Nguvu ya umma UDSM yashinda | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nguvu ya umma UDSM yashinda

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Kibona Dickson, Dec 13, 2011.

 1. Kibona Dickson

  Kibona Dickson Member

  #1
  Dec 13, 2011
  Joined: Feb 13, 2011
  Messages: 37
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Wanafunzi wa chuo kikuu cha dsm kwa pamoja na kwa kutumia nguvu ya umma,wamefanikiwa kuulazimisha utawala wa chuo kubadili maamuzi yake ya kuwasimamisha wanafunzi zaidi ya 40 kutokana na maandamano yaliyofanyika mwezi novemba 2011.Wanafunzi hao wamerudishwa chuoni kuendelea na masomo kama kawaida.Ushindi huu ni matumaini makubwa katika kupigania haki zetu.hakuna kulala mpaka kieleweke.
   
 2. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #2
  Dec 13, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,673
  Trophy Points: 280
  Hivi unajua maana ya nguvu ya umma au unaropoka tu!
   
 3. M

  Molemo JF-Expert Member

  #3
  Dec 13, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Hakika ni nguvu ya umma.Peopleeeees!!
   
 4. menyidyo

  menyidyo JF-Expert Member

  #4
  Dec 13, 2011
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 1,339
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  ritz hebu twambie maana ya hizi keywords. nguvu na umma. then uendelee kuchangia.
   
 5. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #5
  Dec 13, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,474
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Maana yake nini mkubwa!
   
 6. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #6
  Dec 13, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  ndio kishamaliza kujaza server na kujiingizia kipato chake msamehe bure..
   
 7. Kinyungu

  Kinyungu JF-Expert Member

  #7
  Dec 13, 2011
  Joined: Apr 6, 2008
  Messages: 4,381
  Likes Received: 3,341
  Trophy Points: 280
  Nguvu ya umma maana yake CHADEMA... uliza swali lingine
   
 8. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #8
  Dec 13, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,673
  Trophy Points: 280
  Mfano wa nguvu ya umma nadhani umeuona Misri, Tunisia, Yemen, Syria, kama ni mfuatiliaji wa habari utakuwa unajua maana nzima ya nguvu umma..

  Hayo maandamano ya chuo kikuu cha Dar es Salaam tuliyaona kwenye vyombo vya habari..

  Polisi walipiga mabomu matatu tu hiyo nguvu ya umma mnayoisema yote ilisambaa kwa kasi ya ajabu..

  Baadhi ya wanafunzi waliokamatwa waliishia kulalamika tu, huku wakishutumu jeshi la polisi eti limetumia nguvu nyingi..

  Je kama wangetumia silaha nzito sijuhi wangesemaje!
   
 9. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #9
  Dec 13, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,673
  Trophy Points: 280
  Hata siku moja huwezi kuwa na wabunge 23 Tanzania nzima halafu useme una nguvu ya Umma hizo zitakuwa akili za kunguru mgonjwa!
   
 10. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #10
  Dec 13, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  ritz usiwe -ve kwa kila kitu,yani wewe sijawahi kuona hata siku 1 umeenda +ve na thread yeyote yani lazima upinge tu,sio fresh mkuu::::big up wana UDSM mpaka kieleweke
   
 11. Laurence

  Laurence JF-Expert Member

  #11
  Dec 13, 2011
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 3,106
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Endelea kujifunza kwani kuna cku utakuja elewa nn maana ya nguvu ya uma
   
 12. payuka

  payuka JF-Expert Member

  #12
  Dec 13, 2011
  Joined: Jun 17, 2010
  Messages: 832
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Unafahamu evolution ya Nguvu ya UMMA?
   
 13. F

  FJM JF-Expert Member

  #13
  Dec 13, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Practice makes perfect!
   
 14. C

  Chupaku JF-Expert Member

  #14
  Dec 13, 2011
  Joined: Oct 15, 2008
  Messages: 1,045
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Duuuh, nakumbuka enzi zangu...nguvu ya wanafunzi wakiamua ni kubwa sana. Na kuenda kimkumbo mkumbo pia imo kwa sana, mara unajikuta umefukuzwa. Maisha yale nayakumbuka sana. Yamenibadilisha mno.
   
 15. L

  LAT JF-Expert Member

  #15
  Dec 13, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  ukimwamsha aliyelala utalala wewe
   
 16. Kumbakumba

  Kumbakumba JF-Expert Member

  #16
  Dec 13, 2011
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 222
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  safi sana
   
 17. Kinyungu

  Kinyungu JF-Expert Member

  #17
  Dec 13, 2011
  Joined: Apr 6, 2008
  Messages: 4,381
  Likes Received: 3,341
  Trophy Points: 280

  Bila shaka huyo kunguru mgonjwa ni wewe
   
 18. W

  Wakurogwa JF-Expert Member

  #18
  Dec 13, 2011
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 216
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Mbona hayo maguvu ya Umma sijayaona kwenye ule Mswada matokeo yake mkafyata mkia mlipokwenda pale magogoni.?
   
 19. N

  Navoyne JF-Expert Member

  #19
  Dec 13, 2011
  Joined: Dec 12, 2010
  Messages: 871
  Likes Received: 193
  Trophy Points: 60
  Keyword hapo ni umma...........
   
 20. BBJ

  BBJ JF-Expert Member

  #20
  Dec 13, 2011
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 1,183
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Id name yako inaonyesha jinsi MAFISADI walivyokufanya,pole sana maana hujui ukifanyacho na ukifikiriacho.
   
Loading...