Msemakweli kasema ukweli kuhusu mafisadi wa elimu?

Msemakweli kasema ukweli kuhusu mafisadi wa elimu?

Hivi kuandika kwamba fulani amesomea "shahada" yake chuo ch Pacific University huko USA (mfano) ambacho hakitambuliwi na mamlaka husika ya kudhibiti viwango vya elimu katika hiyo nchi, inahitaji "literature" gani? Perhaps Iam naive, lakini naona watu hapa we simply want to argue for the sake of arguing. Na siyo kuangalia hoja. Who doesnt know kwamba Pacific University siyo chuo kinachotambuliwa? Or wee need to "cite" scientific sources? Please people...

Hapa hakuna short cut wala nini. Its simply the fact that Mama Nagu, Nchimbi et al "wamesoma" vyuo ambavyo havina sifa ya kutoa hiyo elimu. Sorry its a bitter reality. Kama umesoma chuo ambacho "hakiexist" you should remain outside the spotlight. Kuendekeza ujinga wa hawa "wasomi" ni kudhihaki watu wanaohangaika usiku kucha wakitafuta hivi vyeti kihalali.

Shame on them, shame on their apologetics!
Masanja, Umesema yote bila kupindisha pindisha. Tatizo naloliona ni kuwa watu wengi wanapenda uheshimiwa.Wanataka wakipita tuwaangukie magotini hata kama ni watu wasio na lolote jema la kuchangia. Nafikiri ndio sababu ya huu mwendo mpya wa wanasiasa kuanza kujivika majoho wasiowahi kuvalishwa.
Hata hivyo, kughushi elimu uliyosoma siyo kosa la kisheria? Kama wanaonewa kwanini wasiende mahakamani?
Maana wasije nao wakawa busy wanaandika vitabu vyao kumpinga Msemakweli.
 
JMushi1 mimi sisemi kuwa hao waheshimiwa wanavyo vyeti genuine. Hapana. Mimi ninachofanya ni kumsaidia Msemakweli kuwa katika nyanja ya maandishi ambayo yamefanyiwa utafiti anatakiwa awe na supporting documents. I am not challenging the contents of his article. No. I am challenging his style of presentation in that it lacks intellectualism and authenticity taking into account that he claims to be a learned brother. In other words he claims to be an intellectual while he is actually suffering from intellectual dishonesty as well. That is all. Hayo aliyoandika angeyathibitisha na documentation na kama ni thesis ningempa hata cheti au hata honorary PHD. Ni hilo tu. Otherwise tuko pamoja kuwa sikubaliani hata kidogo na ukihiyo.

Nimekupata,hata hivyo kama ni kweli vyuo hivyo siyo accredited then ushahidi gani tena unataka?Ama tatizo ni Msema kweli tu? Supporting documents kutoka wapi ili aweze kuprove kuwa vyuo hivyo ni unacredited?Nadhani waliowapa nafasi za kazi ndio walitakiwa wafuatilie.
 
So kumbe na wewe umenunua,so na wewe ni mmoja wa Watanzania MABWEGE..
Hiv hao jamaa waliokashifiwa we ndo msemaji wao!!!wamekutuma..mbona wao wako kimya..kitu gani kinakuwasha hadi ujipe kazi ya kuwatetea..unalipwa???
Nina mashaka sana na uwezo wako wa kufikiria..umekiita kijarida feki,then umekinunua..unashanga sana ndugu...
Kama hakungekuwa na mtu aliyekinunua hivi hata hii posti yako ungeiweka........???? In your post......... THE RED PART CONTRADICTS THE BLACK PART............ sijui upo upande gani
 
Ndugu Kibanga umekasirika kwa sababu nimetoa arguments za kisomi au? Narudia kusema I decided to challenge Msemakweli on his own ground. Yeye kaja na maelezo hayo akijifanya kuwa ni msomi ilihali katuletea umbea. Nimesema mimi nisichokubaliana naye siyo kuwa hao waheshimiwa ni wasomi fake au kinyume chake. Hapana. Mimi ninasema hoja zake hazina msingi wa kisomi. Ndugu Kibanga try to control your emotions by being objective. Kuandika hapa hata kama nigetakiwa kulipa ningelipa tu. Sema sasa la sivyo just shut up man!!

naona sioni kama umemchallange msemakweli kisomi, hujatupa proof ya hao waheshimiwa kama fake au no, sasa wewe tutakwaminije kama your challanges are critically based on proof ground or you are just trying to run the show. Tupe na wewe hizo data zinazopingana na huyo Msemakweli.

