CHADEMA chazoa viti Mbeya vijijini, CCM hoi

taarifa zinasema nguvu ya umma ilitumika kulinda kura.
thanks mkuu, nafikili lazima tubadilike na tujenga utamaduni wa kulinda kura zetu katika level yoyote ya uchaguzi, tuweke mawakala wa ukweli, kura zisiibiwe kabisa apo tutakomboka na kuibiwa kura tunazokuwa tumepiga.. Tujifunze kwa hawa jamaa wa mbeya
 
Chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA kimepata ushindi mkubwa katika uchaguzi wa serikali za mitaa wa wenyeviti wa vijiji na vitongoji kata ya Nsalala Mbeya vijijini.Chadema imenyakua vijiji 4 huku CCM ikiambulia kijiji 1 tu.Katika uchaguzi wa vitongoji Chadema imeshinda vitongoji 9 huku CCM nayo ikishinda vitongoji 9.Uchaguzi huo umefanyika mwishoni mwa wiki. Source Nipashe Uk.13

wapi shitambala?au anajipanga kupambana 2015?coz magamba walimchukua wakijua wataidhoofisha cdm mbeya.viva cdm
 
Chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA kimepata ushindi mkubwa katika uchaguzi wa serikali za mitaa wa wenyeviti wa vijiji na vitongoji kata ya Nsalala Mbeya vijijini.Chadema imenyakua vijiji 4 huku CCM ikiambulia kijiji 1 tu.Katika uchaguzi wa vitongoji Chadema imeshinda vitongoji 9 huku CCM nayo ikishinda vitongoji 9.Uchaguzi huo umefanyika mwishoni mwa wiki. Source Nipashe Uk.13

Endapo changamoto zinazoikabili CCM hazitafanyiwa kazi basi ni wai kifo cha mende hakiepukiki kwao.
 
yasije yakatokea ya Moshi na kanda ya ziwa. Ccm ni mashuhuri kwa kukata mirija ya maendeleo kule inaposhindwa. Lakini nashangaa ni tofauti kwa kigoma
 
Hongera sana watanzania wenzetu mkoani Mbeya. Nasikitika kuwa Morogoro hasa kule Mahenge badoo wanaangusha, wangekuwa kama Mbeya kweli Tanzania ingeokoka.
 
Hongera CHADEMA kwa ushindi mkubwa.

:peace::peace::peace::peace::peace:
 
Hongereni watanzania wa mbeya kwa kuamua kufanya kweli! Viva CDM.:violin::violin::violin::violin::violin::violin::violin::violin::violin::lock1::lock1:
 
Back
Top Bottom