ya uzima, kusudi kuomba kwenu kusizuiliwe”
 
...Unasema ulipita salon ukaomba huduma hiyo special....kuwa hata huyo aliyempigia simu wife ni mhudumu wa salon...Mh ila ni ngumu sana!!!
 
Mtanisamehe tu nimeingia ila nimefumba macho wajameni.

Duh huyo 'mwizi' mgomvi!! Mie ningekuwa mke ningemjibu
' Umetuharibia wenyewe twapenda viwanja vyenye majani, vipara vitatuumiza'

Halafu mume ntakusubiria kitandani usiku theni nakunyoa upya huku nikwambia kwa upole na mahaba mazito....
' Huyu amekunyoa vizuri ila hajamaliza vizizi, kwa hali hii zitaota kesho asubuhi ngoja nikusawazishe!!'

Eh kumbe waliulizwa wanaume!!

Hahaha!! Taratibu mkuu!
 
mmmh dada u have a point lakini elewa tu ya kwamba wanaume ni dhaifu na wanawake ni ibilisi (rejea vifungu vya biblia); huitaji walinzi wa kimasai au mbwa kumlinda mumeo ... mpe lugha nzuri na tamu, matunzo mazuri pamoja na huo usafi, msaidie katika chakula, mavazi na vijimambo vidogovidogo (i mean total caring) halafu uone kama kuna kidudu mtu cha uswazi kitakacho mpata mumeo, na atakuheshimu kupindukia!

kiukweli wanaume waliooa wanasumbuliwa sana na vicheche vya nje, yaani kama hana msimamo na kama mambo yenu ya ndani (malavidavi) sio mazuri ... lazima aingie king tu ... na usicheze na vicheche vya kitaa, ni noma ... kazi yao ndio hiyo tu na wako fully equiped!! kwa hiyo ukijifanya ni gender sensitive kwa sana .... walaah utakuwa unalia kila siku kwa hao mahawara aka mabazazi wa nje;

hakuna kusoma au usawa katika mapenzi ... usidanganyike!! ukiwa na formal education ya bachelors, masters au phd basi kwenye dunia ya mapenzi waweza kuwa ni sawa na (elimu ya) darasa la saba; punguzeni viburi vya jinsia dadazangu kuepusha kuwa na single parents wengi ... matokeo yake kila kidume kikija kinakula mzigo halafu kinakula kona mpaka unazeeka .. lol!

no offenses meant please!

MDBD

Umekomaa mkuu! Ungekuwa wangu wewe!! Lol!
 
yaani, hakuna kunanilii? unipake poda na aftershave kisha nikuangalie tu umelala 'kwa amani'? haiwezekani....ni kama tambi na mboga ya majani!

Uchoyo tu huo na hayuko tayari kusamehe!
 
Mtanisamehe tu nimeingia ila nimefumba macho wajameni.

Duh huyo 'mwizi' mgomvi!! Mie ningekuwa mke ningemjibu
' Umetuharibia wenyewe twapenda viwanja vyenye majani, vipara vitatuumiza'

Halafu mume ntakusubiria kitandani usiku theni nakunyoa upya huku nikwambia kwa upole na mahaba mazito....
' Huyu amekunyoa vizuri ila hajamaliza vizizi, kwa hali hii zitaota kesho asubuhi ngoja nikusawazishe!!'

Eh kumbe waliulizwa wanaume!!

Hahahahahaha....LOL! MJ1 umenifurahisha sana...lakini nadhani nia hasa ya huyu wa nyumba ndogo ilikuwa ni kukuonyesha kwamba mnakula sahani moja, sasa kama wewe huoni tatizo la kula sahani moja na wa nyumba ndogo na hivyo kumpa rukhsa basi hakuna tatizo 🙂
 
mmmh dada u have a point lakini elewa tu ya kwamba wanaume ni dhaifu na wanawake ni ibilisi (rejea vifungu vya biblia); huitaji walinzi wa kimasai au mbwa kumlinda mumeo ... mpe lugha nzuri na tamu, matunzo mazuri pamoja na huo usafi, msaidie katika chakula, mavazi na vijimambo vidogovidogo (i mean total caring) halafu uone kama kuna kidudu mtu cha uswazi kitakacho mpata mumeo, na atakuheshimu kupindukia!

kiukweli wanaume waliooa wanasumbuliwa sana na vicheche vya nje, yaani kama hana msimamo na kama mambo yenu ya ndani (malavidavi) sio mazuri ... lazima aingie king tu ... na usicheze na vicheche vya kitaa, ni noma ... kazi yao ndio hiyo tu na wako fully equiped!! kwa hiyo ukijifanya ni gender sensitive kwa sana .... walaah utakuwa unalia kila siku kwa hao mahawara aka mabazazi wa nje;

hakuna kusoma au usawa katika mapenzi ... usidanganyike!! ukiwa na formal education ya bachelors, masters au phd basi kwenye dunia ya mapenzi waweza kuwa ni sawa na (elimu ya) darasa la saba; punguzeni viburi vya jinsia dadazangu kuepusha kuwa na single parents wengi ... matokeo yake kila kidume kikija kinakula mzigo halafu kinakula kona mpaka unazeeka .. lol!

no offenses meant please!

MDBD

sipendi hii tabia...ya baadhi wa watu,(nahisi na huyu aliyeandika hapa ni mmoja wao)...ya kuwatupia lawama wanawake,pale wanaume zao wanapo-cheat...!!
jamani,INAUMA..kusikia mumeo amecheat,,.kusukumiwa wewe, mwanamke mzigo wa lawama..ku-justify hivyo vitendo vyake vya upuuzi is even more PAINFUL and unfair!!!

mwanaume akicheat ameamua kucheat mwenyewe...!i dont b'liv..there must be something lacking in his r'ship for him to do so..!and if there is,then ,them two are rensposible na sio mwanamke pekee.!..bcause for any r'ship ..communication must be there!..in case this is broken down....'they' should work things out....as they are BOTH/equally RENSPOSIBLE!...one doesnt just look for 'njia mbadala'...and if he does at least he shouldnt blame the other person for doing so!..is wrong and UNFAIR!

am interested kujua hivyo vifungu vya biblia,ambavyo vinaonyesha mwanaume ni 'dhaifu'.!?!.....mazingira tuliyokulia ,baba ndiye mwenye maamuzi ya mwisho ktk familia,familia nyingi baba ndiye bread winer..na kazi nyingi nyumbani zile nzito/physical...mwanaume ndiye anakuwa expected kuzifanya...mwanaume sio kiumbe dhaifu as you want us to b'liv!!!..

kufuliwa,kupikiwa...etc.....anybody can do this...housemaid/houseboy etc!..this doesnt neccesary means somebody loves you!...some people(men) are confused i think.,..their perception of what love/caring is,...is quite wrong!!
 
Back
Top Bottom