Dont just try to feed us your naivy ideas man----------shut up
 
You gotta love these exquisite JF gems

Msemakweli kajanja tu, mawaziri vihiyo, basi tabu kila mahala.

Inakuwa kama vita dhidi ya rushwa, mpaka kitengo cha kuzuia na kupambana na rushwa kinanuka rushwa.
 
...Watanzania! Kuna Mtu alituroga kisha akatupa tunguri zake baharini! Mtu ameandika "Fulani amembaka Elimu"! Badala ya kuangalia hoja tunaangalia jinsi alivyokosea matamshi ama maandiko yake na jinsi maandiko yake yanavyotia wasiwasi kuwa yamechapishiwa chumbani kwake tu!!! Hivi ni lazima chapisho lichapishwe na akina Longmans ndipo liaminiwe???
 
Ndugu Masanja naona nihame kidogo kutoka kwenye mada ya msingi. Kuna kitu kimoja ambacho naona baadhi ya Watanzania wanapenda kuiga vitu ambavyo wakati mwingine huwa hawaelewi chimbuko lake na bila ya kuzingatia itifaki. Na hili nimeliona kwa MCs wengi. Utakuta wanapomtambulisha mtu wanamuita mheshimiwa ilhali hana sifa za kiitifaki kuitwa mheshimiwa. Unamkuta hata mbunge anapojitambulisha anasema "mimi naitwa mheshimiwa Marigwe" wakati adabu ya lugha inataka ujiite tu mimi ni Marigwe. Sasa uje ukutane na wasanii au hata waganga wa kienyeji "mimi naitwa profesa Marigwe". Kwa hali hii ambayo ilikuwa ni speciality ya wasanii wanasiasa nao kutokana na usanii wao nao wametumbukia huko mpaka kutafuta vyeti fake. Ili aitwe tu Doctor Marigwe wakati hizo sifa hana. Wanasiasa wengi wa Tanzania wanalewa na titles kabla ya majina yao. Ni wenda wazimu wa kijinga tu. Jitu lilipokuwa secondary likuwa failure sasa limepata hela kwa njia ambazo pia za kiujanja na kilaghai anataka ili akamilike aitwe profesa. Hao ndiyo wazazi amabo wako tayari watoto wao waibie mitihani. Jamani hili linatisha. Ndiyo maana weledi unapotea pole pole. Unamkuta mtu wa cheo cha Juu mahakamani au Polisi hajui hata vipengere vya kawaida vya sheria iwapo ni kosa au siyo kosa kwa raia kuwa pingu mpaka miundwe tume. Hivi leo inakuwaje hukumu ya High Court iruhusu mgombea binafsi na Attorney General asielewe the full implications za ruling hiyo avute miguu karibu mwaka mzima kukata rufaa? Ni ukihiyo all the way ndugu zangu

Ndio maana ukaambiwa kuna ufisadi wa elimu na bwana Msemakweli.
 
MAFISADI WA ELIMU

​
Jana nilikinunua kijarida kilichoandikwa na Ndugu Msemakweli ambacho kina orodha ya majina baadhi ya Waheshimiwa Mawaziri, Wakuu wa Mkoa na Wabunge ambao inadaiwa wana vyeti ambavyo Msemakweli anaviita feki. Kijarida hicho kinauzwa shs 3,000.



Nampongeza Ndugu Msemakweli kwa kuwa mjanja wa kubuni njia ya kupata fedha kiurahisi.

He is very smart in a country of fools as it were. Na kwa sababu sisi watanzania tunapenda sana habari za umbea kwa upumbavu tulionao tutanunua tu hicho kijarida na yeye atapata hizo pesa bila ya jasho.

Sasa wewe mwenyewe umeshajitambulisha kwamba ni mjinga, mpumbavu na mpenda umbea kwa kununua hicho kitabu, halafu hapohapo unataka tuamini kwamba wewe ni msomi na tukuchukulie serious, I don't get it!!
BTW, Msemakweli is laughing all the way to the bank with your stupid TSh3000.
 
Ndugu Kibanga umekasirika kwa sababu nimetoa arguments za kisomi au? Narudia kusema I decided to challenge Msemakweli on his own ground. Yeye kaja na maelezo hayo akijifanya kuwa ni msomi ilihali katuletea umbea. Nimesema mimi nisichokubaliana naye siyo kuwa hao waheshimiwa ni wasomi fake au kinyume chake. Hapana. Mimi ninasema hoja zake hazina msingi wa kisomi. Ndugu Kibanga try to control your emotions by being objective. Kuandika hapa hata kama nigetakiwa kulipa ningelipa tu. Sema sasa la sivyo just shut up man!!

