Jile79
JF-Expert Member
- May 28, 2009
- 17,668
- 13,271
Unapoambiwa "kamata mwizi", wakati wewe mwenyewe ni mwizi! Ni lazima uso uote marinda.
Nimekukubali mkuu
Unapoambiwa "kamata mwizi", wakati wewe mwenyewe ni mwizi! Ni lazima uso uote marinda.
Mkuu kwa nini usianzishe thread nyingine yenye kichwa cha habari kama ulivyoweka hapo juu!Hoja ya sasa ni kwa ni Kikwete anazeeka haraka,kulikoni?au lengo lako ni kuvuruga mjadala huu?Hivi slaa na jk nani anaonekana kizee
maji hakuyapima kayavaa kikichwakichwa mwache alie
Mkuu kwa nini usianzishe thread nyingine yenye kichwa cha habari kama ulivyoweka hapo juu!Hoja ya sasa ni kwa ni Kikwete anazeeka haraka,kulikoni?au lengo lako ni kuvuruga mjadala huu?
anafikiri sana mara uamsho mara jumuiya,mara maandamano kila siku,mara ziwa nyasa,mara wana mtandao! he ! hata kama ni wewe kwa nini usizeeke?
hapana hoja yangu inahusika sana na huu mjadala...
Una uhakika kam yeye ana muda wa kupoteza kufikiria hayo?anafikiri sana mara uamsho mara jumuiya,mara maandamano kila siku,mara ziwa nyasa,mara wana mtandao! he ! hata kama ni wewe kwa nini usizeeke?
JF inamzeesha.Akiingia humu kusoma comment zote zinampinga ni moja au mbili tuu zinamtetea nyingine zote zinamletea msongo wa mawazo