MAANDAMANO ni utaratibu wa kidemokrasia watu kutembea umbali fulani wakiwa na ujumbe wa kuunga mkono au kupinga au kulaani jambo, mfumo, utawala fulani au kudai haki.
Mwaka 1967 watu waliandamana kuunga mkono Azimio la Arusha huku wakiwa na ujumbe wa kulaani unyonyaji, ukabaila na ubepari. Pia...
ukweli ni kwamba,Amerika na mataifa mengine makubwa duniani wamejifunza athari za vita.Katika vita kuu vya dunia vya kwanza na vya pili mataifa yote yaliyoshiriki yalipata hasara kubwa.Washindi wakiongozwa na Uingereza na marekani,walipata hasara.Waliopoteza vita wakiongozwa na ujeruma na...
you seem to have limited knowledge of the US military and economic supremacy in the world.If we Would make comparison on military and economic supremacy,US is the most powerful country both military and economically in the world.
At present,US and her European allies believe that the diplomatic...
Kwa kweli umefika wakati,watanzania tuwe makini na hawa wabunge wanafiki na wabinafsi tuwakatae wabunge ambao wanaacha kazi yao ya msingi ya kuwawakilisha watanzania na kugeuka wawakilishi wa matumbo yao na familia zao.Kama kuna mbunge anatarajia kuongeza kipato kupitia bunge, basi ni vyema...
Wanafunzi wa chuo kikuu cha dsm kwa pamoja na kwa kutumia nguvu ya umma,wamefanikiwa kuulazimisha utawala wa chuo kubadili maamuzi yake ya kuwasimamisha wanafunzi zaidi ya 40 kutokana na maandamano yaliyofanyika mwezi novemba 2011.Wanafunzi hao wamerudishwa chuoni kuendelea na masomo kama...
siku moja baada ya katibu wa bunge la Tanzania kukanusha kwamba wabunge wameongezwa posho ya vikao kutoka tsh.70000. hadi sh.200000,Anna makinda leo ameuthibishia umma kuwa katibu wa bunge ni mnafiki na muongo,posho za wabunge zimeongezwa hadi tsh,200000 kwa siku.
chama kikuu cha upinzani tanzania,CHADEMA kinazidi kuwa imara na kuungwa mkono katika mkoa wa Mbeya,haya yamejidhihirisha hivi karibuni wakati wa mikutano na maandamano ya CDM ktk mkoa huo.Ushiriki wa wananch ktk maandamano na mikutano ni kigezo cha msingi sana cha kukubalika kwa chama.Mikutano...
Nape Nauye katibu wa itikadi na uenezi wa halmashauri kuu ya CCM,anaonekana anataka kukifariji chama chake na hata mafisadi waliomo katka chama chake kwa kuanza kukurupuka kutoa hoja zisizo na uzito dhidi ya wapambanaji mahiri wa CHADEMA.
Nape anakoteza hoja,analazimisha na kujenga hoja bila...
Miezi michache imepita tangu Shitambala aondoke CHADEMA na kujiunga na CCM. CCM walimpokea kwa shangwe na tambo nyingi,wakidhani Shitambala ni mtu maarufu katika siasa za mkoa wa mbeya na ana wafuasi wengi ambao wangemfuata huko CCM.Maandamano ya CHADEMA yaliyofanika jumamosi yamethibitisha kuwa...
Mark.mim sikuwaona waliotangazwa kurudi CCM Pamoja na Shitambala,hakuna mwana CDM aliyehama na bwana Shitambala isipokuwa kibaraka mwenzake bwana Kayuni aliyekuwa mgombea wa ubunge jimbo la ILEJE.Hao 150 Unaowazungumzia ni hadaa na changa la macho kwa umma na JK. jk anadanganyika,lakini umma wa...
Shitambala ameamua kuondoka chama cha CHADEMA na kurudi kwenye Chama cha CCM. Kwa shitambala,kuondoka CHADEMA ni pigo kwa Chama cha CCM na Shitambala mwenyewe.
Shitambala kabla hajarudi CCM,alikuwa mwenyekiti wa CDM Mkoa wa Mbeya.Amewahi kugombea ubunge mara mbili kwa tiketi ya CHADEMA na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.