By the way tunatakiwa tuchangie hapa, tusaidie basi kuchangia kwani wahusika wasasema gharama ni kubwa za kuendesha JF, na sio kumchangia Msema Kweli. Kunajamaa huko juu kamuita mjinga na walio nunua ni wajnga.
 
Mimi sijakisoma kijitabu hicho, na wala sina haja ya kuepewa references au authetications zozote kujua kuwa cheti cha elimu kilichotolewa na degree mill siyo halali. Ni vivyo hivyo, mtu yeyote anayedai kuwa na elimu inayoendana na cheti hicho, ingawa "hakugushi cheti" chenyewe atakuwa "amegushi elimu" anayodai kuwa nayo kwa kupitia cheti hicho. Mtu wa aina hiyo haruhusiwi kabisa kujipatia" ....all Rights, Privileges and Responsibilities Thereunto Appertaining" na elimu anayojifanya kuwa nayo.

Mtu kujiita Dokta huku hana elimu ya udakitari, ni kujipa rights na privileges za udakitari ambazo hastahili, mtu huyo anagushi elimu. Hebu fikiria mtu atakayekuja na MD ya kutoka degree mill na kujidai hakugushi cheti na hivyo anataka kuwafanyia watu upasuaji wa moyo; atakuwa anagushi ujuzi asiokuwa nao. Yaani atakuwa amejipa responsibilities asizostahili

Ripoti ya awali ya bwana Msemakweli ilikuwa inahusu mawaziri na wabunge kama vile Chimbi, Mahanga, Nagu, Kamala, na Dialo ambao wanajulikana wazi kuwa elimu zao zimetoka kwenye degree mills zinazojulikana. Kwa vyovyote viule, watu hawa wamegushi elimu hizo na wanafanya makosa kwa kuendelea kujipatia privileges ziendazo na elimu hizo huku wakijua kuwa hawazistahili.

Mzumbe walikuwepo pia sasa hivi wote wamepigwa chini na sasa wameanza kusoma upya! Kwa nini hawa wanasiasa tuwatete wakati wengine wamerudi darasani?
 
JMushi1 mimi sisemi kuwa hao waheshimiwa wanavyo vyeti genuine. Hapana. Mimi ninachofanya ni kumsaidia Msemakweli kuwa katika nyanja ya maandishi ambayo yamefanyiwa utafiti anatakiwa awe na supporting documents. I am not challenging the contents of his article. No. I am challenging his style of presentation in that it lacks intellectualism and authenticity taking into account that he claims to be a learned brother. In other words he claims to be an intellectual while he is actually suffering from intellectual dishonesty as well. That is all. Hayo aliyoandika angeyathibitisha na documentation na kama ni thesis ningempa hata cheti au hata honorary PHD. Ni hilo tu. Otherwise tuko pamoja kuwa sikubaliani hata
kidogo na ukihiyo.


Kaka Msemakweli hahitaji msaada wako.

Pia ushahidi anao wa kutosha ndiomaana mwanzo alilalamika watu wachukue hatua hadi bungeni lakini amna aliyemsikliza na sasa akahamua kutoka ni hiyo kitu.
 
Sasa wewe mwenyewe umeshajitambulisha kwamba ni mjinga, mpumbavu na mpenda umbea kwa kununua hicho kitabu, halafu hapohapo unataka tuamini kwamba wewe ni msomi na tukuchukulie serious, I don't get it!!
BTW, Msemakweli is laughing all the way to the bank with your stupid TSh3000.

Usitake nicheke hii nimeipenda kwa sababu ni yeye mwenyewe ndiye aliyotoa matusi hayo.
 
Ngoja na mimi nikanunue u dokta wangu pale Lindi University najua Marigwe atanitetea Msemakweli akinitoa kwenye kijarida,lakini kama ningetolewa kwenye kitabu kilichotolewa na kampuni ya uchapishaji basi Marigwe hatanitetea sababu nimetolewa kwenye kitabu.Jamani akina Marigwe ndio hao wasomi wetu ati,hoja inabadilika kwa kuwa eti imetolewa sehemu isiyokuwa yenyewe!hapa swali ni je hayo madigiri ni halali au sio halali,je hivyo vyuo vimeidhinishwa kutoa hayo madigirii au
 
Wewe KIRANGA umenielewa vizuri haswa. Ni dhahiri unaelewa maana ya kufanya utafiti. Mimi ningekuwa Msemakweli ili niheshimike na nisitoe nafasi ya kushambuliwa na wasomi wenzangu kajarida hako au kitabu hicho ningeandika kisayansi. Sasa hakana hata sifa ya kuitwa kitabu wala msomi mwingine akitaka kukirejea unakirejea vipi? Mimi siungi mkono ubabaishaji na ufisadi wa kielimu wa baadhi ya viongozi wetu. Kwa nini yeye Msemakweli hakwenda mahakamani kuwashtaki hao wahusika? Baadhi ya wachangiaji wanadai eti hao viongozi ndiyo waende mahakamani kumshtaki Msemakweli. What a suggestion!!

