Kagasheki: Vigogo wanahusika biashara ya pembe za ndovu

acheni utoto nyie kwani uiwa na dala dala yako ikakamatwa kwa kuiba route au kuvunja sheria yeyeote barabarani unatakiwa ukamatwe au kuhukumiwa wewe?heb tuache ushabiki na tuwe fair sometimes

KHAAA! Unafananisha na daladala?? Hakuna mtu mdogo mwenye ujasiri wa kufanya biashara ya hatari kubwa kama hiyo.Mali za MABILIONI tena yanavyuka mipaka yenye kila aina ya ukaguzi! Hatakama unamapenzi na serikali ya ccm jaribu hata kufungua akili zako za akiba! Sio ushabiki kwa maslahi yako hizi ni rasilimali za nchi kila mtu anastahili kuuliza na kukosoa
 
Mhe Kagasheki acha story, we need action, anza kukamata kampuni iliyosafirisha na maofisa wote waliopitisha bandarini maana documents za mzigo zipo wazi na zimesainiwa na kuwekwa mihuri yote husika, hatuhitaji longolongo za kuongea kwenye media, tembo wanaisha jamani!!!
 
acheni utoto nyie kwani uiwa na dala dala yako ikakamatwa kwa kuiba route au kuvunja sheria yeyeote barabarani unatakiwa ukamatwe au kuhukumiwa wewe?heb tuache ushabiki na tuwe fair sometimes
mbona mifano yako ni kama kulinganisha usingizi na kifo..tunazungumzia international trade wewe unatuletea local trade
tunazungumzia pembe za ndovu za mamilioni wewe unazungumzia mambo ya nauli ya shing mia tatu.
mzigo melini hukaguliwa,wa kinana sababu ya ukada wake ukaachiwa bandari ya salama ukakamatiwa kwa watu wasiopokea rushwa..
usitake tukupe matusi ya nguoni ebo!!!!
 
Kinana anajulikana kua ndie king of poachers,amepewa huo ukuu ilikuficha madhambi yake.Kagasheki ataishia kua vuvuzela hana ubavu,jwani akiataka kuchukua hatua lazima awapigie simu waizi na kuwauliza,...kuna kitu hapo????....hakuna!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom