Recent content by Kichancheda

  1. Kichancheda

    JamiiForums Tanzania CCM: Chuo cha Dodoma kiitwe JK University

    Nani kakudanganya idea ya UDOM ilianzishwa na Kikwete? Unasahau pia ujenzi wa UDOM ni michango ya hifadhi za jamii ambapo bado kuna ugomvi mkubwa wa namna ya kuzirudisha? Utawala wa kikwete hakuna jema kubwa analotakiwa kuenziwa jina lake (Ni ktk utawala wake amani haipotena, Wizi mkubwa wa...
  2. Kichancheda

    JamiiForums Tanzania Top TEN walipa KODI KISEKTA, No Voda, AZAM wala Lake Oil/Kobil/RIZ-One.

    Mimi kichwa kina uma hapa, wako wapi Tigo, voda, airtel na wengine? hata mimi nina ugonjwa huohuo kwenye red! Kwa michanganuo na taarifa za mwaka (annual finacial report) za makampuni ya cm TZ ni siri???? kama ni siri , je Taarifa za kodi zao pia ni siri????? Hili linchi linanuka nuka rushwa...
  3. Kichancheda

    JamiiForums Tanzania Kagasheki: Vigogo wanahusika biashara ya pembe za ndovu

    KHAAA! Unafananisha na daladala?? Hakuna mtu mdogo mwenye ujasiri wa kufanya biashara ya hatari kubwa kama hiyo.Mali za MABILIONI tena yanavyuka mipaka yenye kila aina ya ukaguzi! Hatakama unamapenzi na serikali ya ccm jaribu hata kufungua akili zako za akiba! Sio ushabiki kwa maslahi yako hizi...
  4. Kichancheda

    JamiiForums Tanzania Jenerali anauliza: Kwanini walewale?

    Hii ni chain. wezi wa rasilimali life cycle
  5. Kichancheda

    JamiiForums Tanzania TRA Customs automated system

    Nilimaanisha hizo kasoro ni za kufanyiwa kazi haraka, Na sio kutake adavantage kuwa kusiwepo na hizo system.Pia sikumaanisha technolojia inapunguza watu nilimaanisha Technolojia inadhibiti wizi.Mfano zamani mabenki yalikuwa yanafanya shughuli zake mannualy, wizi ulikuwa mkubwa.TRA walmetuletea...
  6. Kichancheda

    JamiiForums Tanzania Sakata la kuficha Mabilioni Uswisi lachukua Sura mpya

    Watazunguka kila kona na kila misamiati lakini watanzania hatutawaelewa.Tatizo kubwa kwenye hii kashifa inahusu maraisi na mawaziri.Ni chombo gani huru cha ndani kitakachoweza kushughulikia hii scandal?
  7. Kichancheda

    JamiiForums Tanzania Sakata la kuficha Mabilioni Uswisi lachukua Sura mpya

    Kwa taarifa yako Duniani hakuna usiri wa zaidi ya mtu mmoja hasa zikihusishwa na mambo ya kisiasa!Taasisi za fedha duniani ni watu na sio JIWE au CHUMA useme hawaoni,hawasikii au hawatendi.
  8. Kichancheda

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Raha ya utamu people!!

    oohhshshhh! oh mh haaaaa uuuuuuuwwwwwwwiiiiii ohh hhhuui
  9. Kichancheda

    JamiiForums Tanzania Mtu mwenye AKILI ni yupi!!!

    Kila binadamu amezaliwa na akili. Ila Mtu mwenye akili zaidi ni " PROBLEM SOLVER faster and accuracy" Mtu anayeweza kutatua mambo mbalimbali kwa ufasaha na haraka (Kielimu, Kimaisha etc) Ndio maana watu watu husema anaakili kama computer
  10. Kichancheda

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hii ndio sababu ya wasichana kuingia kirahisi kwenye mahusiano

    umesehau MSHIKO!
  11. Kichancheda

    JamiiForums Tanzania Kikwete anazeeka haraka, kulikoni?

    JF inamzeesha.Akiingia humu kusoma comment zote zinampinga ni moja au mbili tuu zinamtetea nyingine zote zinamletea msongo wa mawazo
  12. Kichancheda

    JamiiForums Tanzania TRA Customs automated system

    Hii mifumo ya kitechnologia (Automation) kwenye idara za serikali imekata maulaji ya waajiriwa wengi.Ni lazima waikosoe na walie nayo.Kila kitu kikiwa kwa system mwanzoni kinausumbufu ila mtazoea tuu baadae mtakuwa kama nchi nyingine.Mannually serikali inaibiwa sana na usumbufu kwa wateja pia.
  13. Kichancheda

    JamiiForums Tanzania Ushauri- kushtaki daktari mzembe

    Wala usijisumbue sana, Labda kama wewe ni Dr au Unandugu yako mwenye taaluma ya udaktari.Anayeweza ku establish kuwa daktari ni mzembe ni watu wenye taaluma hiyo Na nafahamu pia wanalindana sana.Unaweza ukapewa lundo la misamiati ya kitabibu juu ya kifo cha mgonjwa ambayo hutakaa uelewe.Kwa nchi...
  14. Kichancheda

    JamiiForums Tanzania Priorities of president Kikwete!

    I dont think if we real need smiling face ! Development is our first priority!
  15. Kichancheda

    JamiiForums Tanzania EXCLUSIVE Interview with Zitto Zuberi Kabwe at Jamii Forums [Coming Soon]

    Kwanini Zitto anaongozwa na falsafa ya KUJIJENGA YEYE BINAFSI kisiasa? Anaugonjwa mkubwa wa kutofanya kazi kama TEAM WORK. Kauli na matendo yake haweki link yeyote kwa kukuza Chama chake.
Back
Top Bottom