Msimamo wangu uko pale pale approach aliyoitumia Msemakweli si wa mtu aliyeenda shule.
Najua baadhi yenu nimewaudhi lakini ninachoweza kusema ni poleni. Yeye si mwanasheria? Aende mahakamani. Kama hawezi hiyo kesi amuuzie Mtikila ambaye ndiye bingwa wa kwenda mahakamani. Mauzo ya kijarida kake part of the proceeds amlipe Mtikila ili aende mahakamani.

Inawezekana wewe ni ndugu/jamaa ya hao watuhumiwa. Haijalishi Msemakweli katumia approach gani kufikisha ujumbe uliokusudiwa. Cha msingi ni ule ujasiri wa Msemakweli kuweka hadharani udhalimu na unafiki wa baadhi ya viongozi wetu. Kama wachangiaji wengi walivyosema, ni jukumu la wachafuliwa kwenda mahakamani kumshitaki Msemakweli kama wanavyeti halali. Litakuwa jukumu la mwendesha mashitaka kuishawishi mahakama kuwa mlalamikiwa amewakashifu wateja wake.
 
Some people in JF are like Sinatra, All or Nothing at all.

They also tend to apply a good dose of Bushism, "If you are not with us 100%, you are against us 100%"

This is a one track mindedness that I reject outright.

Just because we are outraged by fake degrees, it does not mean anybody can get a free pass as long as he/she is exposing the fake degrees halfheartedly.

The pompous act of writing a supposedly scholastic book must be backed by a paralleled level of persuasion and concrete undisputable facts. Otherwise this Msemakweli fellow will be doing disservice to some of us who want to see a more robust expose.

If you are not basing the refutations on a centrally recognized body that can authenticate these degrees, these politicians will have a very easy job of dismissing this whole movement as "jealousy", politics or cheap popularity seeking on the part of Msemakweli.

I tought we had smart people wih more sense thn to fall for half baked and feeble criticisms of the elements of the status quo accused of "faking degrees".

When you come, come correct.
 
Inawezekana wewe ni ndugu/jamaa ya hao watuhumiwa. Haijalishi Msemakweli katumia approach gani kufikisha ujumbe uliokusudiwa. Cha msingi ni ule ujasiri wa Msemakweli kuweka hadharani udhalimu na unafiki wa baadhi ya viongozi wetu. Kama wachangiaji wengi walivyosema, ni jukumu la wachafuliwa kwenda mahakamani kumshitaki Msemakweli kama wanavyeti halali. Litakuwa jukumu la mwendesha mashitaka kuishawishi mahakama kuwa mlalamikiwa amewakashifu wateja wake.

soma post ya kiranga hapo juu, you are manifesting your inability to think criticaly, hakuna tofauti ya ulichoandika na watoto wadogo wanaochezea vumbi!

halafu mahakama sio solution, ukichafuliwa na halafu hauna uwezo wa kwenda mahakamani ufanyeje? na kwa mtazamo wako kila anayekashifiwa lazima aende mahakamani na aasipoenda basi itakuwa alichosema mlakamikaji ni kweli!! hii theory unaipata wapi?

hujajiuliza pia labda kutokwenda mahakamani ina ishara ya kuwa wamemdharau? mbona husemi upande huo? think man!

kama unavyoona waliopokea hicho kitabu wana view tofauti ndio injini ya discussion that has to be deep than what you posted here!!
 
madhara ya ufisadi kwa jamii ni makubwa mno.
watanzania tujifunzekutofanya kilakitu kisiasa.tuseme vitu vinavyoweza kupimika.kama ni woga wa kwenda mahakamani basi wapeleke vyeti chuo kikuu vikahakikiwe kama wataalam walivyopendekeza.
 
