Kiranga...kwahi ile Hiroshima ilikuwaje?Walihitaji nini kule?Na ilipokuja kujulikana,wht's the impact to them so far??
Hoja iliyopo kwenye media ni kwamba jamaa walikuwa wana test hiyo tech,then ikaondoka na Haitians....na walikuwa wanajua incase sthng wrong happens hayo maafa yangetokea,na ndio maana wakatafuta sehemu muafaka ya kujaribia.
Ikija kujulikana waziwazi,watasema tu ni human error....kama W.Bush alivyosema vita ya Iraq kuwa ni just Human error ya CIA.
Kiranga...,wajua hii tuhuma ni nzito sana,kama Hugo Chaves na Russians wangekuwa wameropoka tu bila ukweli wwte,ungeona Gates na Clinton ambavyo wangetunisha misuli a shingo.
Foxnuz wameizungumzia kiaina ila kwa kujifanya wana nukuu maneno ya Hugo.There shud b sthng behind ths catastrophe,kama ni mfuatiliaji mzuri u can learn from the series of events......quick response ya B.Clinton,W.Bush na B.Obama,deployment..activities kule Haiti,kuzuiliwa kwa ndge za Uk, France kwa hoja kuwa US soldiers have right to defend themselves incase any danger posed to them..how can a natural earth quake victims impose danger to the rescuers????????...kwa nini Haiti kutokee machafuko baada ya lile tukio kiasi wanajeshi wa US watumike kutuliza hizo ghasia?wajua wanajeshi wameweka ulinzi mkali ikulu ya Haiti.
It's doesnt bear in mind natural tetemeko la ardhi lilete civil chaos kiasi cha kutaka kuvunjika amani.