Mtu anapowasilisha hoja haraka utatambua wavivu wa kufikiri. Wataisaliti hoja na kumjadili mtoa hoja. Msema kweli katoa hoja, tujadili hoja sio Msemakweli!
Washabikie au la, ukweli unabaki pale pale, WAME FORGE CERTIFICATES. Period!
 
mafisadi wa elimu​



​


jana nilikinunua kijarida kilichoandikwa na ndugu msemakweli ambacho kina orodha ya majina baadhi ya waheshimiwa mawaziri, wakuu wa mkoa na wabunge ambao inadaiwa wana vyeti ambavyo msemakweli anaviita feki. Kijarida hicho kinauzwa shs 3,000.

baada ya kukisoma kile kijarida ninayo maoni yafuatayo:

1. nampongeza ndugu msemakweli kwa kuwa mjanja wa kubuni njia ya kupata fedha kiurahisi. Yeye mwenyewe anakiita kitabu. Namshangaa kwa sababu kwa mtu aliyesoma kama yeye tena sheria iweje anashindwa kupambanua kati ya kijarida na kitabu. Katika ulimwengu wa kisomi kitabu ili kiwe kitabu kinapaswa kuwa na majina ya publishers na references nyingine muhimu kama vile year of publication; bibliography na kadhalika. Hicho kitabu hakina ndiyo maana mimi nakiita kijarida.

alichofanya ndugu msemakweli ni kukaa kwenye laptop yake au keyboard yake na kuandika hayo aliyoyaandika na kuprint na kukiingiza sokoni. Katengeneza nakala 89000 ukizidisha mara shs 3000 atazipata takribani shs 267 milioni!! Hizo fedha anazipata kwa njia ya kuwakashifu waheshimiwa hao. Huu ni ujanja kweli kweli. Naye kwa vile alitangaza ni mwanachama wa chadema hiyo hela itamsaidia wakati wa uchaguzi. He is very smart in a country of fools as it were. Na kwa sababu sisi watanzania tunapenda sana habari za umbea kwa upumbavu tulionao tutanunua tu hicho kijarida na yeye atapata hizo pesa bila ya jasho.

2. maelezo aliyoyatoa ya kila mheshimiwa utaona yana mapungufu katika authentication. Alichopaswa kufanya kwa kila mmoja wao ni kutoa ushahidi wa maadishi kutoka vyuo husika vikikiri kuwa hivyo vyeti havikutoka kwenye vyuo vyao na kwamba hao waheshimiwa hivyo vyuo hawakuwahi kuwa wanafunzi wao. Hilo hakufanya. Na kwa njia hii msemakweli kama msomi kajitia doa na mimi usomi wake pia nautilia mashaka. Yeye alichofanya ni kumponda rais kikwete kuwa naye ameshiriki kuwabeba hao waheshimiwa. Jambo ambalo ni upuuzi. Katiba ya tanzania haisemi kuwa rais atateua mawaziri kufuatana na degree au diploma zao. Katiba inasema rais atamteua mtu ambaye ni mbunge kuwa waziri. Sasa hizo lawama dhidi ya rais hazina mantiki hata kidogo.

3. picha inayojitokeza ni msemakweli kiu yake kubwa ilikuwa ni kumcharaza rais kikwete. Usomapo hizo tuhuma zake kama vile safari za rais nje ya nchi mimi naona hazina hoja hata kidogo. Hivi huyu kikwete ambaye analaumiwa kwa kila kitu afanyacho ambacho kinatokana na wadhifa wake kama rais hivi kweli tunamtendea haki? Mwacheni kikwete afanye kazi zake za kirais.

4. kijarida cha msemakweli ni majungu ambayo yamejaa fitina na chuki tu. Naomba mnielewe. Mimi sijasema kuwa hao waheshimiwa wana vyeti halali au vya kughushi. Mimi niachosema ni kuwa maelezo ya msemakweli hayawezi kukubalika kirahisi bila ya kuwa “authenticated scientifically”. Na huo ndiyo usomi. Msemakweli anadai kuwa waheshimiwa hao ni mafisadi wa elimu na yeye je? Kundi lake ni lipi. Anajiita mwanasheria. Hivi mwanasheria utafanya madai bila ya kuyathibitisha na vielelezo?

no. Come on ndugu msemakweli fanya mambo kisomi . Mimi ningekuwa naisahihisha hiyo thesis yako ningekupa d kwa sababu ya muda ulioupoteza kuandika hayo uliyoandika.


dr.mussa assad wa udsm aliwahi kuandika makala kwenye gazeti la sundays news kuelezea vihiyo hawa wa elimu.pia unaweza kujiridhia na kwa kumtafuta dr.mussa assad akakupa vielelezo kwani naye kafanya tafiti nyingi juu ya elimu za hao viongozi wetu.


Au tizama mjadala uko hapa jf wenye kichwa cha habari baadhi ya malecturer wa mzumbe wa phd feki including vc wao.
 
Back
Top Bottom